Hapo Zamani
๐ต 662 characters
โฑ๏ธ 4:39 duration
๐ ID: 13111920
๐ Lyrics
Rauka jamaa kumekucha
miaka kumi na sita kidato cha Kwanza
pokea salaam siku mpya
insider za Kwanza zasifiwa boma
n'kaipokea tetesi
moja shuleni wikendi
barua uliyoituma nimeshasoma na
sijaweza kupumua
moyo wangu waridhika
sijaweza kupumua.
hapo zamani kajua ningekuoa
hapo zamani ukiambiwa
unapendwa.waamini
ukipendwa una imani.
nilikuwaza sana michana kutwa
wewe sukuma mimi ugali wishwa
Na tulipendana kinyama
n'kaipokea tetesi kuna mwengine
Akula mishikaki aishi kifahari
mi sikuweza kupumua
moyo wangu ukavunjika
sikuweza kupumua.
Sikujua miaka kumi na sita siyo miaka
ya kuelewa dunia
sikujua miaka kumi na sita
siyo miaka ya kuelewa mahaba.
moyo... moyo.
miaka kumi na sita kidato cha Kwanza
pokea salaam siku mpya
insider za Kwanza zasifiwa boma
n'kaipokea tetesi
moja shuleni wikendi
barua uliyoituma nimeshasoma na
sijaweza kupumua
moyo wangu waridhika
sijaweza kupumua.
hapo zamani kajua ningekuoa
hapo zamani ukiambiwa
unapendwa.waamini
ukipendwa una imani.
nilikuwaza sana michana kutwa
wewe sukuma mimi ugali wishwa
Na tulipendana kinyama
n'kaipokea tetesi kuna mwengine
Akula mishikaki aishi kifahari
mi sikuweza kupumua
moyo wangu ukavunjika
sikuweza kupumua.
Sikujua miaka kumi na sita siyo miaka
ya kuelewa dunia
sikujua miaka kumi na sita
siyo miaka ya kuelewa mahaba.
moyo... moyo.
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:23.33] Rauka jamaa kumekucha
[00:29.19] Miaka kumi na sita kidato cha Kwanza
[00:34.20] Pokea salaam siku mpya
[00:39.59] Insider za Kwanza zasifiwa boma
[00:43.76] N'kaipokea tetesi
[00:47.06] Moja shuleni wikendi
[00:49.13] Barua uliyoituma nimeshasoma na
[00:53.64] Sijaweza kupumua
[00:56.54] Moyo wangu waridhika
[00:59.02] Sijaweza kupumua.
[01:03.77] Hapo zamani kajua ningekuoa
[01:10.29] Hapo zamani ukiambiwa
[01:16.41] Unapendwa.waamini
[01:21.94] Ukipendwa una imani.
[01:38.30] Nilikuwaza sana michana kutwa
[01:44.07] Wewe sukuma mimi ugali wishwa
[01:49.56] Na tulipendana kinyama
[01:53.97] N'kaipokea tetesi kuna mwengine
[01:58.97] Akula mishikaki aishi kifahari
[02:04.23] Mi sikuweza kupumua
[02:06.90] Moyo wangu ukavunjika
[02:09.74] Sikuweza kupumua.
[02:50.10] Sikujua miaka kumi na sita siyo miaka
[02:55.12] Ya kuelewa dunia
[02:59.43] Sikujua miaka kumi na sita
[03:04.34] Siyo miaka ya kuelewa mahaba.
[03:11.34] Moyo... moyo.
[03:26.61]
[00:29.19] Miaka kumi na sita kidato cha Kwanza
[00:34.20] Pokea salaam siku mpya
[00:39.59] Insider za Kwanza zasifiwa boma
[00:43.76] N'kaipokea tetesi
[00:47.06] Moja shuleni wikendi
[00:49.13] Barua uliyoituma nimeshasoma na
[00:53.64] Sijaweza kupumua
[00:56.54] Moyo wangu waridhika
[00:59.02] Sijaweza kupumua.
[01:03.77] Hapo zamani kajua ningekuoa
[01:10.29] Hapo zamani ukiambiwa
[01:16.41] Unapendwa.waamini
[01:21.94] Ukipendwa una imani.
[01:38.30] Nilikuwaza sana michana kutwa
[01:44.07] Wewe sukuma mimi ugali wishwa
[01:49.56] Na tulipendana kinyama
[01:53.97] N'kaipokea tetesi kuna mwengine
[01:58.97] Akula mishikaki aishi kifahari
[02:04.23] Mi sikuweza kupumua
[02:06.90] Moyo wangu ukavunjika
[02:09.74] Sikuweza kupumua.
[02:50.10] Sikujua miaka kumi na sita siyo miaka
[02:55.12] Ya kuelewa dunia
[02:59.43] Sikujua miaka kumi na sita
[03:04.34] Siyo miaka ya kuelewa mahaba.
[03:11.34] Moyo... moyo.
[03:26.61]