Najua Hutaniacha
๐ต 973 characters
โฑ๏ธ 5:39 duration
๐ ID: 12505774
๐ Lyrics
Nilikuwa natafuta rafiki
atakaye kuwa wa kudumu
nilikuwa nimekosa tumaini
kwani binadamu wabadilika kama kinyonga
tangu nikupate Yesu, sitafuti tena
Upendo Wako unanipa nguvu
nikiwa Nawe Yesu, nitaogopa nani
nitaogopa nini heey
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele, milele, milele milele...
taratatatata
Tena nikapata, marafiki kadhaa
punde shida ilipoingia nao waliondoka
nikalia mpaka nilipokumbuka
kuwa kuna rafiki asiye badilika
tangu nikupate Yesu, sitafuti tena
Upendo Wako unanipa nguvu Baba
nikiwa Nawe Yesu, nitaogopa nani
nitaogopa nini heey
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele, milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele...

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:27.98] Nilikuwa natafuta rafiki
[00:40.61] Atakaye kuwa wa kudumu
[00:45.64] Nilikuwa nimekosa tumaini
[00:50.82] Kwani binadamu wabadilika kama kinyonga
[00:56.91] Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena
[01:02.36] Upendo Wako unanipa nguvu
[01:07.56] Nikiwa Nawe Yesu, nitaogopa nani
[01:12.45] Nitaogopa nini heey
[01:16.61] Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
[01:22.47] Wewe ni Mwaminifu milele
[01:26.92] Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
[01:33.39] Wewe ni Mwaminifu milele, milele, milele milele...
[01:50.73] Taratatatata
[01:58.42] Tena nikapata, marafiki kadhaa
[02:04.07] Punde shida ilipoingia nao waliondoka
[02:09.99] Nikalia mpaka nilipokumbuka
[02:13.80] Kuwa kuna rafiki asiye badilika
[02:19.01] Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena
[02:24.62] Upendo Wako unanipa nguvu Baba
[02:30.12] Nikiwa Nawe Yesu, nitaogopa nani
[02:34.90] Nitaogopa nini heey
[02:38.99] Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
[02:44.86] Wewe ni Mwaminifu milele
[02:49.76] Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
[02:55.54] Wewe ni Mwaminifu milele
[03:00.41] Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
[03:05.77] Wewe ni Mwaminifu milele, milele
[03:10.01] Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
[03:11.82] Wewe ni Mwaminifu milele
[03:13.14] Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
[03:14.24] Wewe ni Mwaminifu milele...
[03:15.81]