Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Amenitoa Mbali

๐Ÿ‘ค Erasto Shengezi โ€ข ๐ŸŽผ Amenitoa Mbali โ€ข โฑ๏ธ 5:44
๐ŸŽต 1002 characters
โฑ๏ธ 5:44 duration
๐Ÿ†” ID: 12489423

๐Ÿ“œ Lyrics

Niseme nini bwana kwa ajili ya upendo wako, Baba uliacha utukufu mbinguni Baba kwa ajili ya dhambi zangu ukaishi kama mwanadamu kwajilli yangu Baba, Wowowowowowo Ayaya.
Kama sio wewe Baba wangu ningelikuwa wapi mimi kama sio upendo wako mkuu Yesu wangu ningekuwa nimekufa, nilikuwa mbali na wokovu wako Masiah Yesu na hukumu yako ilikuwa juu yangu lakini ukakubali kushuka ili unifilie mimi niitwe mwana wa Mungu, sasa leo mimi naimba, saa leo mimi ni Huru kwa Damu yako Masiah iliyomwagika msalabani!
Acha nikuimbie (
Amen)...
Acha nikuabudu (
Amen)...
Acha nikuinue... (
Amen...
Halleluya Amen) Nani kama wewe(
Amen) angekubali kunifia Bwana.(
Amen...
Halleluya Amen) Erasto akuimbia, Mfalme nakuimbia, Tilile akuabudu.(
Amen...
Halleluya Amen)

Kuzunguka nimezunguka hata mbio nimekimbia, kutafuta rafiki Baba sikupata kama wewe, Nashukuru kwa upendo wako nimeona wema wako, Wokovu nimeuona, sasa naimba Halleluyah...
Naita milele lele Amen.
Mwimbie Yesu wangu Hakuna kama wewe wanipenda Jinsi

Amen

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:12.91] Niseme nini bwana kwa ajili ya upendo wako, Baba uliacha utukufu mbinguni Baba kwa ajili ya dhambi zangu ukaishi kama mwanadamu kwajilli yangu Baba, Wowowowowowo Ayaya.
[00:43.62] Kama sio wewe Baba wangu ningelikuwa wapi mimi kama sio upendo wako mkuu Yesu wangu ningekuwa nimekufa, nilikuwa mbali na wokovu wako Masiah Yesu na hukumu yako ilikuwa juu yangu lakini ukakubali kushuka ili unifilie mimi niitwe mwana wa Mungu, sasa leo mimi naimba, saa leo mimi ni Huru kwa Damu yako Masiah iliyomwagika msalabani!
[01:29.72] Acha nikuimbie (
[01:31.80] Amen)...
[01:32.99] Acha nikuabudu (
[01:34.56] Amen)...
[01:35.56] Acha nikuinue... (
[01:37.44] Amen...
[01:39.21] Halleluya Amen) Nani kama wewe(
[01:43.27] Amen) angekubali kunifia Bwana.(
[01:46.41] Amen...
[01:48.02] Halleluya Amen) Erasto akuimbia, Mfalme nakuimbia, Tilile akuabudu.(
[02:00.24] Amen...
[02:01.84] Halleluya Amen)
[02:04.91] Kuzunguka nimezunguka hata mbio nimekimbia, kutafuta rafiki Baba sikupata kama wewe, Nashukuru kwa upendo wako nimeona wema wako, Wokovu nimeuona, sasa naimba Halleluyah...
[02:27.85] Naita milele lele Amen.
[02:36.38] Mwimbie Yesu wangu Hakuna kama wewe wanipenda Jinsi
[02:45.83] Amen
[02:57.66]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings