Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Ongoza Hatua Zangu

๐Ÿ‘ค Christina Shusho โ€ข ๐ŸŽผ Ongoza Hatua Zangu โ€ข โฑ๏ธ 5:06
๐ŸŽต 1959 characters
โฑ๏ธ 5:06 duration
๐Ÿ†” ID: 12453533

๐Ÿ“œ Lyrics

Hatua za mwenye haki
Za ongozwa naye Bwana
Na Bwana hufurahia
Njia zake wakati wote

Hatua za mwenye haki
Za ongozwa naye Bwana
Na Bwana hufurahia
Njia zake wakati wote

Nakukabidhi Bwana
Njia zangu zote
Pia nakutumaini
Najua Bwana utafanya
Hata nijapojikwaa
Sitaanguka chini
Bwana utanishika mukono
Na kunitegemeza

Nakukabidhi Bwana
Njia zangu zote
Pia nakutumaini
Najua Bwana utafanya
Hata nijapojikwaa
Sitaanguka chini
Bwana utanishika mukono
Na kunitegemeza

Eehh hallelujah
Wewe Bwana wewe Bwana
Bwana nimesangua
Wafanya kazi kwa siri ndani yangu
Hallelujah hallelujah

Umwangazie mtumishi wako
Uso wako
Maana ninayatamani
Maagizo yako
Elekeza hatua zangu
Kwa neno lako
Uovu usije
Ukanimiliki

Umwangazie mtumishi wako
Uso wako
Maana ninayatamani
Maagizo yako
Elekeza hatua zangu
Kwa neno lako
Uovu usije
Ukanimiliki

(Ee Bwana naomba)
Ongoza hatua zangu
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana)
Ongoza mwendo wangu (eh Bwana)
Eh Bwana (eh Bwana)
Eh Bwana (eh Bwana)
Ongoza hatua zangu (niongoze)
Eh Bwana
Eh Bwana (niongoze)
Ongoza mwendo wangu (eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana naomba)
Ongoza hatua zangu (niongoze)
Eh Bwana
Eh Bwana (niongoze)
Ongoza mwendo wangu (niimarishe)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana)
Ongoza hatua zangu (eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana, eh Bwana)
Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Yesu)
Ongoza hatua zangu (eh Yesu)
Eh Bwana
Eh Bwana (uniimarishe)
Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana!)
Ongoza hatua zangu (niongoze)
Eh Bwana
Eh Bwana (unisaidie)
Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana, eh Bwana)
Ongoza hatua zangu (eh Bwana, eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (msaada wangu)
Ongoza mwendo wangu (niwe Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (niongoze Bwana)
Ongoza hatua zangu (eh Bwana)
Eh Bwana (eh Bwana)
Eh Bwana (we Yesu)
Ongoza mwendo wangu (we Yesu, we Yesu)
Eh Bwana
Eh Bwana
Ongoza hatua zangu
Eh Bwana
Eh Bwana
Ongoza mwendo wangu
Eh Bwana
Eh Bwana

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:25.15] Hatua za mwenye haki
[00:27.85] Za ongozwa naye Bwana
[00:30.88] Na Bwana hufurahia
[00:33.32] Njia zake wakati wote
[00:36.92] Hatua za mwenye haki
[00:39.83] Za ongozwa naye Bwana
[00:42.68] Na Bwana hufurahia
[00:45.23] Njia zake wakati wote
[00:49.30]
[01:01.10] Nakukabidhi Bwana
[01:04.12] Njia zangu zote
[01:06.84] Pia nakutumaini
[01:09.38] Najua Bwana utafanya
[01:13.27] Hata nijapojikwaa
[01:15.85] Sitaanguka chini
[01:18.79] Bwana utanishika mukono
[01:21.74] Na kunitegemeza
[01:24.87] Nakukabidhi Bwana
[01:27.66] Njia zangu zote
[01:30.85] Pia nakutumaini
[01:33.43] Najua Bwana utafanya
[01:37.25] Hata nijapojikwaa
[01:39.84] Sitaanguka chini
[01:42.80] Bwana utanishika mukono
[01:46.06] Na kunitegemeza
[01:47.84]
[01:51.97] Eehh hallelujah
[01:57.21] Wewe Bwana wewe Bwana
[02:00.88] Bwana nimesangua
[02:04.05] Wafanya kazi kwa siri ndani yangu
[02:07.11] Hallelujah hallelujah
[02:09.54]
[02:12.83] Umwangazie mtumishi wako
[02:16.51] Uso wako
[02:18.87] Maana ninayatamani
[02:21.99] Maagizo yako
[02:24.99] Elekeza hatua zangu
[02:28.39] Kwa neno lako
[02:31.22] Uovu usije
[02:33.83] Ukanimiliki
[02:36.88] Umwangazie mtumishi wako
[02:40.15] Uso wako
[02:42.94] Maana ninayatamani
[02:45.70] Maagizo yako
[02:48.99] Elekeza hatua zangu
[02:52.22] Kwa neno lako
[02:55.08] Uovu usije
[02:57.95] Ukanimiliki
[03:00.42] (Ee Bwana naomba)
[03:01.61] Ongoza hatua zangu
[03:04.62] Eh Bwana
[03:06.39] Eh Bwana (eh Bwana)
[03:07.87] Ongoza mwendo wangu (eh Bwana)
[03:10.95] Eh Bwana (eh Bwana)
[03:12.44] Eh Bwana (eh Bwana)
[03:14.01] Ongoza hatua zangu (niongoze)
[03:16.45] Eh Bwana
[03:18.00] Eh Bwana (niongoze)
[03:19.68] Ongoza mwendo wangu (eh Bwana)
[03:22.66] Eh Bwana
[03:24.28] Eh Bwana (eh Bwana naomba)
[03:25.54] Ongoza hatua zangu (niongoze)
[03:28.88] Eh Bwana
[03:30.22] Eh Bwana (niongoze)
[03:31.65] Ongoza mwendo wangu (niimarishe)
[03:34.86] Eh Bwana
[03:36.21] Eh Bwana (eh Bwana)
[03:38.05] Ongoza hatua zangu (eh Bwana)
[03:40.75] Eh Bwana
[03:42.33] Eh Bwana (eh Bwana, eh Bwana)
[03:43.78] Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
[03:46.74] Eh Bwana
[03:48.19] Eh Bwana (eh Yesu)
[03:49.62] Ongoza hatua zangu (eh Yesu)
[03:52.64] Eh Bwana
[03:54.38] Eh Bwana (uniimarishe)
[03:55.75] Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
[03:58.63] Eh Bwana
[04:00.23] Eh Bwana (eh Bwana!)
[04:02.18] Ongoza hatua zangu (niongoze)
[04:04.55] Eh Bwana
[04:06.15] Eh Bwana (unisaidie)
[04:07.57] Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
[04:10.82] Eh Bwana
[04:12.11] Eh Bwana (eh Bwana, eh Bwana)
[04:13.41] Ongoza hatua zangu (eh Bwana, eh Bwana)
[04:16.74] Eh Bwana
[04:18.16] Eh Bwana (msaada wangu)
[04:19.73] Ongoza mwendo wangu (niwe Bwana)
[04:22.83] Eh Bwana
[04:24.13] Eh Bwana (niongoze Bwana)
[04:25.51] Ongoza hatua zangu (eh Bwana)
[04:28.77] Eh Bwana (eh Bwana)
[04:30.32] Eh Bwana (we Yesu)
[04:31.64] Ongoza mwendo wangu (we Yesu, we Yesu)
[04:34.93] Eh Bwana
[04:36.38] Eh Bwana
[04:37.65] Ongoza hatua zangu
[04:40.59] Eh Bwana
[04:42.14] Eh Bwana
[04:43.89] Ongoza mwendo wangu
[04:46.77] Eh Bwana
[04:48.28] Eh Bwana
[04:49.88]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings