Tumekasirika
๐ต 1221 characters
โฑ๏ธ 2:58 duration
๐ ID: 13112458
๐ Lyrics
Ni siku ya pili hatujabonga
Mzozo wa juzi ulikua noma
Jana hatukulala pamoja
Ngware narauka umetoka
Siezi lie ninaskia nikudungie
Lakini pride haiwezi nitakufa
Kabla ni ku text ati
Aki babe uko wapi?
Tumekasirika
Kejani hakuna raha kumebadilika
Ananung'unika
Amani alikataa tumeanza vita
Ninachoma picha
Majirani wanashanga wakitusikiza
Kila siku visa
Ni nani alikosa nani ka lipiza
Tumekasirika
Nimeendelea series bila weh
Niko episode ya pili na ma feelings
Hata nikiulizwa siwezi sema vile ime end
Wacha sote tu pretend
And nime order vitu zile unapenda
Wanaleta tu masala kwenye salad juu ya nyama
Leo tutaona kama hutanena tena
Tumekasirika
Kejani hakuna raha kumebadilika
Ananung'unika
Amani alikataa tumeanza vita
Ninachoma picha
Majirani wanashanga wakitusikiza
Kila siku visa
Ni nani alikosa nani ka lipiza
Tume (Tume)
Weka ndeng'a down
Umeshinda this round
Mpenzi usinyambishe
Ukinikang'a nani atakupenda
Mbona una drama ka sinema
Ata sikumbuki ni kwa nini tuna fight
Nilisema kitu fulani huku like
Ukachochwa na jirani ati haiwezekani
Ata siku gani usikubali haifai
Ukafanya vitu nyingi to be mean
Nikasema mambo mengi si ku mean
Saa hii unabeba masuruali ukiita gari
Ati ikupeleke huko nyumbani kwa mummy

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:07.64] Ni siku ya pili hatujabonga
[00:11.39] Mzozo wa juzi ulikua noma
[00:14.84] Jana hatukulala pamoja
[00:18.59] Ngware narauka umetoka
[00:22.24] Siezi lie ninaskia nikudungie
[00:25.95] Lakini pride haiwezi nitakufa
[00:29.89] Kabla ni ku text ati
[00:31.99] Aki babe uko wapi?
[00:33.85] Tumekasirika
[00:37.55] Kejani hakuna raha kumebadilika
[00:40.92] Ananung'unika
[00:44.63] Amani alikataa tumeanza vita
[00:48.36] Ninachoma picha
[00:51.76] Majirani wanashanga wakitusikiza
[00:55.45] Kila siku visa
[00:58.81] Ni nani alikosa nani ka lipiza
[01:02.56] Tumekasirika
[01:04.90] Nimeendelea series bila weh
[01:08.70] Niko episode ya pili na ma feelings
[01:11.27] Hata nikiulizwa siwezi sema vile ime end
[01:15.78] Wacha sote tu pretend
[01:17.68] And nime order vitu zile unapenda
[01:22.92] Wanaleta tu masala kwenye salad juu ya nyama
[01:26.33] Leo tutaona kama hutanena tena
[01:30.87] Tumekasirika
[01:34.56] Kejani hakuna raha kumebadilika
[01:37.94] Ananung'unika
[01:41.46] Amani alikataa tumeanza vita
[01:45.11] Ninachoma picha
[01:48.56] Majirani wanashanga wakitusikiza
[01:52.29] Kila siku visa
[01:55.66] Ni nani alikosa nani ka lipiza
[01:59.36] Tume (Tume)
[02:00.44] Weka ndeng'a down
[02:03.85] Umeshinda this round
[02:06.70] Mpenzi usinyambishe
[02:10.69] Ukinikang'a nani atakupenda
[02:17.05] Mbona una drama ka sinema
[02:22.59] Ata sikumbuki ni kwa nini tuna fight
[02:26.84] Nilisema kitu fulani huku like
[02:30.58] Ukachochwa na jirani ati haiwezekani
[02:33.42] Ata siku gani usikubali haifai
[02:37.37] Ukafanya vitu nyingi to be mean
[02:41.16] Nikasema mambo mengi si ku mean
[02:44.56] Saa hii unabeba masuruali ukiita gari
[02:47.73] Ati ikupeleke huko nyumbani kwa mummy
[02:51.76]