Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Barua Ya Dunia

๐Ÿ‘ค Elani โ€ข ๐ŸŽผ Barua Ya Dunia โ€ข โฑ๏ธ 4:10
๐ŸŽต 1052 characters
โฑ๏ธ 4:10 duration
๐Ÿ†” ID: 12448379

๐Ÿ“œ Lyrics

Hujambo salam dunia
Ni siku nyingi hatujaongea
Hizi enzi
Mbona huna penzi

Nimekuandikia barua
Ningeweza ningekupigia
Geti kali, inalia
Machozi ya sifa

Usinilenge, juu siku moja nitakulenga pia
Usinicheke, juu siku moja nitakucheka pia
Bobea bobea, Bobea bobea
Ngojea nitabobea pia
Bobea bobea, Bobea bobea
Ngojea nitabobea pia

Sina mengi ya kusimulia
Ila tu ni barua ya dunia
Aaaahh... Barua.
Mashinani wanalialia
Umri ndio huo, Uzee unaingia
Sina fedha, hisia wala njia Eh, ya kujitafutia
Nikimalizia barua, Geti kali uwe na huruma
Mraia analia, Machozi ya simba

Usinilenge, juu siku moja nitakulenga pia
Usinicheke, juu siku moja nitakucheka pia
Bobea bobea, Bobea bobea
Ngojea nitabobea pia
Bobea bobea, Bobea bobea
Ngojea nitabobea pia

Sina mengi ya kusimulia...
Barua ya dunia...
Mbona hukunijalia, Dunia...
Oooohhh

Usinilenge, juu siku moja nitakulenga pia
Usinicheke, juu siku moja nitakucheka pia
Bobea bobea, Bobea bobea
Ngojea nitabobea pia
Bobea bobea, Bobea bobea
Ngojea nitabobea pia

Sina mengi ya kusimulia
Barua ya Dunia, Barua...

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings