Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Naskia Wah

๐Ÿ‘ค Boondocks Gang โ€ข ๐ŸŽผ Ghetto Genius โ€ข โฑ๏ธ 3:47
๐ŸŽต 1860 characters
โฑ๏ธ 3:47 duration
๐Ÿ†” ID: 12733392

๐Ÿ“œ Lyrics

Zangu zikishika niitiwe pedi
Naskianga rumors vijana wengi
Maybe fatuma maybe njeri
Achana tu ahh ah zimeripoti
Naskia waa naskia weh naskia wih
Naskia wah zimeshika wah
Naskia weh naskia wih
Naskia wah zimeshika weh
Na prefer kwa barabara
Chingri hunimadianga appetite mbaya
Mamoshi za makaya zi hufanya na gwaya
Gwaya mara kwa mara kiss kiss remade
Hiyo ndoa swara acha haya nakugwara yeah yeah
Acha haya utamwaya, utamwaya
Nakuadmire naona we ni kavagara
Kavagara tabia ya usexy maria cara
Hii mwaka laima tutachukua kura
Hii mwaka lazima tutapiga kura
Msupa mbona unanilove
Ama ni juh niko maddoh
Mathe mbona unanihate
Ama ni juh niko mandom
Hii Maisha inakuanga joh ni fupi
Usipochunga itakutoa nduki
Keep my vibe to the realest turi
Live your life to the fulest uuuwii
Hauski ana moodswing niko mating ting
Baby ma cookies, tuko ma put in
Toka keghuti mfupa ni ya nyuki
Amenifanya chupri na nimemjua juzi
Waaa usidunge imepasuka waaa
Si hadi hapa utasukwa waaaa
Ndio aende kusuka waaa
Alafu nitafikia mfupa
Amepanda bei juh ya hali ya uchumi
Na kumbe yeye hajui mih hukuanga mrui
Anashow maringo na amenifichia uchi
Na chini ya pillow ndio si huficha hoodie
Waaaa ehhe ehhe wiii ehhe ehhe
Wooo ehhe ehhe wuuh ehhe ehhe
Naskia waa naskia weh naskia wih
Naskia wah zimeshika wah

Naskia weh naskia wih
Naskia wah zimeshika weh
Ni mi tu ki nimekunywa chai moto
Zimeripoti zimeripoti
Zimeningwata walai zimenishika
Saii Niko na taki nunua mzinga kwa deko
Zimeniraru sitambui mambaru
Hii mwaka ni kujituma
Ka slipppers sura mbaya
Niko mavitu zimenishika
Zimeripoti walai zimeritipo
Pull up weekend ukispin tikitiki
Tuko chingri busy busy
Leta bake zigizigi
Na machweda na machweda ngoko namteka
Tepa tepa spender kama grader leta
Tuko tings matings walai
Naskia waa naskia weh naskia wih
Naskia wah zimeshika wah
Naskia weh naskia wih
Naskia wah zimeshika weh

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:11.15] Zangu zikishika niitiwe pedi
[00:12.99] Naskianga rumors vijana wengi
[00:15.30] Maybe fatuma maybe njeri
[00:17.46] Achana tu ahh ah zimeripoti
[00:20.65] Naskia waa naskia weh naskia wih
[00:24.24] Naskia wah zimeshika wah
[00:33.95] Naskia weh naskia wih
[00:39.54] Naskia wah zimeshika weh
[00:42.88] Na prefer kwa barabara
[00:44.74] Chingri hunimadianga appetite mbaya
[00:47.22] Mamoshi za makaya zi hufanya na gwaya
[00:49.88] Gwaya mara kwa mara kiss kiss remade
[00:52.62] Hiyo ndoa swara acha haya nakugwara yeah yeah
[00:56.32] Acha haya utamwaya, utamwaya
[00:58.54] Nakuadmire naona we ni kavagara
[01:00.67] Kavagara tabia ya usexy maria cara
[01:04.07] Hii mwaka laima tutachukua kura
[01:06.19] Hii mwaka lazima tutapiga kura
[01:08.39] Msupa mbona unanilove
[01:10.22] Ama ni juh niko maddoh
[01:11.53] Mathe mbona unanihate
[01:13.79] Ama ni juh niko mandom
[01:16.49] Hii Maisha inakuanga joh ni fupi
[01:18.31] Usipochunga itakutoa nduki
[01:19.71] Keep my vibe to the realest turi
[01:21.67] Live your life to the fulest uuuwii
[01:24.04] Hauski ana moodswing niko mating ting
[01:26.26] Baby ma cookies, tuko ma put in
[01:28.43] Toka keghuti mfupa ni ya nyuki
[01:30.25] Amenifanya chupri na nimemjua juzi
[01:33.86] Waaa usidunge imepasuka waaa
[01:38.48] Si hadi hapa utasukwa waaaa
[01:41.28] Ndio aende kusuka waaa
[01:43.67] Alafu nitafikia mfupa
[01:45.58] Amepanda bei juh ya hali ya uchumi
[01:47.56] Na kumbe yeye hajui mih hukuanga mrui
[01:50.02] Anashow maringo na amenifichia uchi
[01:52.71] Na chini ya pillow ndio si huficha hoodie
[01:55.15] Waaaa ehhe ehhe wiii ehhe ehhe
[02:00.54] Wooo ehhe ehhe wuuh ehhe ehhe
[02:05.78] Naskia waa naskia weh naskia wih
[02:12.15] Naskia wah zimeshika wah
[02:17.89] Naskia weh naskia wih
[02:21.13] Naskia wah zimeshika weh
[02:26.59] Ni mi tu ki nimekunywa chai moto
[02:28.93] Zimeripoti zimeripoti
[02:31.99] Zimeningwata walai zimenishika
[02:34.66] Saii Niko na taki nunua mzinga kwa deko
[02:37.14] Zimeniraru sitambui mambaru
[02:39.28] Hii mwaka ni kujituma
[02:40.98] Ka slipppers sura mbaya
[02:42.35] Niko mavitu zimenishika
[02:44.26] Zimeripoti walai zimeritipo
[02:47.06] Pull up weekend ukispin tikitiki
[02:49.46] Tuko chingri busy busy
[02:52.16] Leta bake zigizigi
[02:55.12] Na machweda na machweda ngoko namteka
[02:58.99] Tepa tepa spender kama grader leta
[03:07.94] Tuko tings matings walai
[03:10.36] Naskia waa naskia weh naskia wih
[03:20.34] Naskia wah zimeshika wah
[03:22.59] Naskia weh naskia wih
[03:26.83] Naskia wah zimeshika weh
[03:46.62]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings