Grah Grah Boom (8.3.24) (feat. Jayjay)
๐ต 1666 characters
โฑ๏ธ 2:18 duration
๐ ID: 12696392
๐ Lyrics
My pen game abrasive
The friction might start a fire
Stop breathing down my neck
Or you gon' get black lungs
Kiki tug kodwa
Usicheze na familia ya Kojwang
Pesa wabiro yudo
Nikech baba wa ilwongo Richard
Boeyylee alisema
Tunakimbiza gunia
The bag haitatosha
Tuko wasee ka sita
Jarateng tunakam
Inueni flag ya rachar
Jarateng tunakam
Inueni flag ya rachar
Lingo unique
Na sikuenda Uni
Lakini CV imeshiba, yeah
Protein lazima
Asiyenfunzwa na mamaye
Atafunzwa Dagoretti
Ongeza debe hapa hivi
Kama chief wa mastingo Kaiga, yeah
Alinichapia nakuanga libra
Juu nilizaliwa mwezi wa tisa
Anadai nacheat na music
Juu niko studio na bang ma speaker
Ma opp wanadai nidedi
Hiyo ndio kitu haiezi fanyika
Juu huku na huku na huku
Upendo wa mungu unanizunguka
Sipatikani ukinitrace
Ni ka Boeyylee hukuwanga John Cena
Verse zao hazijai niaffect
Design Boeyylee anakuanga sinner
On there lane na ni ka siwacheki
Ni ka Boeyylee anakuwanga mchina
Walidhani nimetupa mbao
Nikatumiwa mbao na mbogi ya skiza
Alikam akaniomba number beast
Nikamshow ni nusu ya sita sita
Kuna opp nilicheki kwa picha
Joh alikaa ku scream kwa vita
Hii kurap ndio siwezi sare
Labda nipatwe ndani ya kisima
Kwa hizo mbogi ndio sijai fit in
Inakaa walidhani nilikuwa nawapima, yeah
Boeyylee, Boeyylee
Lemme improvise, eh
It's the Renaissance
Lingo unique
Na sikuenda Uni
Lakini CV imeshiba, yeah
Protein lazima
Asiyenfunzwa na mamaye
Atafunzwa Dagoretti
Ongeza debe hapa hivi
Kama chief wa mastingo Kaiga, yeah
Lingo unique
Na sikuenda Uni
Lakini CV imeshiba, yeah
Protein lazima
Asiyenfunzwa na mamaye
Atafunzwa Dagoretti
Ongeza debe hapa hivi
Kama chief wa mastingo Kaiga, yeah
Na sikuenda Uni
Funzwa Dagoretti
The friction might start a fire
Stop breathing down my neck
Or you gon' get black lungs
Kiki tug kodwa
Usicheze na familia ya Kojwang
Pesa wabiro yudo
Nikech baba wa ilwongo Richard
Boeyylee alisema
Tunakimbiza gunia
The bag haitatosha
Tuko wasee ka sita
Jarateng tunakam
Inueni flag ya rachar
Jarateng tunakam
Inueni flag ya rachar
Lingo unique
Na sikuenda Uni
Lakini CV imeshiba, yeah
Protein lazima
Asiyenfunzwa na mamaye
Atafunzwa Dagoretti
Ongeza debe hapa hivi
Kama chief wa mastingo Kaiga, yeah
Alinichapia nakuanga libra
Juu nilizaliwa mwezi wa tisa
Anadai nacheat na music
Juu niko studio na bang ma speaker
Ma opp wanadai nidedi
Hiyo ndio kitu haiezi fanyika
Juu huku na huku na huku
Upendo wa mungu unanizunguka
Sipatikani ukinitrace
Ni ka Boeyylee hukuwanga John Cena
Verse zao hazijai niaffect
Design Boeyylee anakuanga sinner
On there lane na ni ka siwacheki
Ni ka Boeyylee anakuwanga mchina
Walidhani nimetupa mbao
Nikatumiwa mbao na mbogi ya skiza
Alikam akaniomba number beast
Nikamshow ni nusu ya sita sita
Kuna opp nilicheki kwa picha
Joh alikaa ku scream kwa vita
Hii kurap ndio siwezi sare
Labda nipatwe ndani ya kisima
Kwa hizo mbogi ndio sijai fit in
Inakaa walidhani nilikuwa nawapima, yeah
Boeyylee, Boeyylee
Lemme improvise, eh
It's the Renaissance
Lingo unique
Na sikuenda Uni
Lakini CV imeshiba, yeah
Protein lazima
Asiyenfunzwa na mamaye
Atafunzwa Dagoretti
Ongeza debe hapa hivi
Kama chief wa mastingo Kaiga, yeah
Lingo unique
Na sikuenda Uni
Lakini CV imeshiba, yeah
Protein lazima
Asiyenfunzwa na mamaye
Atafunzwa Dagoretti
Ongeza debe hapa hivi
Kama chief wa mastingo Kaiga, yeah
Na sikuenda Uni
Funzwa Dagoretti