Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Rauka

๐Ÿ‘ค Kanjii Mbugua โ€ข ๐ŸŽผ Rauka โ€ข โฑ๏ธ 4:30
๐ŸŽต 942 characters
โฑ๏ธ 4:30 duration
๐Ÿ†” ID: 13027318

๐Ÿ“œ Lyrics

Walikubaandika mtu wa shida
Daktari alisema hakuna tiba
Ulianguka tena na tena kumbuka

Alikuokoa hakukusahau
Ukapewa notisi hakuna kazi
Ma auctioneers waka vuruga mali
Ulianguka tena na tena, kumbuka
Alikuokoa hakukusahau

Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
Tazama mambo mapya
Sahau yote yaliyopita
Kumekucha, pambazuka, leo
Twakushukuru Baba
Twakuinua Baba
Twakutukuza Baba
Twakupokea Mfalme wa wafalme
Twakushukuru Baba
Twakuinua Baba
Twakutukuza Baba
Twakupokea Mfalme wa wafalme
Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
Tazama mambo mapya
Sahau yote yaliyopita
Kumekucha, pambazuka, leo
Twakushukuru Baba
Twakuinua Baba
Twakutukuza Baba
Twakupokea Mfalme wa wafalme
Twakushukuru Baba
Twakuinua Baba
Twakutukuza Baba
Twakupokea Mfalme wa wafalme
Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
Tazama mambo mapya
Sahau yote yaliyopita
Kumekucha, pambazuka
Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
Tazama mambo mapya
Sahau yote yaliyopita
Kumekucha, pambazuka, leo

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:05.28] Walikubaandika mtu wa shida
[00:05.48] Daktari alisema hakuna tiba
[00:05.77] Ulianguka tena na tena kumbuka
[00:17.77] Alikuokoa hakukusahau
[00:25.66] Ukapewa notisi hakuna kazi
[00:30.12] Ma auctioneers waka vuruga mali
[00:35.11] Ulianguka tena na tena, kumbuka
[00:41.75] Alikuokoa hakukusahau
[00:47.85] Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
[00:55.09] Tazama mambo mapya
[00:59.66] Sahau yote yaliyopita
[01:03.10] Kumekucha, pambazuka, leo
[01:12.02] Twakushukuru Baba
[01:20.48] Twakuinua Baba
[01:25.23] Twakutukuza Baba
[01:29.79] Twakupokea Mfalme wa wafalme
[01:38.15] Twakushukuru Baba
[01:42.14] Twakuinua Baba
[01:46.37] Twakutukuza Baba
[01:51.17] Twakupokea Mfalme wa wafalme
[01:59.86] Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
[02:07.96] Tazama mambo mapya
[02:12.47] Sahau yote yaliyopita
[02:16.66] Kumekucha, pambazuka, leo
[02:25.36] Twakushukuru Baba
[02:29.23] Twakuinua Baba
[02:33.79] Twakutukuza Baba
[02:37.63] Twakupokea Mfalme wa wafalme
[02:46.35] Twakushukuru Baba
[02:50.85] Twakuinua Baba
[02:55.88] Twakutukuza Baba
[02:59.74] Twakupokea Mfalme wa wafalme
[03:07.93] Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
[03:16.35] Tazama mambo mapya
[03:24.20] Sahau yote yaliyopita
[03:25.58] Kumekucha, pambazuka
[03:33.47] Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
[03:41.82] Tazama mambo mapya
[03:46.54] Sahau yote yaliyopita
[03:54.42] Kumekucha, pambazuka, leo
[04:03.31]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings