Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Ova

๐Ÿ‘ค Mbosso โ€ข ๐ŸŽผ Mbosso Videos โ€ข โฑ๏ธ 3:28
๐ŸŽต 937 characters
โฑ๏ธ 3:28 duration
๐Ÿ†” ID: 12930911

๐Ÿ“œ Lyrics

Vishavu vimeanza kunona
Kitambi ndo hichi sasa ona
Nitazame, nanenepa nanenepa
Nami nimempata chioma

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kunitukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova ova

Ova mi na wewe ova
Ova imetosha ova
Ova mi na wewe ova
Ova nimesema ova

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear

Shilingi shilingi shilingi
Shilingi yatutoa roho shilingi
Shilingi yo ni mwanaharamu shilingi
Shilingi ya ua mapenzi

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear

Ova mi na wewe ova
Ova imetosha ova
Ova mi na wewe ova
Ova nimesema ova

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova ova

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:14.55] Vishavu vimeanza kunona
[00:19.18] Kitambi ndo hichi sasa ona
[00:22.78] Nitazame, nanenepa nanenepa
[00:28.09] Nami nimempata chioma
[00:30.94] Ulijichanganya, na nilikupenda sana
[00:34.94] Walokudanganya, ndo walokuponza dear
[00:39.19] Kujitia mpana, mara kunitukana
[00:43.47] Kwakweli hapana, nikasema ova dear
[00:47.63] Ova ova
[00:49.48] Ova mi na wewe ova
[00:53.53] Ova imetosha ova
[00:57.86] Ova mi na wewe ova
[01:02.00] Ova nimesema ova
[01:04.58] Ulijichanganya, na nilikupenda sana
[01:08.93] Walokudanganya, ndo walokuponza dear
[01:13.26] Kujitia mpana, mara kuntukana
[01:17.47] Kwakweli hapana, nikasema ova dear
[01:39.51] Shilingi shilingi shilingi
[01:44.40] Shilingi yatutoa roho shilingi
[01:48.54] Shilingi yo ni mwanaharamu shilingi
[01:52.82] Shilingi ya ua mapenzi
[01:55.77] Ulijichanganya, na nilikupenda sana
[01:59.93] Walokudanganya, ndo walokuponza dear
[02:04.24] Kujitia mpana, mara kuntukana
[02:08.34] Kwakweli hapana, nikasema ova dear
[02:12.63] Ova mi na wewe ova
[02:18.39] Ova imetosha ova
[02:22.69] Ova mi na wewe ova
[02:26.99] Ova nimesema ova
[02:29.67] Ulijichanganya, na nilikupenda sana
[02:33.87] Walokudanganya, ndo walokuponza dear
[02:38.23] Kujitia mpana, mara kuntukana
[02:42.35] Kwakweli hapana, nikasema ova dear
[02:46.44] Ova ova
[03:27.22]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings