Nani Kama Mama
๐ต 1723 characters
โฑ๏ธ 4:07 duration
๐ ID: 12754088
๐ Lyrics
Mama, oh mama (na Posi kwa Posi)
Mama, oh mama eh
Nani kama mama? Ah
Oye, nani kama mama? Heshima kwa mama
Yale mateso, ulinibeba
Miezi mitisa, tumboni mwako
Pole sana mama
Nikupe nini? Heshima kwa mama, mama, eh
Uliteseka siku ya kunitoa duniani
Nikupe nini? Mama, eh
Thamani ya malezi yako siwezi kuyalipa (mama eh)
Nani kama mama? (Mama, mama, ma)
Nani kama mama? (Mikono yako kwangu ni baraka)
Nani kama mama? (Usisubutu kumdharau mama, yo yo)
Nani kama mama? (Ma, ma, ma, mama)
Hello mama, hii ni kwako mama
See, nimekukumbuka sana
Mama, mama, usiku na mchana
Ay, nakuombea upumzike salama
Tabia na heshima, eh
Busara na hekima, eh
Ay, ulinifundisha vyema, eh
See, nakuombea upumzike salama
Matatizo ya dunia, eh
Kweli ninayapitia, eh
Yale ulonihusia, eh
Ya kweli mama, eh
Matatizo ya dunia, eh
Kweli ninayapitia, eh
Yale ulonihusia, eh
Eeh eh, mama, eh
Malezi ya mama, elimu ya mama
Haina ada wala cheti
Ila ni zaidi ya elimu ya chuo kikuu
Nikikumbuka zamani nilipokuwa mutoto
Nikilia usiku, mama, lazima utakesha na mimi
Huwezi kukubali niwe macho usiku
Nawe ufumbe macho yako
Mapenzi ya mama kwa mutoto wake
Haina mfano
Hata mapenzi ya boyfriend na girlfriend hayafiki hata robo
Nikikumbuka zamani nilipokuwa mutoto
Nikiumwa usiku, mama, lazima utakesha na mimi
Mola wasaidie wakina mama wote
Wape maisha marefu
Nani kama mama? Mama ni mama ye ye (mama ye)
Thamani ya malezi yako siwezi kuyalipa
Mama, mama ye
Mama, mama, mama
Nasema mama ni mama ye
Nani kama mama? (Mama)
Mama ni mama (ni mama)
Heshima kwa mama
Mama ni mama (we)
(Mama) nani kama mama? (Mama, mama, ma)

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:12.41] Mama, oh mama (na Posi kwa Posi)
[00:17.15] Mama, oh mama eh
[00:19.90] Nani kama mama? Ah
[00:22.98] Oye, nani kama mama? Heshima kwa mama
[00:25.66] Yale mateso, ulinibeba
[00:27.88] Miezi mitisa, tumboni mwako
[00:30.04] Pole sana mama
[00:32.28] Nikupe nini? Heshima kwa mama, mama, eh
[00:37.92] Uliteseka siku ya kunitoa duniani
[00:42.85] Nikupe nini? Mama, eh
[00:47.26] Thamani ya malezi yako siwezi kuyalipa (mama eh)
[00:51.51] Nani kama mama? (Mama, mama, ma)
[00:55.85] Nani kama mama? (Mikono yako kwangu ni baraka)
[01:00.55] Nani kama mama? (Usisubutu kumdharau mama, yo yo)
[01:05.03] Nani kama mama? (Ma, ma, ma, mama)
[01:09.84]
[01:15.48] Hello mama, hii ni kwako mama
[01:17.64] See, nimekukumbuka sana
[01:19.89] Mama, mama, usiku na mchana
[01:22.02] Ay, nakuombea upumzike salama
[01:25.04] Tabia na heshima, eh
[01:27.48] Busara na hekima, eh
[01:28.95] Ay, ulinifundisha vyema, eh
[01:31.13] See, nakuombea upumzike salama
[01:34.53] Matatizo ya dunia, eh
[01:36.68] Kweli ninayapitia, eh
[01:39.15] Yale ulonihusia, eh
[01:41.85] Ya kweli mama, eh
[01:43.47] Matatizo ya dunia, eh
[01:45.82] Kweli ninayapitia, eh
[01:48.11] Yale ulonihusia, eh
[01:50.81] Eeh eh, mama, eh
[01:52.54] Malezi ya mama, elimu ya mama
[01:57.46] Haina ada wala cheti
[02:00.02] Ila ni zaidi ya elimu ya chuo kikuu
[02:03.82] Nikikumbuka zamani nilipokuwa mutoto
[02:08.33] Nikilia usiku, mama, lazima utakesha na mimi
[02:12.72] Huwezi kukubali niwe macho usiku
[02:17.17] Nawe ufumbe macho yako
[02:19.52] Mapenzi ya mama kwa mutoto wake
[02:24.23] Haina mfano
[02:26.23] Hata mapenzi ya boyfriend na girlfriend hayafiki hata robo
[02:30.98] Nikikumbuka zamani nilipokuwa mutoto
[02:35.45] Nikiumwa usiku, mama, lazima utakesha na mimi
[02:39.89] Mola wasaidie wakina mama wote
[02:44.34] Wape maisha marefu
[02:46.79] Nani kama mama? Mama ni mama ye ye (mama ye)
[02:53.57] Thamani ya malezi yako siwezi kuyalipa
[02:58.18] Mama, mama ye
[03:00.08] Mama, mama, mama
[03:02.20] Nasema mama ni mama ye
[03:04.73] Nani kama mama? (Mama)
[03:06.97] Mama ni mama (ni mama)
[03:09.46] Heshima kwa mama
[03:11.56] Mama ni mama (we)
[03:13.78]
[03:23.51] (Mama) nani kama mama? (Mama, mama, ma)
[03:29.14] Nani kama mama? (Mikono yako kwangu ni baraka)
[03:33.82] Nani kama mama? (Usisubutu kumdharau mama, yo yo)
[03:38.37] Nani kama mama? (Ma, ma, ma, mama)
[03:43.91]