Ni Kwa Neema Na Rehema
๐ต 267 characters
โฑ๏ธ 6:25 duration
๐ ID: 12502434
๐ Lyrics
hapa nilipo mimi, ni kwa neema ya munguu.
vile nilivo Mimi ni kwa neema ya munguu, nimetoka mbili nimetoka mbali nimetoka mbaliii,
ainuliwe mungu wanguu juu, atukuzwe mungu wangu juu, ni kwa neema ah, ni kwa neema tu na rehema ah neema tuu neema tu namshukuru mungu,