Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Jamila

๐Ÿ‘ค Jose Chameleone โ€ข ๐ŸŽผ Kipepeo โ€ข โฑ๏ธ 4:39
๐ŸŽต 2268 characters
โฑ๏ธ 4:39 duration
๐Ÿ†” ID: 13079486

๐Ÿ“œ Lyrics

Muda mrefu Jamila hatuonani
Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani?
Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?
Jamila alipokaa aka'anza kulia
Oh, nakushindwa kuongea
Ata mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia?

Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa

Jamila aliponza kuongea
Aliongea na maumivu mingi
Navile ali'kua anaongea
Nikamuonea huruma

Ati walianza penzi bora
Siku nyingine harudi nyumbani
Kumuuliza kama amepata mwengine
Akamfungia virago

Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa

Sijui nitamsaidiaje?
Jamila nimwambie afanyeje?
Nitamupa kitanda, chakula akule
Lakini mambo ya mapenzi naogopa

Zamani mimi nae tulishindana
Nikapata muke akapata bwana
Sasa analia Chameleone nifanyaje?
Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh

Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa

Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa

Muda mrefu Jamila hatuonani
Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani?
Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?
Jamila alipokaa aka'anza kulia
Oh, nakushindwa kuongea
Ata mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia?

Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa

Sijui nitamsaidiaje?
Jamila nimwambie afanyeje?
Nitamupa kitanda, chakula akule
Lakini mambo ya mapenzi naogopa

Zamani mimi nae tulishindana
Nikapata muke akapata bwana
Sasa analia Chameleone nifanyaje?
Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh

Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake -

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:36.45] Muda mrefu Jamila hatuonani
[00:39.46] Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani?
[00:42.38] Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?
[00:47.07] Jamila alipokaa aka'anza kulia
[00:49.26] Oh, nakushindwa kuongea
[00:51.47] Ata mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia?
[00:54.96] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[00:59.62] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
[01:04.01] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[01:08.76] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
[01:13.34] Jamila aliponza kuongea
[01:16.59] Aliongea na maumivu mingi
[01:19.25] Navile ali'kua anaongea
[01:21.49] Nikamuonea huruma
[01:23.52] Ati walianza penzi bora
[01:25.98] Siku nyingine harudi nyumbani
[01:28.03] Kumuuliza kama amepata mwengine
[01:30.68] Akamfungia virago
[01:31.95] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[01:36.53] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
[01:41.17] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[01:45.67] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
[01:49.95] Sijui nitamsaidiaje?
[01:52.16] Jamila nimwambie afanyeje?
[01:54.26] Nitamupa kitanda, chakula akule
[01:56.15] Lakini mambo ya mapenzi naogopa
[01:58.66] Zamani mimi nae tulishindana
[02:01.02] Nikapata muke akapata bwana
[02:03.29] Sasa analia Chameleone nifanyaje?
[02:05.73] Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh
[02:08.75] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[02:13.34] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
[02:17.99] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[02:22.73] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
[02:27.02] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[02:31.74] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
[02:36.41] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[02:41.08] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
[02:45.77] Muda mrefu Jamila hatuonani
[02:48.52] Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani?
[02:51.33] Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?
[02:56.02] Jamila alipokaa aka'anza kulia
[02:58.31] Oh, nakushindwa kuongea
[03:00.89] Ata mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia?
[03:05.05]
[03:40.91] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[03:45.53] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
[03:50.27] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[03:54.95] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
[03:59.22] Sijui nitamsaidiaje?
[04:01.32] Jamila nimwambie afanyeje?
[04:03.38] Nitamupa kitanda, chakula akule
[04:05.59] Lakini mambo ya mapenzi naogopa
[04:08.00] Zamani mimi nae tulishindana
[04:10.33] Nikapata muke akapata bwana
[04:12.56] Sasa analia Chameleone nifanyaje?
[04:14.86] Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh
[04:18.19] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
[04:22.42] Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
[04:27.28] Jamila analia (ah-ha), bwana wake -
[04:31.78]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings