Nifundishe Kunyamaza
๐ต 1576 characters
โฑ๏ธ 9:15 duration
๐ ID: 13079161
๐ Lyrics
Nifundishe kunyamaza nifundishe
Kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu uuuuuh
Nifundishe kunyamaza nifundishe
Kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu uuuh
Weeeeee baba wewe ni mwalimu mwema
Weeeeeeh ewe Mungu wewe ni mwalimu mwema
Niko darasani kwako masia baba naomba nifundishe kunyamaza
Niko katika kipindi hiki bwana naomba nifundishe kunyamaza
Natamani kunyamaza aaaah lakini si rahisi nifundishe kunyamaza
Natamani kunyamaza masia naomba nifundishe kunyamaza
Yapo mengi mambo yanayoweza fanya niseeeme
Yapo mazingira yanayoweza fanya nijibu nikakosea
Kwa maisha tunayoishi naomba nifundishe kunyamaza
Kwa ninayoyasikia kila siku bwana nifundishe kunyamaza
Kwa ninayoyaona kila siku eeeh baba nifundishe kunyamaza
Mhhhhhh mhhhhhh
Wapo wanaoweza fanya nipambaneee nipambane
Yapo yanayoweza fanya nishindane nishindane
Bila neema ya kunyamaza naweza jikuta ninajibu vibaya
Bila neema ya kunyamaza naweza jikuta ninasema vibaya
Weeeeh yesuuu wewe naomba nifundishe kunyamaza
Weeeeh baba wewe naomba nifundishe kunyamaza
Kwa macho nimeona mengi naomba nifundishe kunyamazaaaah
Kwa vinywa nimenenewa mengi naomba nifundishe kunyamaza
Kwa masikio nimesikia bwana mengi naomba nifundishe kunyamaza
Oooooh nifundishe kunyamaza ooh baba
Nifundishe kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu
Nifundishe kunyamaza nifundishe kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu
Eeeeeh baba nisaidie baba eeeewe Mungu nisaidie Mungu
Ninataman sana nijilindeee nisije kukukosea
Ninachotaka nijilinde nisije kukupoteza
Watu wanaweza taka nipambane nikukose mwokozi
Wng wanataka nipambane nikukose mwokozi

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:21.34] Nifundishe kunyamaza nifundishe
[00:24.59] Kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu uuuuuh
[00:32.23] Nifundishe kunyamaza nifundishe
[00:34.63] Kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu uuuh
[00:42.25] Weeeeee baba wewe ni mwalimu mwema
[01:02.70] Weeeeeeh ewe Mungu wewe ni mwalimu mwema
[01:12.29] Niko darasani kwako masia baba naomba nifundishe kunyamaza
[01:22.18] Niko katika kipindi hiki bwana naomba nifundishe kunyamaza
[01:32.42] Natamani kunyamaza aaaah lakini si rahisi nifundishe kunyamaza
[01:42.24] Natamani kunyamaza masia naomba nifundishe kunyamaza
[01:52.83] Yapo mengi mambo yanayoweza fanya niseeeme
[02:11.72] Yapo mazingira yanayoweza fanya nijibu nikakosea
[02:22.40] Kwa maisha tunayoishi naomba nifundishe kunyamaza
[02:33.01] Kwa ninayoyasikia kila siku bwana nifundishe kunyamaza
[02:42.74] Kwa ninayoyaona kila siku eeeh baba nifundishe kunyamaza
[02:52.18] Mhhhhhh mhhhhhh
[03:12.55] Wapo wanaoweza fanya nipambaneee nipambane
[03:22.32] Yapo yanayoweza fanya nishindane nishindane
[03:32.93] Bila neema ya kunyamaza naweza jikuta ninajibu vibaya
[03:42.69] Bila neema ya kunyamaza naweza jikuta ninasema vibaya
[03:52.50] Weeeeh yesuuu wewe naomba nifundishe kunyamaza
[04:01.60] Weeeeh baba wewe naomba nifundishe kunyamaza
[04:12.74] Kwa macho nimeona mengi naomba nifundishe kunyamazaaaah
[04:22.27] Kwa vinywa nimenenewa mengi naomba nifundishe kunyamaza
[04:32.37] Kwa masikio nimesikia bwana mengi naomba nifundishe kunyamaza
[04:41.69] Oooooh nifundishe kunyamaza ooh baba
[04:44.63] Nifundishe kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu
[04:51.49] Nifundishe kunyamaza nifundishe kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu
[04:57.28] Eeeeeh baba nisaidie baba eeeewe Mungu nisaidie Mungu
[05:22.17] Ninataman sana nijilindeee nisije kukukosea
[05:32.63] Ninachotaka nijilinde nisije kukupoteza
[05:42.04] Watu wanaweza taka nipambane nikukose mwokozi
[05:52.14] Wng wanataka nipambane nikukose mwokozi
[05:57.37]