Milele
๐ต 669 characters
โฑ๏ธ 3:22 duration
๐ ID: 12427576
๐ Lyrics
Malenga wa kubadili zao nia,
Kama una masikio sikia,
Usije basi ukapuliza gunia,
na wenye roho nyepesi watasengenya,
hawatatuombea,
na mi nishakupenda wee
kwa wazazi nikupeleke,
na mi nishakupenda wewe... wewe
PRE-la la la la la la la la
la lร la la la la la la
la la la la la la la la
la la la la la la la la
(In Unison)
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta eeeeeh,
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta leeeeoooo...
2(Maureen)
Bagua, bagua, utabaguliwa,
Pokea utakubaliwa,
Tabia tabia, imani ndiyo njia,
nimeamua nikupende,
Watu wasitenganishe,
Niwe wako milele,
juu mi nishakupenda wewe,
kwa wazazi nikupeleke,
mi nishakupenda eeeeeh
PRE-
Kama una masikio sikia,
Usije basi ukapuliza gunia,
na wenye roho nyepesi watasengenya,
hawatatuombea,
na mi nishakupenda wee
kwa wazazi nikupeleke,
na mi nishakupenda wewe... wewe
PRE-la la la la la la la la
la lร la la la la la la
la la la la la la la la
la la la la la la la la
(In Unison)
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta eeeeeh,
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta leeeeoooo...
2(Maureen)
Bagua, bagua, utabaguliwa,
Pokea utakubaliwa,
Tabia tabia, imani ndiyo njia,
nimeamua nikupende,
Watu wasitenganishe,
Niwe wako milele,
juu mi nishakupenda wewe,
kwa wazazi nikupeleke,
mi nishakupenda eeeeeh
PRE-
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:19.08] Malenga wa kubadili zao nia,
[00:23.04] Kama una masikio sikia,
[00:25.08] Usije basi ukapuliza gunia,
[00:27.02] na wenye roho nyepesi watasengenya,
[00:31.05] hawatatuombea,
[00:35.06] na mi nishakupenda wee
[00:40.01] kwa wazazi nikupeleke,
[00:44.05] na mi nishakupenda wewe... wewe
[00:53.05] PRE-la la la la la la la la
[00:56.03] la lร la la la la la la
[01:01.08] la la la la la la la la
[01:05.04] la la la la la la la la
[01:08.10] (In Unison)
[01:11.02] Subira jaribu kuivuta leo,
[01:13.04] Subira jaribu kuivuta eeeeeh,
[01:17.08] Subira jaribu kuivuta leo,
[01:21.06] Subira jaribu kuivuta leeeeoooo...
[01:30.03] 2(Maureen)
[01:33.03] Bagua, bagua, utabaguliwa,
[01:36.08] Pokea utakubaliwa,
[01:37.05] Tabia tabia, imani ndiyo njia,
[01:41.05] nimeamua nikupende,
[01:44.07] Watu wasitenganishe,
[01:46.02] Niwe wako milele,
[01:50.01] juu mi nishakupenda wewe,
[01:54.01] kwa wazazi nikupeleke,
[01:58.04] mi nishakupenda eeeeeh
[02:06.06] PRE-
[02:07.32]
[00:23.04] Kama una masikio sikia,
[00:25.08] Usije basi ukapuliza gunia,
[00:27.02] na wenye roho nyepesi watasengenya,
[00:31.05] hawatatuombea,
[00:35.06] na mi nishakupenda wee
[00:40.01] kwa wazazi nikupeleke,
[00:44.05] na mi nishakupenda wewe... wewe
[00:53.05] PRE-la la la la la la la la
[00:56.03] la lร la la la la la la
[01:01.08] la la la la la la la la
[01:05.04] la la la la la la la la
[01:08.10] (In Unison)
[01:11.02] Subira jaribu kuivuta leo,
[01:13.04] Subira jaribu kuivuta eeeeeh,
[01:17.08] Subira jaribu kuivuta leo,
[01:21.06] Subira jaribu kuivuta leeeeoooo...
[01:30.03] 2(Maureen)
[01:33.03] Bagua, bagua, utabaguliwa,
[01:36.08] Pokea utakubaliwa,
[01:37.05] Tabia tabia, imani ndiyo njia,
[01:41.05] nimeamua nikupende,
[01:44.07] Watu wasitenganishe,
[01:46.02] Niwe wako milele,
[01:50.01] juu mi nishakupenda wewe,
[01:54.01] kwa wazazi nikupeleke,
[01:58.04] mi nishakupenda eeeeeh
[02:06.06] PRE-
[02:07.32]