Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kengele

๐Ÿ‘ค Chris Kaiga โ€ข ๐ŸŽผ Adventures of Chris Kaiga โ€ข โฑ๏ธ 2:39
๐ŸŽต 1735 characters
โฑ๏ธ 2:39 duration
๐Ÿ†” ID: 12673828

๐Ÿ“œ Lyrics

(Ayi!)
(Ati? Ati nini wewe?)
(Sawa)
(Kelele, kelele!)

Naskia manduru na mashangwe na makelele
(Woo! Mashangwe na makelele)
Toka mandugu na madada wana wetete
(Ati? Madada wana wetete)
Ambia waiter tuko huku na ma-glass empty (bana)
(Tuko huku na ma-glass empty)
Na tunangoja zitupige kama kengele
(Zitupige kama kengele)

Vipi famalan? Form ya leo ni walalal?
Toa form ni-perform kama acrobat
Cheza na Beamer na-come na magala
Wale wameiva pamoja na mzinga

Baadae zikishika tucheze na six-pack kadhaa
Mizinga kadhaa
Ndani ya bar zitushike ka skin-tight
All night hadi wazime ma-streetslights

Badilisha plus-size tu a slim-type
Namsugua hadi namuacha streamlined
Tonight (tonight) mafisi wana-hunt for ma-feline (feline)
Rare itatembea angle inclined (inclined)

ATM zitawika, "Declined!" (declined)
Juu magala wana figure ziko defined (defined)
Ayi, defined (defined)
(Ghai, ghai, ghai, ghai, ghai)

Naskia manduru na mashangwe na makelele
(Ati? Mashangwe na makelele)
Toka mandugu na madada wana wetete
(Ayy, madada wana wetete)
Ambia waiter tuko huku na ma-glass empty (bana)
(Tuko huku na ma-glass empty)
Na tunangoja zitupige kama kengele
(Zitupige kama kengele)

Naskia ital (ayy), naskia irie (ayy)
Leo nawasha lighter pamoja na siren (sss)
Leo napanga kupiga tizi ya ma-bicep
Nikizipiga kama fighter na ma right-left
Na na-light dem hadi naskia enlightened

Mali swafi brathe kitu high-end
Vutia vaite supply yangu ni direct
Toa kambambe, dial 0-7-9-8

Naskia manduru na mashangwe na makelele
(Woo! Mashangwe na makelele)
Toka mandugu na madada wana wetete
(Ati? Madada wana wetete)
Ambia waiter tuko huku na maglass empty (bana)
(Tuko huku na maglass empty)
Na tunangoja zitupige kama kengele
(Zitupige kama kengele)

(Bana)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.99] (Ayi!)
[00:05.58] (Ati? Ati nini wewe?)
[00:09.64] (Sawa)
[00:12.46] (Kelele, kelele!)
[00:19.80] Naskia manduru na mashangwe na makelele
[00:22.27] (Woo! Mashangwe na makelele)
[00:24.78] Toka mandugu na madada wana wetete
[00:27.21] (Ati? Madada wana wetete)
[00:29.57] Ambia waiter tuko huku na ma-glass empty (bana)
[00:32.50] (Tuko huku na ma-glass empty)
[00:34.15] Na tunangoja zitupige kama kengele
[00:37.45] (Zitupige kama kengele)
[00:39.15] Vipi famalan? Form ya leo ni walalal?
[00:41.57] Toa form ni-perform kama acrobat
[00:43.87] Cheza na Beamer na-come na magala
[00:45.74] Wale wameiva pamoja na mzinga
[00:48.17] Baadae zikishika tucheze na six-pack kadhaa
[00:51.27] Mizinga kadhaa
[00:52.68] Ndani ya bar zitushike ka skin-tight
[00:55.43] All night hadi wazime ma-streetslights
[00:57.73] Badilisha plus-size tu a slim-type
[01:00.28] Namsugua hadi namuacha streamlined
[01:02.76] Tonight (tonight) mafisi wana-hunt for ma-feline (feline)
[01:06.53] Rare itatembea angle inclined (inclined)
[01:09.07] ATM zitawika, "Declined!" (declined)
[01:11.03] Juu magala wana figure ziko defined (defined)
[01:13.57] Ayi, defined (defined)
[01:15.70] (Ghai, ghai, ghai, ghai, ghai)
[01:17.37] Naskia manduru na mashangwe na makelele
[01:19.83] (Ati? Mashangwe na makelele)
[01:22.26] Toka mandugu na madada wana wetete
[01:24.86] (Ayy, madada wana wetete)
[01:26.91] Ambia waiter tuko huku na ma-glass empty (bana)
[01:30.29] (Tuko huku na ma-glass empty)
[01:31.73] Na tunangoja zitupige kama kengele
[01:35.02] (Zitupige kama kengele)
[01:36.77] Naskia ital (ayy), naskia irie (ayy)
[01:39.22] Leo nawasha lighter pamoja na siren (sss)
[01:41.43] Leo napanga kupiga tizi ya ma-bicep
[01:43.84] Nikizipiga kama fighter na ma right-left
[01:46.23] Na na-light dem hadi naskia enlightened
[01:48.69] Mali swafi brathe kitu high-end
[01:51.29] Vutia vaite supply yangu ni direct
[01:53.59] Toa kambambe, dial 0-7-9-8
[01:55.76] Naskia manduru na mashangwe na makelele
[01:58.36] (Woo! Mashangwe na makelele)
[02:00.63] Toka mandugu na madada wana wetete
[02:03.14] (Ati? Madada wana wetete)
[02:05.34] Ambia waiter tuko huku na maglass empty (bana)
[02:08.63] (Tuko huku na maglass empty)
[02:10.17] Na tunangoja zitupige kama kengele
[02:13.38] (Zitupige kama kengele)
[02:14.70] (Bana)
[02:15.84]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings