Msinitenge
๐ต 3439 characters
โฑ๏ธ 5:16 duration
๐ ID: 12754659
๐ Lyrics
Kweli mimi nakiri yakwamba nimeathirika
Mbio ziko ukingoni duniani nataabika
Afya yangu inayumba nahara na kutapika
Napiga goti natubu najua saa itafikia
Baada tu ya kupima nikagundua sio mzima
Na sasa ninajukumu la kuokoa jamii nzima
Hakuna asiye tambua gonjwa hili ni la hatari
Nilicho fanya ndugu zangu niliwapasha habari
Wengi walinitazama kwa macho ya chini chini
Eti kwa kuwa nnaupungufu wa kinga mwilini
Na kila mwathirika wanasema amefanya ngono
Na hii ndio sababu iliofanya nifungue mdomo
Wengi wanasahau bado wanachangia sindano
Viwembe na mikasi hospitali viwe mfano
Watoto wameupata kupitia baba na mama
Wazazi wanapokufa jamii inawasakama
Na hii inatokea shuleni hata majumbani
Poleni wote mnaotengwa na watu njiani
Ipo siku itafika milango itafunguka
Na maumivu makali ya dunia tutayavuka
Msinitenge, ndugu zangu msinitenge
Msinitenge, rafiki zangu msinitenge
Na siku ikifika ikibidi mnizike
Kwenye makazi mapya nipelekeni nipumzike nimechoka
Msinitenge, ndugu zangu msinitenge
Msinitenge, rafiki zangu msinitenge
Na siku ikifika ikibidi mnizike
Kwenye makazi mapya nipelekeni nipumzike nimechoka jamaa
Nakwenda hospitali watu wananitazama
Nashindwa kutembea manesi wananitukana
Nguvu zinaniishia mwili wangu wote unanuka
Ni nani wa kunishika japo anifunike shuka?
Mwili wote unawasha sioni pa kujikuna
Nawaomba msaada watu wote naona wananuna
Nikune hata kwa mti japo unipinguzie uchungu
Na mimi nitakuombea upate thawabu kwa Mungu
Macho wamefunguka lakini mbele sioni
Taswira ya jinamizi inatokea ndani ya mboni
Watu wenye imani wananisalia kwenye kitanda
Wenye roho nyepesi wameshaninunulia sanda
Mafitini na wenye chuki kwa wingi waja kuniona
Na dhani wanafarijika kwa hali wanayoiona
N'nawataza usoni wengine wananicheka
Kipi mnachocheka wakati mi' nnateseka
Bora msingekuja mfanye party mburudike
Waacheni wazazi wangu machozi yawabubujike
Na kama mmenichoka ni heri mnimalizie
Ili maumivu makali kesho yasijirudie
Ila nawakumbusha yakwamba safari ni moja
Nawaacha niwatangulie niendapo nitawangoja
Hakika furaha yenu ya sasa itakuwa kilio
Na kila mmoja wenu atazikwa kwa mapambio, mm

Walimwengu nawauliza mbona mnaangalia pembeni
Jamani mpo huru kama mnadukuduku semeni
Nashangaa wengi wenu mnafurahi kuniona hivi
Na eti! Kila mmoja anajiuliza mbona sifi?
Najuta ila kamwe nasema sijutii kufa
Najutia nafsi yangu adhabu itakayo ikuta
Wengi mnadharau sana wagonjwa wa ukimwi
Mnanicheka mimi mbona na nyinyi hampimi
Ah, kama unajali nibora Angaza
Okoa kizazi chako cha bongo kwa kujitangaza
Ni nani aliyekwambia Condom inazuia ukimwi?
Naona unajaribu kukausha bahari kwa ulimi
Ukimwi hauzuiliki hata kwa Condom za bati
Na dawa ni moja tu nasema acha uwasherati
Wengi naona wanakuja tu, wapate cha kuongea
Wengine mali zangu wameshaanza kuzigombea
Ah, nikipata nafuu wengi mnachukia
Babo najiuliza wangapi mtanifukia?
Ni nani aliyewatuma hapa hosipitali mnifate?
Maana nikiwashika mikono mnatema mate
'Uwezi kuambukizwa kwa kumshika muathirika
Na pale unaponitenga najiona ndani ya gharika
Ndio maana wasio na akili wanataka kuusambaza
Wanatoa hela nyingi ni nani wauwakataza, kuwakataza

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:22.23] Kweli mimi nakiri yakwamba nimeathirika
[00:24.98] Mbio ziko ukingoni duniani nataabika
[00:27.55] Afya yangu inayumba nahara na kutapika
[00:30.05] Napiga goti natubu najua saa itafikia
[00:32.77] Baada tu ya kupima nikagundua sio mzima
[00:35.12] Na sasa ninajukumu la kuokoa jamii nzima
[00:37.61] Hakuna asiye tambua gonjwa hili ni la hatari
[00:40.21] Nilicho fanya ndugu zangu niliwapasha habari
[00:42.74] Wengi walinitazama kwa macho ya chini chini
[00:45.16] Eti kwa kuwa nnaupungufu wa kinga mwilini
[00:47.62] Na kila mwathirika wanasema amefanya ngono
[00:50.12] Na hii ndio sababu iliofanya nifungue mdomo
[00:53.03] Wengi wanasahau bado wanachangia sindano
[00:55.41] Viwembe na mikasi hospitali viwe mfano
[00:57.87] Watoto wameupata kupitia baba na mama
[01:00.32] Wazazi wanapokufa jamii inawasakama
[01:02.83] Na hii inatokea shuleni hata majumbani
[01:05.43] Poleni wote mnaotengwa na watu njiani
[01:08.09] Ipo siku itafika milango itafunguka
[01:10.55] Na maumivu makali ya dunia tutayavuka
[01:12.99] Msinitenge, ndugu zangu msinitenge
[01:18.04] Msinitenge, rafiki zangu msinitenge
[01:22.99] Na siku ikifika ikibidi mnizike
[01:27.77] Kwenye makazi mapya nipelekeni nipumzike nimechoka
[01:33.28] Msinitenge, ndugu zangu msinitenge
[01:38.18] Msinitenge, rafiki zangu msinitenge
[01:43.40] Na siku ikifika ikibidi mnizike
[01:47.93] Kwenye makazi mapya nipelekeni nipumzike nimechoka jamaa
[01:53.47] Nakwenda hospitali watu wananitazama
[01:55.96] Nashindwa kutembea manesi wananitukana
[01:58.56] Nguvu zinaniishia mwili wangu wote unanuka
[02:01.11] Ni nani wa kunishika japo anifunike shuka?
[02:03.54] Mwili wote unawasha sioni pa kujikuna
[02:06.02] Nawaomba msaada watu wote naona wananuna
[02:08.77] Nikune hata kwa mti japo unipinguzie uchungu
[02:11.11] Na mimi nitakuombea upate thawabu kwa Mungu
[02:13.65] Macho wamefunguka lakini mbele sioni
[02:16.18] Taswira ya jinamizi inatokea ndani ya mboni
[02:18.53] Watu wenye imani wananisalia kwenye kitanda
[02:21.39] Wenye roho nyepesi wameshaninunulia sanda
[02:23.45] Mafitini na wenye chuki kwa wingi waja kuniona
[02:26.36] Na dhani wanafarijika kwa hali wanayoiona
[02:28.81] N'nawataza usoni wengine wananicheka
[02:31.28] Kipi mnachocheka wakati mi' nnateseka
[02:33.98] Bora msingekuja mfanye party mburudike
[02:36.49] Waacheni wazazi wangu machozi yawabubujike
[02:38.81] Na kama mmenichoka ni heri mnimalizie
[02:41.30] Ili maumivu makali kesho yasijirudie
[02:44.02] Ila nawakumbusha yakwamba safari ni moja
[02:46.49] Nawaacha niwatangulie niendapo nitawangoja
[02:49.06] Hakika furaha yenu ya sasa itakuwa kilio
[02:51.42] Na kila mmoja wenu atazikwa kwa mapambio, mm
[02:53.93] Msinitenge, ndugu zangu msinitenge
[02:59.15] Msinitenge, rafiki zangu msinitenge
[03:03.90] Na siku ikifika ikibidi mnizike
[03:08.81] Kwenye makazi mapya nipelekeni nipumzike nimechoka
[03:14.34] Msinitenge, ndugu zangu msinitenge
[03:19.30] Msinitenge, rafiki zangu msinitenge
[03:24.24] Na siku ikifika ikibidi mnizike
[03:29.02] Kwenye makazi mapya nipelekeni nipumzike nimechoka jamaa
[03:34.47] Walimwengu nawauliza mbona mnaangalia pembeni
[03:37.01] Jamani mpo huru kama mnadukuduku semeni
[03:39.43] Nashangaa wengi wenu mnafurahi kuniona hivi
[03:42.12] Na eti! Kila mmoja anajiuliza mbona sifi?
[03:44.53] Najuta ila kamwe nasema sijutii kufa
[03:47.21] Najutia nafsi yangu adhabu itakayo ikuta
[03:49.74] Wengi mnadharau sana wagonjwa wa ukimwi
[03:52.18] Mnanicheka mimi mbona na nyinyi hampimi
[03:54.60] Ah, kama unajali nibora Angaza
[03:57.38] Okoa kizazi chako cha bongo kwa kujitangaza
[03:59.98] Ni nani aliyekwambia Condom inazuia ukimwi?
[04:02.35] Naona unajaribu kukausha bahari kwa ulimi
[04:04.84] Ukimwi hauzuiliki hata kwa Condom za bati
[04:07.39] Na dawa ni moja tu nasema acha uwasherati
[04:09.84] Wengi naona wanakuja tu, wapate cha kuongea
[04:12.31] Wengine mali zangu wameshaanza kuzigombea
[04:14.99] Ah, nikipata nafuu wengi mnachukia
[04:17.35] Babo najiuliza wangapi mtanifukia?
[04:19.82] Ni nani aliyewatuma hapa hosipitali mnifate?
[04:22.62] Maana nikiwashika mikono mnatema mate
[04:24.94] 'Uwezi kuambukizwa kwa kumshika muathirika
[04:27.48] Na pale unaponitenga najiona ndani ya gharika
[04:30.04] Ndio maana wasio na akili wanataka kuusambaza
[04:32.58] Wanatoa hela nyingi ni nani wauwakataza, kuwakataza
[04:37.44]