Niamini
๐ต 4285 characters
โฑ๏ธ 5:54 duration
๐ ID: 13044162
๐ Lyrics
Niamini (Sema)
Nataka uwe na mimi (Mama)
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (Ye, ye, ye)
Hivi kwanini (Sema)
Hutaki kuniamini (Mama)
Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (Ye, ye, ye)

Nakupenda sana ingiwa wanakuita demu wa uswazini
Penzi lako la kweli ndo kitu nachothamini
Kipepeo cha moyo we sema unachotaka
Jinsi unavyoenzi kipenzi sina mashaka
Tulipanda milima tukaja kwenye mabonde
Na sasa ni tambarare tufanye wanga wakonde
Kote tunakopita wamemwagia mbigiri
Njoo nikumbatie tufe tukiwa wawili
Hushangai, tukigombana tu wanafurahi
Na tukiwa pamoja wanashindwa kutusabahi
Walishakuja kwangu kunipa habari zako
Nikawatoa mbio kulinda heshima yako
Kwangu wamenishindwa wamegeuza kibao
Changanua mapema upime akili zao
Ni maisha yo Liz, twende tujikongoje
Maisha safari ndefu sijui mbele kukoje
Wanasema mi nakunywa wee, nalala kwenye baa
Wanasema mi ni bingwa la ngono kwenye mitaa
Wanasema mi nimeshawataka wamekataa
Kwako napiga goti yoh twende ki-superstar

Yoh, nikwamba
Mi nashukuru sana, umeniamini kwa sana
Hukufata maneno ya wanga waliochonga kwa sana
Miss Manana baab kubwa, hiyo ndo dhana
Wala hukunikana asante sana mi sitokukana
Tulifarakana tulikaa chini, tukapatana
Bila kugombana na ndio maana hatujatengana
Tukasamehana bila kutosana, endelea kukazana
Visa vizabina maji ya shingo sa chupi zinabana
Vichwa vinagongana wanaulizana, hatujaachana
Wanapigwa na bumbuwazi kuona bado tunakumbatiana
Tunashirikiana, na tunafanya vitu vya maana
Na haki ya Mungu nakuahidi mi ndo wa dhamana
Nakata mzizi wa fitina we ni wangu wa kuzikana
Mwingine hakuna, vita vya manyoya sasa hapana
Kwani maneno yalizidi hasa kwa wanga na mahasidi
Na wengine waliahidi lazma watumwagie acid
Eti hakomi kutupwa na napiga sana mchupa
Hautachukua round kwangu mi ntakutupa
Haukufanya pupa haukuogopa, hungenichoza
Ya Mungu mengi leo hii kwetu mambo ni super
Na yote aliyoahidi kwako mimi lazima nitakupa
Usiwe na pupa, tulia, mi ndo simba
Unanipaga hamu, na hilo napenda ufahamu
Nakumbuka maneno yako matamu, mi nakupenda wewe
Unanipa kiwewe, ubavu wangu wa pili ni wewe
Napenda uelewe, niamini ni mimi na wewe

Amini amini, tuko pamoja safarini
Wala sigeuki, nipo makini na wenye chuki
Hivi ujabaini? Wanakudanganya maneno lukuki
Eti napenda chini, eti nakuhasi na hugutuki
Hivi inaingia akilini, Ni muda gani na ni lini?
Siku hiyo hatukuwa pamoja? Kama si huzushi ni nini?
Wanga wanajikongoja navyokupenda kwa ukalando
Mwana wametunga hoja, tutengane iwe furaha
Iwe tazamia vioja, usiwaamini mara moja
Wengi ni vizabi zabina, wapiga majungu na wafitina
Magwiji washirikina, pima vyema tena kwa kina
Tusije tukaachana, tutawapa msemo wageni iwe meno
Itakuwa haina maana, mara tu tumefarakana
Pia itakuwa aibu, tujaribu kuvumiliana
Mapenzi ni taratibu, mambo ya jana sio ya leo
Tusije tukaharibu, hebu sikia sogea karibu
Nani wa kunigiribu? Kwako sioni, sisikii
Ukiacha utaniadhibu, we nipe raha, nipe dhabibu
Mpaka ntakapokufa, tushirikiane kuziba ufa
Wanga wasitufate, nafurahi unavyonipenda
Usije ukasema asante, we nipe denda, nipe mate
Mama subiri fungate, mzizi wa fitina tena tukate
Wewe na mimi (Mimi), niko radhi kula yamini
Wewe na mimi (mimi), mama Lily hebu niamini

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:10.84] Niamini (Sema)
[00:12.60] Nataka uwe na mimi (Mama)
[00:15.44] Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (Ye, ye, ye)
[00:20.82] Hivi kwanini (Sema)
[00:23.07] Hutaki kuniamini (Mama)
[00:25.51] Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (Ye, ye, ye)
[00:31.23] Niamini (Sema)
[00:33.22] Nataka uwe na mimi (Mama)
[00:35.73] Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (Ye, ye, ye)
[00:41.41] Hivi kwanini (Sema)
[00:43.34] Hutaki kuniamini (Mama)
[00:46.08] Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (Ye, ye, ye)
[00:51.80] Nakupenda sana ingiwa wanakuita demu wa uswazini
[00:54.88] Penzi lako la kweli ndo kitu nachothamini
[00:57.28] Kipepeo cha moyo we sema unachotaka
[00:59.75] Jinsi unavyoenzi kipenzi sina mashaka
[01:02.54] Tulipanda milima tukaja kwenye mabonde
[01:05.09] Na sasa ni tambarare tufanye wanga wakonde
[01:07.54] Kote tunakopita wamemwagia mbigiri
[01:10.21] Njoo nikumbatie tufe tukiwa wawili
[01:12.79] Hushangai, tukigombana tu wanafurahi
[01:15.25] Na tukiwa pamoja wanashindwa kutusabahi
[01:17.62] Walishakuja kwangu kunipa habari zako
[01:20.32] Nikawatoa mbio kulinda heshima yako
[01:23.04] Kwangu wamenishindwa wamegeuza kibao
[01:25.48] Changanua mapema upime akili zao
[01:28.04] Ni maisha yo Liz, twende tujikongoje
[01:30.78] Maisha safari ndefu sijui mbele kukoje
[01:33.14] Wanasema mi nakunywa wee, nalala kwenye baa
[01:35.34] Wanasema mi ni bingwa la ngono kwenye mitaa
[01:38.19] Wanasema mi nimeshawataka wamekataa
[01:40.59] Kwako napiga goti yoh twende ki-superstar
[01:43.15] Niamini (Sema)
[01:44.64] Nataka uwe na mimi (Mama)
[01:47.11] Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (Ye, ye, ye)
[01:52.83] Hivi kwanini (Sema)
[01:54.86] Hutaki kuniamini (Mama)
[01:57.35] Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (Ye, ye, ye)
[02:03.35] Niamini (Sema)
[02:04.10] Nataka uwe na mimi (Mama)
[02:07.76] Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (Ye, ye, ye)
[02:13.20] Hivi kwanini (Sema)
[02:15.49] Hutaki kuniamini (Mama)
[02:17.96] Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (Ye, ye, ye)
[02:22.99] Yoh, nikwamba
[02:24.07] Mi nashukuru sana, umeniamini kwa sana
[02:26.72] Hukufata maneno ya wanga waliochonga kwa sana
[02:29.32] Miss Manana baab kubwa, hiyo ndo dhana
[02:31.87] Wala hukunikana asante sana mi sitokukana
[02:34.26] Tulifarakana tulikaa chini, tukapatana
[02:36.85] Bila kugombana na ndio maana hatujatengana
[02:39.37] Tukasamehana bila kutosana, endelea kukazana
[02:42.11] Visa vizabina maji ya shingo sa chupi zinabana
[02:44.66] Vichwa vinagongana wanaulizana, hatujaachana
[02:47.18] Wanapigwa na bumbuwazi kuona bado tunakumbatiana
[02:49.96] Tunashirikiana, na tunafanya vitu vya maana
[02:52.25] Na haki ya Mungu nakuahidi mi ndo wa dhamana
[02:54.73] Nakata mzizi wa fitina we ni wangu wa kuzikana
[02:57.24] Mwingine hakuna, vita vya manyoya sasa hapana
[02:59.70] Kwani maneno yalizidi hasa kwa wanga na mahasidi
[03:02.48] Na wengine waliahidi lazma watumwagie acid
[03:04.84] Eti hakomi kutupwa na napiga sana mchupa
[03:07.59] Hautachukua round kwangu mi ntakutupa
[03:10.23] Haukufanya pupa haukuogopa, hungenichoza
[03:12.78] Ya Mungu mengi leo hii kwetu mambo ni super
[03:15.11] Na yote aliyoahidi kwako mimi lazima nitakupa
[03:17.76] Usiwe na pupa, tulia, mi ndo simba
[03:20.25] Unanipaga hamu, na hilo napenda ufahamu
[03:22.76] Nakumbuka maneno yako matamu, mi nakupenda wewe
[03:25.42] Unanipa kiwewe, ubavu wangu wa pili ni wewe
[03:27.85] Napenda uelewe, niamini ni mimi na wewe
[03:30.13] Niamini (Sema)
[03:32.02] Nataka uwe na mimi (Mama)
[03:34.64] Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (Ye, ye, ye)
[03:40.10] Hivi kwanini (Sema)
[03:42.00] Hutaki kuniamini (Mama)
[03:44.51] Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (Ye, ye, ye)
[03:50.32] Niamini (Sema)
[03:52.23] Nataka uwe na mimi (Mama)
[03:54.89] Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (Ye, ye, ye)
[04:00.38] Hivi kwanini (Sema)
[04:02.57] Hutaki kuniamini (Mama)
[04:05.05] Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (Ye, ye, ye)
[04:11.30] Amini amini, tuko pamoja safarini
[04:13.93] Wala sigeuki, nipo makini na wenye chuki
[04:16.44] Hivi ujabaini? Wanakudanganya maneno lukuki
[04:19.06] Eti napenda chini, eti nakuhasi na hugutuki
[04:21.60] Hivi inaingia akilini, Ni muda gani na ni lini?
[04:24.08] Siku hiyo hatukuwa pamoja? Kama si huzushi ni nini?
[04:26.50] Wanga wanajikongoja navyokupenda kwa ukalando
[04:29.19] Mwana wametunga hoja, tutengane iwe furaha
[04:31.67] Iwe tazamia vioja, usiwaamini mara moja
[04:34.24] Wengi ni vizabi zabina, wapiga majungu na wafitina
[04:36.99] Magwiji washirikina, pima vyema tena kwa kina
[04:39.49] Tusije tukaachana, tutawapa msemo wageni iwe meno
[04:41.93] Itakuwa haina maana, mara tu tumefarakana
[04:44.40] Pia itakuwa aibu, tujaribu kuvumiliana
[04:46.96] Mapenzi ni taratibu, mambo ya jana sio ya leo
[04:49.79] Tusije tukaharibu, hebu sikia sogea karibu
[04:52.07] Nani wa kunigiribu? Kwako sioni, sisikii
[04:54.59] Ukiacha utaniadhibu, we nipe raha, nipe dhabibu
[04:57.35] Mpaka ntakapokufa, tushirikiane kuziba ufa
[04:59.91] Wanga wasitufate, nafurahi unavyonipenda
[05:02.31] Usije ukasema asante, we nipe denda, nipe mate
[05:04.89] Mama subiri fungate, mzizi wa fitina tena tukate
[05:07.71] Wewe na mimi (Mimi), niko radhi kula yamini
[05:10.23] Wewe na mimi (mimi), mama Lily hebu niamini
[05:12.80]