Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Siku Hazigandi

๐Ÿ‘ค Lady Jaydee โ€ข ๐ŸŽผ Shukrani โ€ข โฑ๏ธ 4:52
๐ŸŽต 1719 characters
โฑ๏ธ 4:52 duration
๐Ÿ†” ID: 12801246

๐Ÿ“œ Lyrics

ad lib...
Mmmh. Mmmmh. Mmmh.
Aiya yah yah yah yah yaaah...

Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

Aih!! Nimesemwa sana jamani, Hamchoki? (speaks out in disgust.)

Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu
Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki
Kusemwa semwa sitaki, hakuna alie msafi

Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti
Sijali visa vyenu havifanani vya ukweli
Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu
Kunijua sana undani siwapi tena nafasi
Oooh siku hazigandi, hata mseme mangapi
Kila mtu ana dhambi, hakuna alie msafi

Musical Interlude...

Nadhani... Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu

Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.10] Ad lib...
[00:07.08] Mmmh. Mmmmh. Mmmh.
[00:24.08] Aiya yah yah yah yah yaaah...
[00:31.76] Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
[00:36.50] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[00:39.93] Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
[00:44.74] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[00:49.67] Aih!! Nimesemwa sana jamani, Hamchoki? (speaks out in disgust.)
[00:58.69] Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
[01:01.78] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[01:06.71] Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
[01:12.59] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[01:17.67] Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
[01:21.34] Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
[01:25.59] Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
[01:30.29] Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu
[01:35.03] Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki
[01:39.80] Kusemwa semwa sitaki, hakuna alie msafi
[01:44.77] Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
[01:49.80] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[01:53.77] Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
[02:00.09] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[02:03.14] Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
[02:08.10] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[02:12.11] Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
[02:17.40] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[02:22.32] Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti
[02:26.43] Sijali visa vyenu havifanani vya ukweli
[02:30.11] Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu
[02:35.24] Kunijua sana undani siwapi tena nafasi
[02:40.45] Oooh siku hazigandi, hata mseme mangapi
[02:44.80] Kila mtu ana dhambi, hakuna alie msafi
[02:49.53] Musical Interlude...
[03:33.82] Nadhani... Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
[03:39.45] Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
[03:44.02] Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
[03:48.87] Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu
[03:52.80] Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
[03:59.10] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[04:03.16] Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
[04:08.08] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[04:12.90] Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
[04:16.95] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[04:20.84] Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
[04:26.65] Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
[04:31.85]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings