Mimi Nasafiri
๐ต 1778 characters
โฑ๏ธ 5:52 duration
๐ ID: 12891055
๐ Lyrics
Mimi nasafiri oh
Mimi nasafiri
Duniani napita
Naelekea juu mbinguni
Kwa baba yetu huko
Naelekea juu mbinguni
Kwenye makao ya milele
Naelekea juu mbinguni
Kwa Baba yetu huko
Mbinguni juu kwa Baba
Mbinguni juu kwa Baba
Mbinguni juu kwa Baba
Bwana kweli mimi nasafiri oh
Mimi Bwana kweli nasafiri
Mimi Bwana kweli nasafiri oh
Mimi Bwana kweli nasafiri oh
Dunia ninapita
Wenyeji wangu kwako
Dunia ninapita
Wenyeji wangu kwako Bwana eh
Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
Dunia matatizo
Dunia shida nyingi eh
Dunia dhiki magonjwa
Dunia vifo vingi
Dunia matatizo
Dunia shida nyingi eh
Dunia dhiki magonjwa
Dunia vifo vingi eeh Bwana eh
Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji
Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji
Kweli Bwana mimi muhitaji
Mimi Bwana kweli muhitaji
Nahitaji upendo wako
Nahitaji baraka zako
Nahitaji miujiza
Nahitaji rehema zako
Nahitaji neema zako
Nahitaji upendo wako
Nahitaji baraka zako
Nahitaji miujiza Bwana eh
Kweli Bwana mimi muhitaji eh
Mimi Bwana Yesu kweli muhitaji eh
Mimi Bwana kweli muhitaji eh
Mimi Bwana kweli muhitaji eh
Nahitaji uweza wako
Bila wewe Yesu mimi siwezi eh
Mimi siwezi
Bila we ya dunia yanizungukapo
Mimi siwezi
Kukabiliwa nayo magonjwa
Mimi siwezi
Ona shida katika maisha
Mimi siwezi
Bila wewe Yesu mimi siwezi
Mimi siwezi
Bila wewe Yesu mimi siwezi
Mimi siwezi
Bila wewe Yesu mimi siwezi
Mimi siwezi
Matatizo ya dunia yanizungukapo
Mimi siwezi
Ona hili gonjwa la Ukimwi
Mimi siwezi
Bila wewe Yesu mimi siwezi
Mimi siwezi
Bila wewe Yesu mimi siwezi
Mimi siwezi
Nina wewe Yesu mimi mushinda
Mimi n'tashinda
Yale ya dunia mimi n'tashinda
Mimi n'tashinda
Nikiwa nawe Yesu mimi n'tashinda
Mimi n'tashinda
Yale ya dunia mimi n'tashinda
Mimi n'tashinda
Mimi nasafiri
Duniani napita
Naelekea juu mbinguni
Kwa baba yetu huko
Naelekea juu mbinguni
Kwenye makao ya milele
Naelekea juu mbinguni
Kwa Baba yetu huko
Mbinguni juu kwa Baba
Mbinguni juu kwa Baba
Mbinguni juu kwa Baba
Bwana kweli mimi nasafiri oh
Mimi Bwana kweli nasafiri
Mimi Bwana kweli nasafiri oh
Mimi Bwana kweli nasafiri oh
Dunia ninapita
Wenyeji wangu kwako
Dunia ninapita
Wenyeji wangu kwako Bwana eh
Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
Dunia matatizo
Dunia shida nyingi eh
Dunia dhiki magonjwa
Dunia vifo vingi
Dunia matatizo
Dunia shida nyingi eh
Dunia dhiki magonjwa
Dunia vifo vingi eeh Bwana eh
Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji
Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji
Kweli Bwana mimi muhitaji
Mimi Bwana kweli muhitaji
Nahitaji upendo wako
Nahitaji baraka zako
Nahitaji miujiza
Nahitaji rehema zako
Nahitaji neema zako
Nahitaji upendo wako
Nahitaji baraka zako
Nahitaji miujiza Bwana eh
Kweli Bwana mimi muhitaji eh
Mimi Bwana Yesu kweli muhitaji eh
Mimi Bwana kweli muhitaji eh
Mimi Bwana kweli muhitaji eh
Nahitaji uweza wako
Bila wewe Yesu mimi siwezi eh
Mimi siwezi
Bila we ya dunia yanizungukapo
Mimi siwezi
Kukabiliwa nayo magonjwa
Mimi siwezi
Ona shida katika maisha
Mimi siwezi
Bila wewe Yesu mimi siwezi
Mimi siwezi
Bila wewe Yesu mimi siwezi
Mimi siwezi
Bila wewe Yesu mimi siwezi
Mimi siwezi
Matatizo ya dunia yanizungukapo
Mimi siwezi
Ona hili gonjwa la Ukimwi
Mimi siwezi
Bila wewe Yesu mimi siwezi
Mimi siwezi
Bila wewe Yesu mimi siwezi
Mimi siwezi
Nina wewe Yesu mimi mushinda
Mimi n'tashinda
Yale ya dunia mimi n'tashinda
Mimi n'tashinda
Nikiwa nawe Yesu mimi n'tashinda
Mimi n'tashinda
Yale ya dunia mimi n'tashinda
Mimi n'tashinda
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:28.66] Mimi nasafiri oh
[00:33.63] Mimi nasafiri
[00:36.07] Duniani napita
[00:38.62] Naelekea juu mbinguni
[00:41.06] Kwa baba yetu huko
[00:43.30] Naelekea juu mbinguni
[00:45.27] Kwenye makao ya milele
[00:47.83] Naelekea juu mbinguni
[00:50.06] Kwa Baba yetu huko
[00:52.26] Mbinguni juu kwa Baba
[00:56.71] Mbinguni juu kwa Baba
[01:01.39] Mbinguni juu kwa Baba
[01:06.03] Bwana kweli mimi nasafiri oh
[01:10.92] Mimi Bwana kweli nasafiri
[01:15.37] Mimi Bwana kweli nasafiri oh
[01:20.22] Mimi Bwana kweli nasafiri oh
[01:24.33] Dunia ninapita
[01:26.64] Wenyeji wangu kwako
[01:29.13] Dunia ninapita
[01:31.49] Wenyeji wangu kwako Bwana eh
[01:35.01]
[02:07.19] Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:11.80] Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:16.36] Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:21.26] Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:25.33] Dunia matatizo
[02:27.44] Dunia shida nyingi eh
[02:30.15] Dunia dhiki magonjwa
[02:32.52] Dunia vifo vingi
[02:34.57] Dunia matatizo
[02:37.18] Dunia shida nyingi eh
[02:39.50] Dunia dhiki magonjwa
[02:41.94] Dunia vifo vingi eeh Bwana eh
[02:45.60]
[03:08.60] Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji
[03:13.07] Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji
[03:17.76] Kweli Bwana mimi muhitaji
[03:22.57] Mimi Bwana kweli muhitaji
[03:26.87] Nahitaji upendo wako
[03:28.53] Nahitaji baraka zako
[03:31.10] Nahitaji miujiza
[03:33.23] Nahitaji rehema zako
[03:35.70] Nahitaji neema zako
[03:37.82] Nahitaji upendo wako
[03:40.33] Nahitaji baraka zako
[03:42.94] Nahitaji miujiza Bwana eh
[03:50.94] Kweli Bwana mimi muhitaji eh
[03:55.41] Mimi Bwana Yesu kweli muhitaji eh
[04:00.06] Mimi Bwana kweli muhitaji eh
[04:04.38] Mimi Bwana kweli muhitaji eh
[04:09.36] Nahitaji uweza wako
[04:10.59]
[04:27.99] Bila wewe Yesu mimi siwezi eh
[04:30.88] Mimi siwezi
[04:32.45] Bila we ya dunia yanizungukapo
[04:35.68] Mimi siwezi
[04:37.65] Kukabiliwa nayo magonjwa
[04:40.42] Mimi siwezi
[04:41.62] Ona shida katika maisha
[04:44.68] Mimi siwezi
[04:46.57] Bila wewe Yesu mimi siwezi
[04:49.64] Mimi siwezi
[04:51.06] Bila wewe Yesu mimi siwezi
[04:54.55] Mimi siwezi
[04:55.94] Bila wewe Yesu mimi siwezi
[04:59.20] Mimi siwezi
[05:00.66] Matatizo ya dunia yanizungukapo
[05:03.91] Mimi siwezi
[05:05.37] Ona hili gonjwa la Ukimwi
[05:08.33] Mimi siwezi
[05:09.88] Bila wewe Yesu mimi siwezi
[05:12.91] Mimi siwezi
[05:14.14] Bila wewe Yesu mimi siwezi
[05:17.62] Mimi siwezi
[05:19.10]
[05:28.61] Nina wewe Yesu mimi mushinda
[05:31.66] Mimi n'tashinda
[05:32.96] Yale ya dunia mimi n'tashinda
[05:36.65] Mimi n'tashinda
[05:37.71] Nikiwa nawe Yesu mimi n'tashinda
[05:40.97] Mimi n'tashinda
[05:42.42] Yale ya dunia mimi n'tashinda
[05:45.89] Mimi n'tashinda
[05:51.83]
[00:33.63] Mimi nasafiri
[00:36.07] Duniani napita
[00:38.62] Naelekea juu mbinguni
[00:41.06] Kwa baba yetu huko
[00:43.30] Naelekea juu mbinguni
[00:45.27] Kwenye makao ya milele
[00:47.83] Naelekea juu mbinguni
[00:50.06] Kwa Baba yetu huko
[00:52.26] Mbinguni juu kwa Baba
[00:56.71] Mbinguni juu kwa Baba
[01:01.39] Mbinguni juu kwa Baba
[01:06.03] Bwana kweli mimi nasafiri oh
[01:10.92] Mimi Bwana kweli nasafiri
[01:15.37] Mimi Bwana kweli nasafiri oh
[01:20.22] Mimi Bwana kweli nasafiri oh
[01:24.33] Dunia ninapita
[01:26.64] Wenyeji wangu kwako
[01:29.13] Dunia ninapita
[01:31.49] Wenyeji wangu kwako Bwana eh
[01:35.01]
[02:07.19] Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:11.80] Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:16.36] Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:21.26] Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:25.33] Dunia matatizo
[02:27.44] Dunia shida nyingi eh
[02:30.15] Dunia dhiki magonjwa
[02:32.52] Dunia vifo vingi
[02:34.57] Dunia matatizo
[02:37.18] Dunia shida nyingi eh
[02:39.50] Dunia dhiki magonjwa
[02:41.94] Dunia vifo vingi eeh Bwana eh
[02:45.60]
[03:08.60] Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji
[03:13.07] Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji
[03:17.76] Kweli Bwana mimi muhitaji
[03:22.57] Mimi Bwana kweli muhitaji
[03:26.87] Nahitaji upendo wako
[03:28.53] Nahitaji baraka zako
[03:31.10] Nahitaji miujiza
[03:33.23] Nahitaji rehema zako
[03:35.70] Nahitaji neema zako
[03:37.82] Nahitaji upendo wako
[03:40.33] Nahitaji baraka zako
[03:42.94] Nahitaji miujiza Bwana eh
[03:50.94] Kweli Bwana mimi muhitaji eh
[03:55.41] Mimi Bwana Yesu kweli muhitaji eh
[04:00.06] Mimi Bwana kweli muhitaji eh
[04:04.38] Mimi Bwana kweli muhitaji eh
[04:09.36] Nahitaji uweza wako
[04:10.59]
[04:27.99] Bila wewe Yesu mimi siwezi eh
[04:30.88] Mimi siwezi
[04:32.45] Bila we ya dunia yanizungukapo
[04:35.68] Mimi siwezi
[04:37.65] Kukabiliwa nayo magonjwa
[04:40.42] Mimi siwezi
[04:41.62] Ona shida katika maisha
[04:44.68] Mimi siwezi
[04:46.57] Bila wewe Yesu mimi siwezi
[04:49.64] Mimi siwezi
[04:51.06] Bila wewe Yesu mimi siwezi
[04:54.55] Mimi siwezi
[04:55.94] Bila wewe Yesu mimi siwezi
[04:59.20] Mimi siwezi
[05:00.66] Matatizo ya dunia yanizungukapo
[05:03.91] Mimi siwezi
[05:05.37] Ona hili gonjwa la Ukimwi
[05:08.33] Mimi siwezi
[05:09.88] Bila wewe Yesu mimi siwezi
[05:12.91] Mimi siwezi
[05:14.14] Bila wewe Yesu mimi siwezi
[05:17.62] Mimi siwezi
[05:19.10]
[05:28.61] Nina wewe Yesu mimi mushinda
[05:31.66] Mimi n'tashinda
[05:32.96] Yale ya dunia mimi n'tashinda
[05:36.65] Mimi n'tashinda
[05:37.71] Nikiwa nawe Yesu mimi n'tashinda
[05:40.97] Mimi n'tashinda
[05:42.42] Yale ya dunia mimi n'tashinda
[05:45.89] Mimi n'tashinda
[05:51.83]