Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Umenibadilisha

๐Ÿ‘ค Lody Music โ€ข ๐ŸŽผ Umenibadilisha โ€ข โฑ๏ธ 4:07
๐ŸŽต 1544 characters
โฑ๏ธ 4:07 duration
๐Ÿ†” ID: 12470412

๐Ÿ“œ Lyrics

Maswali mengi yanini
Si unajua kwako niliteleza
Si unanipangiaa kwa maana
Mwenzako nashindwa kujieleza mmh
Nimeekudhi am sorry baby
Siunapenda kingereza
Simu unanikatiaaa ndo maana
Nakosa muda wa kubembelezaa eeehh
Mimi niko salama, niling'ang'ana mapenzi yamenicost
Inaniuma balaa, kwako sina maana
Si umenikana na tena kwa kupost, si ulinikataa
Niache ning'ae, acha unikatae
Nikiulizwa najibu siko nae
Tena usishangae, huko badaee
Nitapata mwengine

Umenibadilisha weweee
Umenibadilisha weweee
Umenibadilisha weweee
Umenibadilisha weweee
Umenibadilisha weweee

Siku hizi usishike simu
Utakutana na message za kina mobetto
Mara moja moja wanajimalizaga
Utashikwa na presha mamaa
Tena nimekuwa mwalimu
Wa mapenzi yale yale ya sambaloketoo
Ulishindwa kungoja ukanipotezaga
Mapenzi yakanitesa sanaaa
Kumbe nimepiga mimi mbona hujasema
Kavocha cha ngama unanimaliziaa
Hebu piga wewe hukoooo aaayyyaaaa
Nilikukosea nini, mbona hukusemaa
Ukaniandama ukanipanikiaa
Unajiliza nini hukooo aaayaaaa
Mimi niko salama, niling'ang'ana mapenzi yamenicost
Inaniuma balaa, kwako sina maana
Si umenikana na tena kwa kupost, si ulinikataa
Niache ning'ae, acha unikatae
Nikiulizwa najibu siko nae
Tena usishangae, huko badaee
Nitapata mwengine

Umenibadilisha weweee (umenibalisha) sikuwa hivi
Umenibadilisha weweee (badilisha mapenzi ingawa nilikupa mimi)
Umenibadilisha weweee (sikuwa hivi babe nyumbani nachelewa kurudi)
Umenibadilisha weweee (mapombe mengi kwenye begi aah)
Umenibadilisha weweee hapooo

Mmmh mmmh
Lody music on this one
Lupaso kid on the map

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:19.83] Maswali mengi yanini
[00:21.34] Si unajua kwako niliteleza
[00:25.48] Si unanipangiaa kwa maana
[00:27.45] Mwenzako nashindwa kujieleza mmh
[00:33.10] Nimeekudhi am sorry baby
[00:34.68] Siunapenda kingereza
[00:37.03] Simu unanikatiaaa ndo maana
[00:40.46] Nakosa muda wa kubembelezaa eeehh
[00:44.80] Mimi niko salama, niling'ang'ana mapenzi yamenicost
[00:49.88] Inaniuma balaa, kwako sina maana
[00:53.48] Si umenikana na tena kwa kupost, si ulinikataa
[00:57.61] Niache ning'ae, acha unikatae
[01:01.08] Nikiulizwa najibu siko nae
[01:04.50] Tena usishangae, huko badaee
[01:07.36] Nitapata mwengine
[01:10.15] Umenibadilisha weweee
[01:15.96] Umenibadilisha weweee
[01:23.07] Umenibadilisha weweee
[01:28.87] Umenibadilisha weweee
[01:42.84] Umenibadilisha weweee
[01:51.28] Siku hizi usishike simu
[01:52.38] Utakutana na message za kina mobetto
[01:56.68] Mara moja moja wanajimalizaga
[01:59.83] Utashikwa na presha mamaa
[02:03.14] Tena nimekuwa mwalimu
[02:05.58] Wa mapenzi yale yale ya sambaloketoo
[02:09.76] Ulishindwa kungoja ukanipotezaga
[02:13.03] Mapenzi yakanitesa sanaaa
[02:16.28] Kumbe nimepiga mimi mbona hujasema
[02:20.22] Kavocha cha ngama unanimaliziaa
[02:23.16] Hebu piga wewe hukoooo aaayyyaaaa
[02:29.50] Nilikukosea nini, mbona hukusemaa
[02:33.17] Ukaniandama ukanipanikiaa
[02:36.34] Unajiliza nini hukooo aaayaaaa
[02:42.47] Mimi niko salama, niling'ang'ana mapenzi yamenicost
[02:46.66] Inaniuma balaa, kwako sina maana
[02:49.81] Si umenikana na tena kwa kupost, si ulinikataa
[02:55.29] Niache ning'ae, acha unikatae
[02:57.63] Nikiulizwa najibu siko nae
[03:01.12] Tena usishangae, huko badaee
[03:04.28] Nitapata mwengine
[03:06.62] Umenibadilisha weweee (umenibalisha) sikuwa hivi
[03:13.13] Umenibadilisha weweee (badilisha mapenzi ingawa nilikupa mimi)
[03:19.85] Umenibadilisha weweee (sikuwa hivi babe nyumbani nachelewa kurudi)
[03:26.53] Umenibadilisha weweee (mapombe mengi kwenye begi aah)
[03:30.99] Umenibadilisha weweee hapooo
[03:35.99] Mmmh mmmh
[03:36.69] Lody music on this one
[03:39.56] Lupaso kid on the map
[03:43.67]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings