Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Tuzitoke

๐Ÿ‘ค Joefes โ€ข ๐ŸŽผ Tuzitoke โ€ข โฑ๏ธ 2:47
๐ŸŽต 1321 characters
โฑ๏ธ 2:47 duration
๐Ÿ†” ID: 12970119

๐Ÿ“œ Lyrics

Pasua mbili kachumbari ongezea pilipili haaaiyaa
Nimeleta mbogi si unipe discount ya mraia
Motura ni moto ukikula bigi utachomwa mbaiya
Haiyaa
Joint ya kilocal vibe pon vaibu nikufaiya

Alafu Sasa tuzitoke nani
Maji tunakata kama Mose nani
Haiyaa
Baraka ni Jose nani
Sifa ni za Mungu siku zote nani
Haiya

Zikinice tiffin tunashika flight
Tuko wapi mi na mbogi tupo site
Tuko na psych chaser itisha sprite
Alimada jug mbili na alisema ye ni nimshy
Hatukujudge Hapo tu hatukujudge
Keg ni ya Black haya bas ongeza jug
Njoti ya das ukidai ongeza bag
G bag na khat gbug na jug
Big G kwa Juala ya minji
Akibeba jaba mshow abebe mingi
Big G kwa Juala ya minji
Ukikuja base zisambaze ka injili

Alafu Sasa tuzitoke nani
Maji tunakata kama Mose nani
Haiyaa
Baraka ni Jose nani
Sifa ni za Mungu siku zote nani
Haiya

Misa kwa bukla twaifanya ka kanisa
Sponsor ni father madenge ni masisters
Sote ni sinners tunataka assistance
So jaza spirit nijaze spirit
Usijaze sana nikilewa sinaga siri
Na usidrive hata ka hunaga speedi
Na usinijudge si shule we si piri
I'm not special si we hudenki pia
Ongeza volume ongeza beer
Ukitext crush man usiseme dear
Ka ni kiatu usijali kanyagia
Manyoka zikipita si tunakanyagia

Alafu Sasa tuzitoke nani
Maji tunakata kama Mose nani
Haiyaa
Baraka ni Jose nani
Sifa ni za Mungu siku zote nani
Haiya

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:20.47] Pasua mbili kachumbari ongezea pilipili haaaiyaa
[00:24.12] Nimeleta mbogi si unipe discount ya mraia
[00:29.20] Motura ni moto ukikula bigi utachomwa mbaiya
[00:34.03] Haiyaa
[00:37.13] Joint ya kilocal vibe pon vaibu nikufaiya
[00:42.27] Alafu Sasa tuzitoke nani
[00:45.19] Maji tunakata kama Mose nani
[00:47.30] Haiyaa
[00:48.61] Baraka ni Jose nani
[00:50.72] Sifa ni za Mungu siku zote nani
[01:05.73] Haiya
[01:07.20] Zikinice tiffin tunashika flight
[01:24.89] Tuko wapi mi na mbogi tupo site
[01:26.17] Tuko na psych chaser itisha sprite
[01:47.17] Alimada jug mbili na alisema ye ni nimshy
[01:48.25] Hatukujudge Hapo tu hatukujudge
[01:49.32] Keg ni ya Black haya bas ongeza jug
[01:50.18] Njoti ya das ukidai ongeza bag
[01:53.02] G bag na khat gbug na jug
[01:55.43] Big G kwa Juala ya minji
[02:00.14] Akibeba jaba mshow abebe mingi
[02:00.64] Big G kwa Juala ya minji
[02:01.52] Ukikuja base zisambaze ka injili
[02:02.35] Alafu Sasa tuzitoke nani
[02:03.69] Maji tunakata kama Mose nani
[02:05.53] Haiyaa
[02:06.66] Baraka ni Jose nani
[02:07.75] Sifa ni za Mungu siku zote nani
[02:08.90] Haiya
[02:10.13] Misa kwa bukla twaifanya ka kanisa
[02:10.96] Sponsor ni father madenge ni masisters
[02:12.08] Sote ni sinners tunataka assistance
[02:12.85] So jaza spirit nijaze spirit
[02:13.66] Usijaze sana nikilewa sinaga siri
[02:14.40] Na usidrive hata ka hunaga speedi
[02:15.58] Na usinijudge si shule we si piri
[02:16.34] I'm not special si we hudenki pia
[02:17.11] Ongeza volume ongeza beer
[02:18.07] Ukitext crush man usiseme dear
[02:18.85] Ka ni kiatu usijali kanyagia
[02:19.93] Manyoka zikipita si tunakanyagia
[02:21.01] Alafu Sasa tuzitoke nani
[02:22.96] Maji tunakata kama Mose nani
[02:24.32] Haiyaa
[02:25.77] Baraka ni Jose nani
[02:27.11] Sifa ni za Mungu siku zote nani
[02:30.96] Haiya
[02:46.39]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings