Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nimejaribu

๐Ÿ‘ค Elani โ€ข ๐ŸŽผ Colours of Love โ€ข โฑ๏ธ 3:43
๐ŸŽต 1072 characters
โฑ๏ธ 3:43 duration
๐Ÿ†” ID: 13209337

๐Ÿ“œ Lyrics

Mmmmmh

Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
Eh nimejaribu,kujikusanya
Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine
Eh nimejaribu,kujikusanya
(nikusahau wewee)ร—4

Pengine nilikawia sana,kukupeleka likizo ikaleta matatizo
Ulitamani sana,Maasai Mara
Au pengine nilichelewa sana,
usiku wa manane nilifika nimetoka mi
kuimba juu niko biashara,silipwi mishahara

Na ningependa nikuchukie mami lakini mi si kama wewe
Ata kisasi nikulipize,lakini Mimi sio wewee

Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
Eh nimejaribu,kujikusanya
Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine
Eh nimejaribu,kujikusanya
(nikusahau wewee)ร—4

Pengine nilikupenda sana,
ulipokosa nikakimya hadhi yangu kaishusha na nikakusamehe
Au pengine niombe msamaha,
sikutosha Mimi kwako ukatafuta wa kando bado nikakusamehe

Na ningependa nikuchukie lakini mi si kama wewe
Ningependa nikusengenye lakini mi si kama wewe

Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
Eh nimejaribu,kujikusanya
Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine
Eh nimejaribu,kujikusanya
(nikusahau wewee)ร—8

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:04.42] Mmmmmh
[00:10.71]
[00:12.91] Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
[00:18.55] Eh nimejaribu,kujikusanya
[00:23.54] Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine
[00:31.38] Eh nimejaribu,kujikusanya
[00:36.05] (Nikusahau wewee)ร—4
[00:40.32]
[00:49.49] Pengine nilikawia sana,kukupeleka likizo ikaleta matatizo
[00:58.02] Ulitamani sana,Maasai Mara
[01:01.88] Au pengine nilichelewa sana,
[01:06.43] Usiku wa manane nilifika nimetoka mi
[01:10.18] Kuimba juu niko biashara,silipwi mishahara
[01:15.65] Na ningependa nikuchukie mami lakini mi si kama wewe
[01:23.53] Ata kisasi nikulipize,lakini Mimi sio wewee
[01:29.57] Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
[01:35.27] Eh nimejaribu,kujikusanya
[01:41.15] Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine
[01:49.56] Eh nimejaribu,kujikusanya
[01:56.26] (Nikusahau wewee)ร—4
[01:59.91]
[02:07.15] Pengine nilikupenda sana,
[02:11.56] Ulipokosa nikakimya hadhi yangu kaishusha na nikakusamehe
[02:18.82] Au pengine niombe msamaha,
[02:24.69] Sikutosha Mimi kwako ukatafuta wa kando bado nikakusamehe
[02:31.83] Na ningependa nikuchukie lakini mi si kama wewe
[02:38.80]
[02:41.35] Ningependa nikusengenye lakini mi si kama wewe
[02:47.64] Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
[02:54.38] Eh nimejaribu,kujikusanya
[02:59.13] Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine
[03:06.42] Eh nimejaribu,kujikusanya
[03:13.04] (Nikusahau wewee)ร—8
[03:14.30]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings