Rosella (feat. Lady Jaydee)
๐ต 2805 characters
โฑ๏ธ 5:04 duration
๐ ID: 13030570
๐ Lyrics
Afraid to tell him how she feels
She silently whispers to herself
Afraid
Holding her breath
Maybe he might hear her
See he doesn't feel the same way
Maybe
Hart the Band
Lady Jaydee
Aiii
Nikajakupenda na moyo wangu wote
Binti huyu aliyenifanya nimuote
Usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa
Sionekani popote
Nikajakutenda mambo mengi magumu na mazito
Ili mradi niwe naye
Lakini sasa ninapotazama naona kwamba
Niliachwa upekwe
Nilikuwa na
Wingii wa mahaba
Nilikupenda kinyama
Kukutenda sikuwaza
Kamba nikakazaa
Lakini huonekani mpaka sasa
Nilikuwa na
Wingii wa mahaba
Nilikupenda kinyama
Kukutenda sikuwaza
Kamba nikakazaa
Lakini huonekani mpaka sasa
Rosellaaa (Ninajiuliza)
Rosellaaa (Je umebadilika)
Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)
Rosellaaa (Ninajiuliza)
Rosellaaa (Je umebadilika)
Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)
Ni kweli niliamua kuondoka
Nikidhani nitapendwa
Niendapo ooh hakuna
Ooh mi nilidhani nitakuta
Tofauti yoyote
Mpaka sasa sijaona
Moyo waniuma
Nikikumbuka
Mambo mengi
We ulionikoseaaa
Najiuliza je ni kweli umebadilika
Au maumivu mi nayahudia
Maskini nashindwa amua
Ooh nashindwa aah
Najiuliza je ni kweli umebadilika
Au maumivu mi nayahudia
Maskini nashindwa amua
Ooh nashindwa aah
Rosellaaa (Ninajiuliza)
Rosellaaa (Je umebadilika)
Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)
Rosellaaa (Ninajiuliza)
Rosellaaa (Je umebadilika)
Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)
Yaani
Imekuwa siku mingi sana hatujazungumza
SMS zangu hurudishi
Please call me zangu hunijibu
Simu hushiki
Na najua huwezi kuwa ni simu ulipoteza
Ju social media nimeona selfie zako
Na ile top flani kali nilikubuyia ya dashiki
Kweli nikukumiss nimekumiss tena sana
Na najua umenimiss pia
Unanilenga tu ju tulikosana
Ego yako iko juu ulikuwanga dem wa maringo lakini siteti
Nilikupendanga tu hivo hivo
Na ni tangu unitoke stress iko juu tu sana
Sura imejaza tu mawrinkles
Kila time najipata nimekasirikia vitu simple simple
Ata jokes na mapimples nacatch
Wao wakishow tu madimples
Yaani kosa walisema si kosa
Kosa ni kurudia kosa
Na najua unajua ulikosa but huwezi kubali umekosea
Nishakuzoea
Ni sawa tu nimekusamehea
Unaact selfish but kuishi bila wewe machozi mi siwezi
Daily kukula kwa hoteli si unajua me ni mlazy
Malkia
Smile tamu crescent shape ya mwezi
Sipendi tukikosana
Napenda tukichora saba kwa saba love heart
Si unajua nakupenda tu kwa sana
Pamoja tembea Dar Kenya Moshi Arusha tunajirusharusha spending
Karibu Dolce Gabbana
Mwanaume si unajua ni kujikaza shopping maspaghetti crop
Nine months later baby shower na pamper
Love imeshika rada
Ladha
Firstborn anakaribisha brother
Twende nyumbani nikuintroduce kwa mother
Mrasta ameshapata the other

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:01.36] Afraid to tell him how she feels
[00:04.76] She silently whispers to herself
[00:07.89] Afraid
[00:09.02] Holding her breath
[00:10.48] Maybe he might hear her
[00:13.08] See he doesn't feel the same way
[00:16.16] Maybe
[00:18.13] Hart the Band
[00:19.43] Lady Jaydee
[00:20.74] Aiii
[00:22.47] Nikajakupenda na moyo wangu wote
[00:24.85] Binti huyu aliyenifanya nimuote
[00:27.69] Usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa
[00:31.28] Sionekani popote
[00:33.04] Nikajakutenda mambo mengi magumu na mazito
[00:37.06] Ili mradi niwe naye
[00:38.81] Lakini sasa ninapotazama naona kwamba
[00:42.97] Niliachwa upekwe
[00:44.58] Nilikuwa na
[00:45.81] Wingii wa mahaba
[00:47.27] Nilikupenda kinyama
[00:49.10] Kukutenda sikuwaza
[00:51.35] Kamba nikakazaa
[00:53.34] Lakini huonekani mpaka sasa
[00:56.05] Nilikuwa na
[00:57.07] Wingii wa mahaba
[00:59.27] Nilikupenda kinyama
[01:00.84] Kukutenda sikuwaza
[01:02.97] Kamba nikakazaa
[01:04.67] Lakini huonekani mpaka sasa
[01:07.58] Rosellaaa (Ninajiuliza)
[01:10.73] Rosellaaa (Je umebadilika)
[01:13.23] Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)
[01:19.28] Rosellaaa (Ninajiuliza)
[01:22.16] Rosellaaa (Je umebadilika)
[01:24.72] Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)
[01:30.37] Ni kweli niliamua kuondoka
[01:34.52] Nikidhani nitapendwa
[01:37.76] Niendapo ooh hakuna
[01:40.60] Ooh mi nilidhani nitakuta
[01:45.87] Tofauti yoyote
[01:48.83] Mpaka sasa sijaona
[01:51.86] Moyo waniuma
[01:55.16] Nikikumbuka
[01:58.81] Mambo mengi
[02:01.09] We ulionikoseaaa
[02:04.83] Najiuliza je ni kweli umebadilika
[02:08.52] Au maumivu mi nayahudia
[02:11.57] Maskini nashindwa amua
[02:15.02] Ooh nashindwa aah
[02:17.03] Najiuliza je ni kweli umebadilika
[02:19.65] Au maumivu mi nayahudia
[02:22.73] Maskini nashindwa amua
[02:25.80] Ooh nashindwa aah
[02:27.79] Rosellaaa (Ninajiuliza)
[02:31.00] Rosellaaa (Je umebadilika)
[02:33.56] Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)
[02:38.86] Rosellaaa (Ninajiuliza)
[02:41.83] Rosellaaa (Je umebadilika)
[02:45.24] Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)
[02:49.94] Yaani
[02:51.02] Imekuwa siku mingi sana hatujazungumza
[02:53.27] SMS zangu hurudishi
[02:54.88] Please call me zangu hunijibu
[02:56.40] Simu hushiki
[02:57.54] Na najua huwezi kuwa ni simu ulipoteza
[02:59.20] Ju social media nimeona selfie zako
[03:00.87] Na ile top flani kali nilikubuyia ya dashiki
[03:02.66] Kweli nikukumiss nimekumiss tena sana
[03:05.47] Na najua umenimiss pia
[03:06.87] Unanilenga tu ju tulikosana
[03:08.23] Ego yako iko juu ulikuwanga dem wa maringo lakini siteti
[03:11.60] Nilikupendanga tu hivo hivo
[03:13.43] Na ni tangu unitoke stress iko juu tu sana
[03:16.00] Sura imejaza tu mawrinkles
[03:16.92] Kila time najipata nimekasirikia vitu simple simple
[03:20.03] Ata jokes na mapimples nacatch
[03:22.64] Wao wakishow tu madimples
[03:23.84] Yaani kosa walisema si kosa
[03:25.81] Kosa ni kurudia kosa
[03:27.06] Na najua unajua ulikosa but huwezi kubali umekosea
[03:29.78] Nishakuzoea
[03:31.16] Ni sawa tu nimekusamehea
[03:32.29] Unaact selfish but kuishi bila wewe machozi mi siwezi
[03:35.07] Daily kukula kwa hoteli si unajua me ni mlazy
[03:38.15] Malkia
[03:39.78] Smile tamu crescent shape ya mwezi
[03:41.64] Sipendi tukikosana
[03:42.92] Napenda tukichora saba kwa saba love heart
[03:44.72] Si unajua nakupenda tu kwa sana
[03:46.58] Pamoja tembea Dar Kenya Moshi Arusha tunajirusharusha spending
[03:50.07] Karibu Dolce Gabbana
[03:51.74] Mwanaume si unajua ni kujikaza shopping maspaghetti crop
[03:54.26] Nine months later baby shower na pamper
[03:56.15] Love imeshika rada
[03:57.84] Ladha
[03:59.10] Firstborn anakaribisha brother
[04:00.16] Twende nyumbani nikuintroduce kwa mother
[04:01.61] Mrasta ameshapata the other
[04:10.57] Rosellaaa (Ninajiuliza)
[04:13.63] Rosellaaa (Je umebadilika)
[04:16.28] Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)
[04:21.91] Rosellaaa (Ninajiuliza)
[04:25.24] Rosellaaa (Je umebadilika)
[04:27.83] Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)
[04:38.92]