Mafanikio
๐ต 2508 characters
โฑ๏ธ 3:48 duration
๐ ID: 13085492
๐ Lyrics
Kujisikia nipo juu mie sitaki hizo deals
Sipendi makuu hivyo nitabaki kuwa real
Na kila track ya Q aaah,. Ni wazi utaifeel
Ni wazi iko full aah mzazi ninakill
Ninamwagika kama Masika.
Ninaheshimika na sio kanjibai
Kwa huu mziki wa bajaji
Hadi kwa washkaji wenye macadillac
Unawashika ile kibabylon
Unauzika sana maghetoni
Ilimradi tu wawe happy more
Midadi tu ila party no
Mkisinzia mtaniudhi nishawapa vyeo
Tuwape wapuuzi waliodai hii haiuzi haya matokeo
Safari ni hatua, kufika inabidi uianze
Haina kukita au kusita, inabidi ukaze
Ingia, ongoza au fuata njia, kukimbia ni mwiko
Kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo
Nikisema 'chini hapana' nina maana fanya unyanyuke
Na ukiamini umesimama mwana. Komaa usianguke
Ukijituma na neema inakaribia
Nyuma walio-give up mapema wangekaza wangeifikia
Penye... Happy, jitusu, unafki usiuruhusu
Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu
Kibongobongo longolongo shazi
Endelea kusaka mchongo hata ukipata kazi
Tunachukiana? Ndio.
Ila sio sababu kuacha riadha ya mafanikio
Ongeza mbio
Sababu kila mtu, kila kona anasaka mafanikio
Haukungoji wakati. Ooh wewe
Zinapita nyakati.ooh wewe
Muda wako bahati. Oh wewe
Na kughairisha kisa haupati sapoti
Ni kujificha na kuuliza giza
Iko wapi ile tochi?
Haupati ile noti
Na wakati wa ule uboss ushapotea
Hautaki ukose? usiache ofcoz endelea
Utafanikiwa kwa unachojua au unachofanya
Wachache ndio hutusua kwa jinsi tu wanavyoonekana
Mafanikio hayaji ukikata tamaa
Yenyewe huwafuata wanaojituma
Na wale wasiosukumwa na njaa
Sipigi kila dili mipaka imezingatiwa
Sitaki kuwa tajiri ninataka kufanikiwa
Ili kuheshimiwa kwanza ni lazima ujiheshimu
Lakini kufanikiwa ni maujanja tu sio lazima elimu
Ili kuyadaka wengine hugeuka wabaya
Mafanikio kwenye kuyasaka wengine hugeuka malaya
Hugeuka was(i)o haya
Kutwa utawakuta kwa babu
Na anayefanya mambo ya maana
Huwa hana muda wa kuyahesabu
Kwenye kuyasaka hakikisha haufilisiki
Haupotezi maisha au vile vitu havinunuliki
Sio kama hatucheki kwasababu tumezeeka?
Nope,ni tunazeeka kwasababu hatujawahi cheka
Tunachukiana? Ndio.
Ila sio sababu kuacha riadha ya mafanikio
Ongeza mbio
Sababu kila mtu, kila kona anasaka mafanikio
Haukungoji wakati. Ooh wewe
Zinapita nyakati.ooh wewe
Muda wako bahati. Oh wewe
Utumie basi... Eeeh eeeh
Una mpenzi (na) uko lonely?
Im sorry ndugu. Haujafanikiwa
Maisha ni kama boli, magoli ndio kufanikiwa
Oooh ooh oooh.oooh. Ndio kufanikiwa
Kila mtu anataka mafanikio...
Hhhmmm. Hhhhmmm. Oh mafanikio
Oh mafanikio
Kila mtu anataka mafanikio

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:10.48] Kujisikia nipo juu mie sitaki hizo deals
[00:13.92] Sipendi makuu hivyo nitabaki kuwa real
[00:16.02] Na kila track ya Q aaah,. Ni wazi utaifeel
[00:18.58] Ni wazi iko full aah mzazi ninakill
[00:21.28] Ninamwagika kama Masika.
[00:22.10] Ninaheshimika na sio kanjibai
[00:24.30] Kwa huu mziki wa bajaji
[00:25.66] Hadi kwa washkaji wenye macadillac
[00:26.73] Unawashika ile kibabylon
[00:27.86] Unauzika sana maghetoni
[00:29.02] Ilimradi tu wawe happy more
[00:30.25] Midadi tu ila party no
[00:31.75] Mkisinzia mtaniudhi nishawapa vyeo
[00:33.58] Tuwape wapuuzi waliodai hii haiuzi haya matokeo
[00:37.57] Safari ni hatua, kufika inabidi uianze
[00:40.26] Haina kukita au kusita, inabidi ukaze
[00:42.97] Ingia, ongoza au fuata njia, kukimbia ni mwiko
[00:45.46] Kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo
[00:48.02] Nikisema 'chini hapana' nina maana fanya unyanyuke
[00:50.81] Na ukiamini umesimama mwana. Komaa usianguke
[00:53.45] Ukijituma na neema inakaribia
[00:55.94] Nyuma walio-give up mapema wangekaza wangeifikia
[00:58.68] Penye... Happy, jitusu, unafki usiuruhusu
[01:01.35] Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu
[01:03.89] Kibongobongo longolongo shazi
[01:06.52] Endelea kusaka mchongo hata ukipata kazi
[01:08.99] Tunachukiana? Ndio.
[01:10.73] Ila sio sababu kuacha riadha ya mafanikio
[01:13.49] Ongeza mbio
[01:15.46] Sababu kila mtu, kila kona anasaka mafanikio
[01:18.93] Haukungoji wakati. Ooh wewe
[01:21.27] Zinapita nyakati.ooh wewe
[01:23.77] Muda wako bahati. Oh wewe
[01:25.95] Na kughairisha kisa haupati sapoti
[01:27.96] Ni kujificha na kuuliza giza
[01:29.46] Iko wapi ile tochi?
[01:30.55] Haupati ile noti
[01:31.66] Na wakati wa ule uboss ushapotea
[01:32.82] Hautaki ukose? usiache ofcoz endelea
[01:35.39] Utafanikiwa kwa unachojua au unachofanya
[01:38.53] Wachache ndio hutusua kwa jinsi tu wanavyoonekana
[01:40.95] Mafanikio hayaji ukikata tamaa
[01:43.64] Yenyewe huwafuata wanaojituma
[01:44.88] Na wale wasiosukumwa na njaa
[01:46.13] Sipigi kila dili mipaka imezingatiwa
[01:48.32] Sitaki kuwa tajiri ninataka kufanikiwa
[01:50.94] Ili kuheshimiwa kwanza ni lazima ujiheshimu
[01:53.60] Lakini kufanikiwa ni maujanja tu sio lazima elimu
[01:56.48] Ili kuyadaka wengine hugeuka wabaya
[01:58.87] Mafanikio kwenye kuyasaka wengine hugeuka malaya
[02:01.22] Hugeuka was(i)o haya
[02:02.73] Kutwa utawakuta kwa babu
[02:03.92] Na anayefanya mambo ya maana
[02:05.51] Huwa hana muda wa kuyahesabu
[02:07.89] Kwenye kuyasaka hakikisha haufilisiki
[02:09.61] Haupotezi maisha au vile vitu havinunuliki
[02:12.13] Sio kama hatucheki kwasababu tumezeeka?
[02:14.57] Nope,ni tunazeeka kwasababu hatujawahi cheka
[02:16.65] Tunachukiana? Ndio.
[02:18.52] Ila sio sababu kuacha riadha ya mafanikio
[02:21.92] Ongeza mbio
[02:23.88] Sababu kila mtu, kila kona anasaka mafanikio
[02:27.09] Haukungoji wakati. Ooh wewe
[02:29.40] Zinapita nyakati.ooh wewe
[02:31.73] Muda wako bahati. Oh wewe
[02:34.36] Utumie basi... Eeeh eeeh
[02:37.96] Una mpenzi (na) uko lonely?
[02:39.89] Im sorry ndugu. Haujafanikiwa
[02:42.43] Maisha ni kama boli, magoli ndio kufanikiwa
[02:47.58] Oooh ooh oooh.oooh. Ndio kufanikiwa
[02:53.88] Kila mtu anataka mafanikio...
[02:59.06] Hhhmmm. Hhhhmmm. Oh mafanikio
[03:03.93] Oh mafanikio
[03:10.05]
[03:12.66]
[03:15.93] Kila mtu anataka mafanikio
[03:18.94]