Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Salama

๐Ÿ‘ค Bensoul โ€ข ๐ŸŽผ Qwarantunes โ€ข โฑ๏ธ 2:31
๐ŸŽต 300 characters
โฑ๏ธ 2:31 duration
๐Ÿ†” ID: 13022142

๐Ÿ“œ Lyrics

Jua la saa saba
Limewaka sana
Linavyonichoma
Ndivyo na kazana
Juu siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama

Kiza la saa moja
Limenipata kwa shamba
Ninaogopa polisi na wakora
Siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama
Siwezi lala njaa nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:04.45] Jua la saa saba
[00:08.13] Limewaka sana
[00:13.54] Linavyonichoma
[00:18.51] Ndivyo na kazana
[00:23.48] Juu siwezi lala njaa
[00:28.44] Nikitazama
[00:33.59] Ninaondoka
[00:37.83] Nirudishe salama
[01:02.18] Kiza la saa moja
[01:06.91] Limenipata kwa shamba
[01:12.36] Ninaogopa polisi na wakora
[01:21.76] Siwezi lala njaa
[01:26.76] Nikitazama
[01:31.62] Ninaondoka
[01:36.15] Nirudishe salama
[01:42.03] Siwezi lala njaa nikitazama
[01:50.82] Ninaondoka
[01:55.64] Nirudishe salama
[02:12.70]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings