Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nviiri the Storyteller - Bar ft Femi One (Official Music Video)

๐Ÿ‘ค Nviiri the Storyteller โ€ข ๐ŸŽผ Nviiri the Storyteller โ€ข โฑ๏ธ 2:50
๐ŸŽต 1261 characters
โฑ๏ธ 2:50 duration
๐Ÿ†” ID: 13258197

๐Ÿ“œ Lyrics

Bar
Baby twende kwa bar, bar
Bar
Twende kwa bar, bar

Baby twende kwa ba ba baba yako
Nipeleke kwa ba ba baba yako
Sherehe kwa bar, bar
Vinywaji kwa bar, bar
Baby twende kwa ba ba baba yako
Baba yako

Aisha, unahatarisha maisha
Baba yako hunitisha
Ndio maana mi hupita kwa dirisha
Yeah, yeah
Aisha, nimekufuata hadi kwa kanisa
Misa imeshika
Ama ni zangu zimeshika

Usiogope kunionyesha vile unanipenda
Imani nimeweka kwako
Ungejua vile nimekupenda mami ehh, ohhh
Usiogope kunionyesha vile unanipenda
Imani nimeweka kwako
Ungejua pale nimekueka mami ehh, ehh

Baby twende kwa ba ba baba yako
Nipeleke kwa ba ba baba yako
Sherehe kwa bar, bar
Vinywaji kwa bar, bar
Baby twende kwa ba ba baba yako
Baba yako

Nikiwa mdogo ulikuwa unaningoja bu
Pale kwa bustop
Miaka ikasonga na sa umejenga kabu
Kabungalow kako
Harusi, kanisa, alafu reception ni ba
Baada ya hapo
Ambia baba honeymoon tunaenda ba
Bang bang bang bang Bangkok

Usiogope kunionyesha vile unanipenda
Imani nimeweka kwako
Ungejua vile nimekupenda mami ehh, ohhh
Usiogope kunionyesha vile unanipenda
Imani nimeweka kwako
Ungejua pale nimekueka mami ehh, ehh

Baby twende kwa ba ba baba yako
Nipeleke kwa ba ba baba yako
Sherehe kwa bar, bar
Vinywaji kwa bar, bar
Baby twende kwa ba ba baba yako
Baba yako

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.12] Bar
[00:03.05] Baby twende kwa bar, bar
[00:08.76] Bar
[00:11.23]
[00:13.71] Twende kwa bar, bar
[00:18.06] Baby twende kwa ba ba baba yako
[00:22.65] Nipeleke kwa ba ba baba yako
[00:27.73] Sherehe kwa bar, bar
[00:30.28] Vinywaji kwa bar, bar
[00:32.54] Baby twende kwa ba ba baba yako
[00:36.19] Baba yako
[00:38.72] Aisha, unahatarisha maisha
[00:42.34] Baba yako hunitisha
[00:44.88] Ndio maana mi hupita kwa dirisha
[00:46.95] Yeah, yeah
[00:48.23] Aisha, nimekufuata hadi kwa kanisa
[00:52.23] Misa imeshika
[00:54.58] Ama ni zangu zimeshika
[00:57.15] Usiogope kunionyesha vile unanipenda
[00:59.55] Imani nimeweka kwako
[01:01.77] Ungejua vile nimekupenda mami ehh, ohhh
[01:06.02] Usiogope kunionyesha vile unanipenda
[01:10.21] Imani nimeweka kwako
[01:11.41] Ungejua pale nimekueka mami ehh, ehh
[01:15.34] Baby twende kwa ba ba baba yako
[01:19.66] Nipeleke kwa ba ba baba yako
[01:24.52] Sherehe kwa bar, bar
[01:27.62] Vinywaji kwa bar, bar
[01:30.23] Baby twende kwa ba ba baba yako
[01:34.11] Baba yako
[01:35.77] Nikiwa mdogo ulikuwa unaningoja bu
[01:39.22] Pale kwa bustop
[01:41.03] Miaka ikasonga na sa umejenga kabu
[01:43.73] Kabungalow kako
[01:45.58] Harusi, kanisa, alafu reception ni ba
[01:48.75] Baada ya hapo
[01:50.89] Ambia baba honeymoon tunaenda ba
[01:53.24] Bang bang bang bang Bangkok
[01:55.19] Usiogope kunionyesha vile unanipenda
[01:57.47] Imani nimeweka kwako
[01:59.48] Ungejua vile nimekupenda mami ehh, ohhh
[02:03.48] Usiogope kunionyesha vile unanipenda
[02:07.00] Imani nimeweka kwako
[02:08.63] Ungejua pale nimekueka mami ehh, ehh
[02:12.47] Baby twende kwa ba ba baba yako
[02:17.26] Nipeleke kwa ba ba baba yako
[02:21.96] Sherehe kwa bar, bar
[02:25.51] Vinywaji kwa bar, bar
[02:27.74] Baby twende kwa ba ba baba yako
[02:31.42] Baba yako
[02:32.38]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings