Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Amen

๐Ÿ‘ค Mathias Walichupa โ€ข ๐ŸŽผ Amen โ€ข โฑ๏ธ 3:49
๐ŸŽต 1111 characters
โฑ๏ธ 3:49 duration
๐Ÿ†” ID: 12968855

๐Ÿ“œ Lyrics

Ninayo sababu ya kusimama
Mbele za watu, kwa ujasiri, mmmh
Niziseme shuhuda zako BWANA wangu
Jinsi, we ulivyo nisitiri
Nakama ungeniacha, mi nisingeweza
Ningeli angamia, angamia
Kwa neema yako, nimeweza
Maana umenisimamia, simamia, ah-ah-ah-ah
Najitabiria, mabaya yote hayana nafasi
Kwa jina la YESU ninakiri kupokea ushindi
Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
Nikitamka (Amen)
Inatimia (Amen)
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya YESU (Ooh-uoo)
Ooh
Kama ni Mali, Fedha na Dhahabu mimi (Nitavipata tu)
Ambavyo wazazi wangu, Hawakuvipata (Nitavipata tu)
Kuongezeka imani niyashinde majaribu (Nitafanikiwa)
Kuishi utakatifu niione Mbingu (Nitafanikiwa)
Najua, hali ngumu, zinakikomo, sizakudumu
Ila, Neno la MUNGU na mipango yake
Inadumu milele
Najitabiria, mabaya yote hayana nafasi
Kwa jina la YESU ninakiri kupokea ushindi
Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
Nikitamka (Amen)
Inatimia (Amen)
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya YESU (Ooh-uoo)
Ooh
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya YESU
Ooh-uoo

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.83] Ninayo sababu ya kusimama
[00:12.04] Mbele za watu, kwa ujasiri, mmmh
[00:19.57] Niziseme shuhuda zako BWANA wangu
[00:22.99] Jinsi, we ulivyo nisitiri
[00:29.38] Nakama ungeniacha, mi nisingeweza
[00:35.20] Ningeli angamia, angamia
[00:40.29] Kwa neema yako, nimeweza
[00:45.36] Maana umenisimamia, simamia, ah-ah-ah-ah
[00:53.94] Najitabiria, mabaya yote hayana nafasi
[01:04.39] Kwa jina la YESU ninakiri kupokea ushindi
[01:12.09] Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
[01:15.23] Nikitamka (Amen)
[01:17.30] Inatimia (Amen)
[01:20.56] Sawa sawa na kusudi lako
[01:22.99] Atakama sioni dalili (Amen)
[01:25.97] Nina imani nawe (Amen)
[01:28.89] Utafanya YESU (Ooh-uoo)
[01:36.74] Ooh
[01:45.60] Kama ni Mali, Fedha na Dhahabu mimi (Nitavipata tu)
[01:51.11] Ambavyo wazazi wangu, Hawakuvipata (Nitavipata tu)
[01:55.99] Kuongezeka imani niyashinde majaribu (Nitafanikiwa)
[02:01.61] Kuishi utakatifu niione Mbingu (Nitafanikiwa)
[02:06.72] Najua, hali ngumu, zinakikomo, sizakudumu
[02:16.30] Ila, Neno la MUNGU na mipango yake
[02:22.94] Inadumu milele
[02:29.85] Najitabiria, mabaya yote hayana nafasi
[02:40.10] Kwa jina la YESU ninakiri kupokea ushindi
[02:48.12] Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
[02:51.62] Nikitamka (Amen)
[02:53.95] Inatimia (Amen)
[02:56.12] Sawa sawa na kusudi lako
[02:58.76] Atakama sioni dalili (Amen)
[03:01.70] Nina imani nawe (Amen)
[03:04.39] Utafanya YESU (Ooh-uoo)
[03:13.35] Ooh
[03:31.28] Atakama sioni dalili (Amen)
[03:34.49] Nina imani nawe (Amen)
[03:37.45] Utafanya YESU
[03:39.94] Ooh-uoo
[03:48.44]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings