Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mfalme Wa Amani

๐Ÿ‘ค Solomon Mukubwa โ€ข ๐ŸŽผ Mungu Mwenye Nguvu โ€ข โฑ๏ธ 7:50
๐ŸŽต 2911 characters
โฑ๏ธ 7:50 duration
๐Ÿ†” ID: 12372462

๐Ÿ“œ Lyrics

Daudi kasema, nilikuwa kijana sasa ni mzee
Daudi kasema, nilikuwa kijana sasa ni mzee
Sijawahi ona mwenye haki ameachwa mimi
Wala watoto wake kuombaomba mikate barabarani
Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake wanadamu
Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake si kama wanadamu
Akiongea Yesu ameongea
Akikuahidia kitu, Baba ameahidi na ujasiri

Atatenda kwa wakati wake, ninamwita Bwana wa amani
Ninamwita mfalme wa amani bwana
Ndio maana mimi ninaimba kwa sababu ya amani yake
Ni uwezo gani, uwezo gani unaompinga Yesu?
Uwezo gani? Uwezo gani? Uwezo gani?

Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu

Usilie, usilie, usilie wewe
Usilie Bwana anakujua ndugu yangu
Amesikia kilio chako wewe mama
Unalia nini kwa wanadamu, mama yangu
Wanadamu hawatakusaidia na kitu
Wanadamu hawatakuwezesha kwa kitu chochote
Tunaye mmoja anayepanguza machozi ya watu wake

Ni yule mfalme wa amani
Ni yule aliyesema yote imekwisha
Mambo unayoyapitia ni yeye anayeyaona
Anajua shida yako mama yangu
Anajua magumu yako baba yangu
Ukiwa na shida usiende kwa waganga, wa dunia
Ukiwa na magumu usiende kwa wafumu wa dunia
Muite mfalme wa amani, yeye anajibu maombi
Muite mfalme wa amani, yeye anajibu maombi
Uwezo gani, uwezo gani unaompinga Baba?
Uwezo gani? Uwezo gani? Uwezo gani?

Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu

Mfalme wa amani, uinuliwe Bwana wangu
Yale unayotenda yashangaza dunia nzima
Wanaokosa amani ndani ya nyumba zao wape amani
Wanaokosa amani ndani ya kazi zao wape amani
Ni wewe Bwana wa amani ya kudumu
Ni wewe Bwana wa amani ya Afrika, Amerika wanalia amani
Tunawe Bwana mfalme wa amani
Tunawe Bwana mfalme wa amani
Hakuna kitu kile kinachokushinda Bwana
Yeye mfalme wa amani

Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu

Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:22.34] Daudi kasema, nilikuwa kijana sasa ni mzee
[00:27.51] Daudi kasema, nilikuwa kijana sasa ni mzee
[00:32.45] Sijawahi ona mwenye haki ameachwa mimi
[00:37.48] Wala watoto wake kuombaomba mikate barabarani
[00:42.93] Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake wanadamu
[00:48.16] Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake si kama wanadamu
[00:53.65] Akiongea Yesu ameongea
[00:58.69] Akikuahidia kitu, Baba ameahidi na ujasiri
[01:04.12] Atatenda kwa wakati wake, ninamwita Bwana wa amani
[01:14.47] Ninamwita mfalme wa amani bwana
[01:19.67] Ndio maana mimi ninaimba kwa sababu ya amani yake
[01:25.35] Ni uwezo gani, uwezo gani unaompinga Yesu?
[01:30.96] Uwezo gani? Uwezo gani? Uwezo gani?
[01:40.50] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[01:47.17] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[01:52.33] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[01:57.60] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[02:02.97] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[02:08.45] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[02:13.52] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[02:18.70] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[02:34.05] Usilie, usilie, usilie wewe
[02:39.61] Usilie Bwana anakujua ndugu yangu
[02:44.27] Amesikia kilio chako wewe mama
[02:49.51] Unalia nini kwa wanadamu, mama yangu
[02:54.96] Wanadamu hawatakusaidia na kitu
[03:00.18] Wanadamu hawatakuwezesha kwa kitu chochote
[03:05.49] Tunaye mmoja anayepanguza machozi ya watu wake
[03:11.27] Ni yule mfalme wa amani
[03:15.80] Ni yule aliyesema yote imekwisha
[03:21.33] Mambo unayoyapitia ni yeye anayeyaona
[03:26.51] Anajua shida yako mama yangu
[03:31.81] Anajua magumu yako baba yangu
[03:37.08] Ukiwa na shida usiende kwa waganga, wa dunia
[03:42.30] Ukiwa na magumu usiende kwa wafumu wa dunia
[03:47.75] Muite mfalme wa amani, yeye anajibu maombi
[03:53.05] Muite mfalme wa amani, yeye anajibu maombi
[03:58.25] Uwezo gani, uwezo gani unaompinga Baba?
[04:03.75] Uwezo gani? Uwezo gani? Uwezo gani?
[04:14.88] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[04:20.02] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[04:25.32] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[04:30.63] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[04:35.88] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[04:41.33] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[04:46.60] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[04:51.72] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[04:57.13]
[05:17.03] Mfalme wa amani, uinuliwe Bwana wangu
[05:22.28] Yale unayotenda yashangaza dunia nzima
[05:27.87] Wanaokosa amani ndani ya nyumba zao wape amani
[05:33.15] Wanaokosa amani ndani ya kazi zao wape amani
[05:38.49] Ni wewe Bwana wa amani ya kudumu
[05:43.43] Ni wewe Bwana wa amani ya Afrika, Amerika wanalia amani
[05:53.97] Tunawe Bwana mfalme wa amani
[05:59.26] Tunawe Bwana mfalme wa amani
[06:04.55] Hakuna kitu kile kinachokushinda Bwana
[06:07.83] Yeye mfalme wa amani
[06:10.95] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[06:16.24] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[06:21.20] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[06:26.56] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[06:31.97] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[06:37.21] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[06:42.68] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[06:47.95] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[06:53.01] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[06:58.33] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[07:03.61] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[07:09.07] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[07:14.09] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[07:19.59] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[07:24.69] Mfalme wa amani, mfalme wa amani uinuliwe
[07:29.92] Wewe ni mwema, wewe ni mwema Bwana wangu
[07:35.53]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings