Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mtawala

๐Ÿ‘ค Mathias Walichupa โ€ข ๐ŸŽผ Mtawala โ€ข โฑ๏ธ 4:54
๐ŸŽต 1123 characters
โฑ๏ธ 4:54 duration
๐Ÿ†” ID: 12369531

๐Ÿ“œ Lyrics

Ooo-wowo-ouuu-ooouu, mmmhmm
Msalabani, ndiye aliye nifilia
Dhambi na makosa, BWANA YESU aliviondoa
Kafanyika furaha, ndani ya vilindi vya mtima wangu, uuh
Yeye ni muhimili, wa msingi kwa Wokovu wangu
Na Bendera yake, nitaipeperusha pepe
Nimsifu yeye daima (Uuh, milele daima)
Bendera yake nitaipeperusha pepe, nimuhimidi milele, eeh
Mtawala (My Dady)
My Dady mtawala (Mtawala, eeeh)
Mtawala (My Dady)
My Dady mtawala
Mmiliki wa Dunia na Mbingu yeye
Mtawala (My Dady)
My Dady mtawala (Mtawala ouh yeah)
Mtawala (Ooh my Dady)
My Dady mtawala (Mmh)
Kwa neema yake, anawaruzuku hata walioonewa, aanhm
MUNGU mtetezi, jina lake ni EBENEZER, mmh
Yeye asiye mbaguzi wa rangi, Nchi, wala kabila, Ouh yeee
MUNGU adhihirishae, uwezo wake, kati ya mataifa, mmh
Na Bendera yake, nitaipeperusha pepe
Nimsifu yeye daima (Uuh, milele daima)
Bendera yake nitaipeperusha pepe
Nimuhimidi milele, eeh
Mtawala (My Dady eeh)
My Dady mtawala (Wa moyo wangu, mimi yeiee)
Mtawala (Ooh my Dady)
My Dady mtawala (Yeiyee)
Anamiliki maisha yangu yote
Mtawala (Ooh, my Dady)
My Dady mtawala (Ooh, mtawala, aaa, eee)
Mtawala (Ooh my Dady)
My Dady mtawala

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:04.62] Ooo-wowo-ouuu-ooouu, mmmhmm
[00:23.63] Msalabani, ndiye aliye nifilia
[00:34.94] Dhambi na makosa, BWANA YESU aliviondoa
[00:46.93] Kafanyika furaha, ndani ya vilindi vya mtima wangu, uuh
[00:58.89] Yeye ni muhimili, wa msingi kwa Wokovu wangu
[01:10.09] Na Bendera yake, nitaipeperusha pepe
[01:15.89] Nimsifu yeye daima (Uuh, milele daima)
[01:22.47] Bendera yake nitaipeperusha pepe, nimuhimidi milele, eeh
[01:35.06] Mtawala (My Dady)
[01:40.24] My Dady mtawala (Mtawala, eeeh)
[01:47.44] Mtawala (My Dady)
[01:51.25] My Dady mtawala
[01:55.83] Mmiliki wa Dunia na Mbingu yeye
[01:59.58] Mtawala (My Dady)
[02:03.68] My Dady mtawala (Mtawala ouh yeah)
[02:11.50] Mtawala (Ooh my Dady)
[02:15.04] My Dady mtawala (Mmh)
[02:22.71] Kwa neema yake, anawaruzuku hata walioonewa, aanhm
[02:35.27] MUNGU mtetezi, jina lake ni EBENEZER, mmh
[02:45.66] Yeye asiye mbaguzi wa rangi, Nchi, wala kabila, Ouh yeee
[02:57.87] MUNGU adhihirishae, uwezo wake, kati ya mataifa, mmh
[03:09.58] Na Bendera yake, nitaipeperusha pepe
[03:15.33] Nimsifu yeye daima (Uuh, milele daima)
[03:21.61] Bendera yake nitaipeperusha pepe
[03:27.33] Nimuhimidi milele, eeh
[03:34.41] Mtawala (My Dady eeh)
[03:39.52] My Dady mtawala (Wa moyo wangu, mimi yeiee)
[03:46.73] Mtawala (Ooh my Dady)
[03:50.85] My Dady mtawala (Yeiyee)
[03:55.54] Anamiliki maisha yangu yote
[03:59.51] Mtawala (Ooh, my Dady)
[04:03.66] My Dady mtawala (Ooh, mtawala, aaa, eee)
[04:10.78] Mtawala (Ooh my Dady)
[04:15.57] My Dady mtawala
[04:54.09]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings