Sitanyamaza
๐ต 2229 characters
โฑ๏ธ 8:24 duration
๐ ID: 12770769
๐ Lyrics
Eeeehhhh... Mimi Mungu (Me, God)
Matendo nitalia, Kwa sinani nitaomboleza
Sodoma nitanung'unika, Mipakani nitashambulia
Mijini wameniacha, Kila mara nitashambulia
Maisha ya wanadamu,Yamenichosha.
Oh oh mimi
Sitanyamaza, wala sitanyamaza
Lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao
Maovu yenu ninyi, pamoja na baba zenu
Nasema nitalipa ndio mjue mimi ni Bwana
Mmefukiza uvumba,na kunitukana
Kwa ajili ya haya mtajutia vitani mwenu?
Sitanyamaza, wala sitanyamaza
Lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao
Maovu yenu ninyi, pamoja na baba zenu
Nasema nitalipa ndio mjue mimi ni Bwana
Mmefukiza uvumba, na kunitukana

Mmefanya uzinzi katikati ya milima
Usiku wa manane mmefanya ukahaba
Kwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatano
Kwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo

Ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba
Kila kijana aliyepita ulimwona anafaa
Awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda

Wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda
Wako wapi mapenzi zako mbona sasa unakonda

Wako wapi waelizamu (?) wako mbona sasa unakonda
Miji mizuri imekuwa ukiwa
Majumba mazuri yamefungwa kabisa
Wana wa wana wamebaki yatima
Kiburi chamuwamu(?) imekoma kabisa
Miji mizuri imekuwa ukiwa
Majumba mazuri yamefungwa kabisa
Wana wa wana wamebaki yatima
Kiburi chamuwamu(?) imekoma kabisa
Hebu sasa piga kelele uliyeka habaa
Shika kinubi omboleza upate kukumbukwa
Hebu sasa piga kelele uliyeka habaa
Shika kinubi omboleza upate kukumbukwa
Nirudieni mimi niwasamehe, Nasema mgeukeni sasa niwaponye 5
Lakini Bwana asema hivi, nitawaponya
Yeye mwenyewe aahidi, nitawabariki
Mimi ni alfa na omega ayyoyo, mwanzo na mwisho
Jamani mimi ni mungu, mwingine hapana

Nirudieni mimi niwasamehe, Nasema mgeukeni sasa niwaponye 7 to fade

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:08.34] Eeeehhhh... Mimi Mungu (Me, God)
[00:14.18] Matendo nitalia, Kwa sinani nitaomboleza
[00:18.74] Sodoma nitanung'unika, Mipakani nitashambulia
[00:24.04] Mijini wameniacha, Kila mara nitashambulia
[00:28.79] Maisha ya wanadamu,Yamenichosha.
[00:37.49] Oh oh mimi
[00:43.65] Sitanyamaza, wala sitanyamaza
[00:48.54] Lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao
[00:53.61] Maovu yenu ninyi, pamoja na baba zenu
[00:58.73] Nasema nitalipa ndio mjue mimi ni Bwana
[01:03.56] Mmefukiza uvumba,na kunitukana
[01:08.45] Kwa ajili ya haya mtajutia vitani mwenu?
[01:13.25] Sitanyamaza, wala sitanyamaza
[01:18.50] Lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao
[01:23.26] Maovu yenu ninyi, pamoja na baba zenu
[01:28.20] Nasema nitalipa ndio mjue mimi ni Bwana
[01:32.39] Mmefukiza uvumba, na kunitukana
[01:37.96] Kwa ajili ya haya mtajutia vitani mwenu?
[01:53.48] Mmefanya uzinzi katikati ya milima
[01:57.87] Usiku wa manane mmefanya ukahaba
[02:02.62] Kwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatano
[02:07.02] Kwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo
[02:12.37] Mmefanya uzinzi katikati ya milima
[02:17.66] Usiku wa manane mmefanya ukahaba
[02:22.74] Kwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatano
[02:27.86] Kwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo
[02:43.11] Ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba
[02:46.96] Kila kijana aliyepita ulimwona anafaa
[02:52.38] Awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda
[02:57.46] Ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba
[03:02.55] Kila kijana aliyepita ulimwona anafaa
[03:07.23] Awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda
[03:12.24] Wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda
[03:17.00] Wako wapi mapenzi zako mbona sasa unakonda
[03:21.38] Wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda
[03:26.84] Wako wapi waelizamu (?) wako mbona sasa unakonda
[03:52.89] Miji mizuri imekuwa ukiwa
[03:57.33] Majumba mazuri yamefungwa kabisa
[04:02.58] Wana wa wana wamebaki yatima
[04:06.91] Kiburi chamuwamu(?) imekoma kabisa
[04:12.56] Miji mizuri imekuwa ukiwa
[04:17.35] Majumba mazuri yamefungwa kabisa
[04:21.96] Wana wa wana wamebaki yatima
[04:26.82] Kiburi chamuwamu(?) imekoma kabisa
[04:43.35] Hebu sasa piga kelele uliyeka habaa
[04:47.33] Shika kinubi omboleza upate kukumbukwa
[04:52.43] Hebu sasa piga kelele uliyeka habaa
[04:57.14] Shika kinubi omboleza upate kukumbukwa
[05:21.51] Nirudieni mimi niwasamehe, Nasema mgeukeni sasa niwaponye 5
[06:30.30] Lakini Bwana asema hivi, nitawaponya
[06:34.71] Yeye mwenyewe aahidi, nitawabariki
[06:40.22] Mimi ni alfa na omega ayyoyo, mwanzo na mwisho
[06:45.33] Jamani mimi ni mungu, mwingine hapana
[06:49.99] Lakini Bwana asema hivi, nitawaponya
[06:55.58] Yeye mwenyewe aahidi, nitawabariki
[07:00.17] Mimi ni alfa na omega ayyoyo, mwanzo na mwisho
[07:04.75] Jamani mimi ni mungu, mwingine hapana
[07:08.50] Nirudieni mimi niwasamehe, Nasema mgeukeni sasa niwaponye 7 to fade
[08:21.63]