Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Yalaiti

๐Ÿ‘ค MwanaFA โ€ข ๐ŸŽผ Yalaiti โ€ข โฑ๏ธ 5:04
๐ŸŽต 1871 characters
โฑ๏ธ 5:04 duration
๐Ÿ†” ID: 13131023

๐Ÿ“œ Lyrics

keeping good music alive that is my job
My sunshine my moonlight and everything i dream about

Linah let's go

()
Yalaiti napenda pasi kifani,
Tofauti sikutilii moyoni
Sikuachi leo na kesho peponi
Aaa aaa aa i love you (repeat)

(verse 1)
Sambaza love kama dawa sikuachi mpaka napagawa
Watu Wakisema me siwagusi natingisha kichwa
Mapenzi yako yanielemea kama chupa nzima ya tequilla
Si ulishasomwa nakupenda acha masihara
Kuna aja gani nikushikie fimbo ili nikusikilza kama gorrila
me mtu na mapenz yangu nmeshaaja zaman usela
Una matatizo yako najua
Na me yangu boo
With u together from this moment
We will sue them through
Nikukosea nisute, nipige vibao nizodoe,
Ninunie kwa siku kadhaa ila nachokuomba usinikimbie
Mapenzi hatamu me kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo
Ukiniudhi ntakupiga kwa kanga ndo nilivyofunzwa Tanga ivyo
Toaga mabusu nikufute kwa kumbatio mpk tamu kwa kiss ya pili
Ukinikumbuka iwe kilio
Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe usinikatae utaniumiza me na
biashara na wewe

repeat()

(verse 2)
Nshasema Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe
Usinikatae utaniumiza me na biashara na wewe
Ushaangaliwa niunge tela
Usingoje mpaka uambiwe
ushaangukiwa anguka nawe usizubae mpaka irejewe
Kwako ntakuwa Bushoke sitajiulza ka zezeta
Yatoe mahaba mapenzi amani tumepita
Me sakafuni we ukingoni mbio zangu haziendi mbali
Na moyo wangu nitapenda bila kujali
Hata marefa wana timu zao mama
Hupanga matokeo
pambano lianze
washajua goli ngapi ngapi leo
Husiache kuvaa nguo ndefu hivi vimini waachie vicheche
Mwanamke kwetu staa hatuna tupendao sio wote
Akili haziwezi moyo na wenyewe una ubongo pia hauwezi kufuata fuata
kila utakachouambia
Nahitaji yako mapenzi
Napata picha yako kwanza
Natamani upate yangu nayo iwe inakuliwaza

(Bridge)
Linah: toa shaka na wasiwasi moyoni*2(ay: mashalaah)
Kukuepuka ilo haliwezekani

ntakushika leo na kesho peponi

repeat()

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.35] keeping good music alive that is my job
[00:15.50] My sunshine my moonlight and everything i dream about
[00:19.73] Linah let's go
[00:21.14] ()
[00:21.96] Yalaiti napenda pasi kifani,
[00:25.89] Tofauti sikutilii moyoni
[00:31.18] Sikuachi leo na kesho peponi
[00:35.61] Aaa aaa aa i love you (repeat)
[01:02.49] (verse 1)
[01:03.46] Sambaza love kama dawa sikuachi mpaka napagawa
[01:06.44] Watu Wakisema me siwagusi natingisha kichwa
[01:08.79] Mapenzi yako yanielemea kama chupa nzima ya tequilla
[01:11.79] Si ulishasomwa nakupenda acha masihara
[01:14.03] Kuna aja gani nikushikie fimbo ili nikusikilza kama gorrila
[01:16.81] me mtu na mapenz yangu nmeshaaja zaman usela
[01:19.57] Una matatizo yako najua
[01:20.89] Na me yangu boo
[01:22.17] With u together from this moment
[01:23.79] We will sue them through
[01:25.14] Nikukosea nisute, nipige vibao nizodoe,
[01:27.40] Ninunie kwa siku kadhaa ila nachokuomba usinikimbie
[01:30.21] Mapenzi hatamu me kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo
[01:32.79] Ukiniudhi ntakupiga kwa kanga ndo nilivyofunzwa Tanga ivyo
[01:36.21] Toaga mabusu nikufute kwa kumbatio mpk tamu kwa kiss ya pili
[01:38.52] Ukinikumbuka iwe kilio
[01:40.90] Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe usinikatae utaniumiza me na
[01:45.43] biashara na wewe
[01:47.15] repeat()
[02:27.60] (verse 2)
[02:28.82] Nshasema Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe
[02:31.42] Usinikatae utaniumiza me na biashara na wewe
[02:34.25] Ushaangaliwa niunge tela
[02:35.62] Usingoje mpaka uambiwe
[02:36.97] ushaangukiwa anguka nawe usizubae mpaka irejewe
[02:39.70] Kwako ntakuwa Bushoke sitajiulza ka zezeta
[02:42.59] Yatoe mahaba mapenzi amani tumepita
[02:44.85] Me sakafuni we ukingoni mbio zangu haziendi mbali
[02:48.18] Na moyo wangu nitapenda bila kujali
[02:50.19] Hata marefa wana timu zao mama
[02:52.15] Hupanga matokeo
[02:53.14] pambano lianze
[02:54.34] washajua goli ngapi ngapi leo
[02:56.04] Husiache kuvaa nguo ndefu hivi vimini waachie vicheche
[02:58.44] Mwanamke kwetu staa hatuna tupendao sio wote
[03:01.08] Akili haziwezi moyo na wenyewe una ubongo pia hauwezi kufuata fuata
[03:04.84] kila utakachouambia
[03:06.31] Nahitaji yako mapenzi
[03:07.77] Napata picha yako kwanza
[03:09.02] Natamani upate yangu nayo iwe inakuliwaza
[03:11.62] (Bridge)
[03:13.14] Linah: toa shaka na wasiwasi moyoni*2(ay: mashalaah)
[03:22.06] Kukuepuka ilo haliwezekani
[03:27.47] ntakushika leo na kesho peponi
[03:32.49] repeat()
[04:16.88]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings