Mimi Ndimi Njia
๐ต 1572 characters
โฑ๏ธ 5:21 duration
๐ ID: 12805550
๐ Lyrics
tazama nimesima aaah,.mlangoni ninapisha
yeyote anisikiaye eeh .aanikaribishe eeh
mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe
bali atapata usimaaaah.
mimi ndimi njia na usima usima wa milele yeyote
aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaa aah aah aah...
nira yangu ni rahisiiiih msigo wangu mwepesii.
njoni kwangu wenye dhambiii
nitawapumzishaaa.

bali atapata usimaaaa.
mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote
aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaaa aah aah aah.
kwa ajili ya dhamni zenuuu ndipo nikasulubiwaa.
kwa ajili ya magonjwa yenuuu
ndipo nikaumizwaaa

aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaaa

aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaaa aah aah aah
kama yule nyoka wa shabaaa musa aliinua .
ndivyo hivyo mwana wa munguuu amee inuliwaaa

aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaa

tazama nimesimamaaaa
mlangoni ninapishaaa
yeyote anisikiayee aanikaribishee.

aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usima

aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaa aah aah aah.
mkubali yesu mkubali yesu mkubali yesu uokolewee
mkubali yesu mkubali yesu mkubali yesu
usamehewee... mkubali yesu mkubali yesu mkubali yesu usameheweee
mkubali yesu