Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mi Amor

๐Ÿ‘ค Whozu โ€ข ๐ŸŽผ Mi Amor โ€ข โฑ๏ธ 3:20
๐ŸŽต 1360 characters
โฑ๏ธ 3:20 duration
๐Ÿ†” ID: 12287586

๐Ÿ“œ Lyrics

Estukiz bebi

Nainua mkono mama
Moyo wangu mweupe
Ishara ya mapenzi mama
Too much money
Mi amor mi amor

Bebi sinzia kifuani fofo
Tega leo zamu yako
Naipani kamia yako show

Hakuna kuomba poo
Tunayofanya chumbani usiweke hadharani wakaona
Kwako mimi abadani tena sishindani, nimekoma

Usiniweke saizi ya kidumu labda kwenye ndooo
Mimi kwako kama mchungaji we ndo kondoo
Nikikwo nikikwo nikikwona nahisi raha
Kama mgonjwa napona
Aiii mama najidekeza, najitamba kwako

Nikikwona nahisi raha
Kama mgonjwa napona
Aiii mama najidekeza, najitamba kwako

Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor

Nitazame bebi nishike shingoni
Yako mipapaso maruhani
Nikumbate unaponikisi mdomoni
Nilichoonja kwako sikitemi
Mie natamani leo mpaka kesho tusije gombanaa
Toka zamani niko nawe, kufa kufaana

Ooh bebi
Usiniweke saizi ya kidumu labda kwenye ndoo
Mimi kwako kama mchungaji wewe ndo kondoo
Nikikwo nikikwo nikikwona nahisi raha
Kama mgonjwa napona
Aiii mama najidekeza, najitamba kwako

Nikikwona nahisi raha
Ka mgonjwa napona
Aiii mama najidekeza, najitamba kwako

Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor
Mi amor. mi amor

Nainua mkono mama
Moyo wangu mweupe
Ishara ya mapenzi mama
Mi amir mi amor

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.37] Estukiz bebi
[00:10.81] Nainua mkono mama
[00:12.38] Moyo wangu mweupe
[00:15.15] Ishara ya mapenzi mama
[00:17.11] Too much money
[00:18.23] Mi amor mi amor
[00:20.71] Bebi sinzia kifuani fofo
[00:24.07] Tega leo zamu yako
[00:26.19] Naipani kamia yako show
[00:29.19] Hakuna kuomba poo
[00:32.39] Tunayofanya chumbani usiweke hadharani wakaona
[00:37.82] Kwako mimi abadani tena sishindani, nimekoma
[00:43.73] Usiniweke saizi ya kidumu labda kwenye ndooo
[00:48.88] Mimi kwako kama mchungaji we ndo kondoo
[00:52.35] Nikikwo nikikwo nikikwona nahisi raha
[00:56.64] Kama mgonjwa napona
[00:58.60] Aiii mama najidekeza, najitamba kwako
[01:03.89] Nikikwona nahisi raha
[01:06.92] Kama mgonjwa napona
[01:09.09] Aiii mama najidekeza, najitamba kwako
[01:13.95] Mi amor. mi amor
[01:16.33] Mi amor. mi amor
[01:18.81] Mi amor. mi amor
[01:21.42] Mi amor. mi amor
[01:24.29] Mi amor. mi amor
[01:26.87] Mi amor. mi amor
[01:29.45] Mi amor. mi amor
[01:31.94] Mi amor. mi amor
[01:35.26]
[01:44.81] Nitazame bebi nishike shingoni
[01:47.35] Yako mipapaso maruhani
[01:49.90] Nikumbate unaponikisi mdomoni
[01:52.58] Nilichoonja kwako sikitemi
[01:55.76] Mie natamani leo mpaka kesho tusije gombanaa
[02:01.58] Toka zamani niko nawe, kufa kufaana
[02:05.64] Ooh bebi
[02:07.18] Usiniweke saizi ya kidumu labda kwenye ndoo
[02:11.92] Mimi kwako kama mchungaji wewe ndo kondoo
[02:15.75] Nikikwo nikikwo nikikwona nahisi raha
[02:19.86] Kama mgonjwa napona
[02:21.71] Aiii mama najidekeza, najitamba kwako
[02:27.16] Nikikwona nahisi raha
[02:30.45] Ka mgonjwa napona
[02:32.33] Aiii mama najidekeza, najitamba kwako
[02:37.48] Mi amor. mi amor
[02:39.64] Mi amor. mi amor
[02:42.29] Mi amor. mi amor
[02:44.82] Mi amor. mi amor
[02:47.44] Mi amor. mi amor
[02:50.08] Mi amor. mi amor
[02:52.85] Mi amor. mi amor
[02:55.43] Mi amor. mi amor
[02:57.83] Nainua mkono mama
[02:59.48] Moyo wangu mweupe
[03:01.95] Ishara ya mapenzi mama
[03:04.85] Mi amir mi amor
[03:06.27]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings