Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Hayaa

๐Ÿ‘ค Phina โ€ข ๐ŸŽผ Hayaa โ€ข โฑ๏ธ 3:04
๐ŸŽต 1116 characters
โฑ๏ธ 3:04 duration
๐Ÿ†” ID: 13261650

๐Ÿ“œ Lyrics

Uuuhh
The melanin queen

Si tulipanda miti
Kivuli tayari sah, tuketi
Jua lisituchome
Siwezi kusaliti
Kukuacha uende mbali
Sitetereki
Shetani anikome

Nakupenda wewe tu mahabuba (mahabuba)
Tugandane gandane kama ruba (kama ruba)
Tulilinde zaidi letu huba (letu huba)
Twafurahi japo hatuna fuba (hatuna fuba)

Oh haya haya hayaaaa (haya, haya)
Haya weh (hayaaa)
Haya haya (haya, haya)
Hayaaa
Nishike kidogo (Haya haya)
Aaah kidogo (Hayaa)
Haya haya (Haya, haya)
Hayaaaa

Huba lake ni tamu
Walah sijawahi ona before
Ai before... (kama yeye)
Nikishikwa na hamuu
Sipati shida ya kumwita njoo
Simwiti ng'oo (aja mwenyewe)
Nampa uroda
Mpaka maji anaita m'ma (m'ma)
Tam tam kama soda
Kimeumana chuma kwa chuma (chuma)
Akianza kwa shoulder
Anafuata mbele na nyuma (nyuma)
Ah hajaniroga
Kamali ameshani puna

Nakupenda wewe tu mahabuba (mahabuba)
Tugandane gandane kama ruba (kama ruba)
Tulilinde zaidi letu huba (letu huba)
Twafurahi japo hatuna fuba (hatuna fuba)

Oh haya haya hayaaaa (haya, haya)
Haya weh (hayaaa)
Haya haya (haya, haya)
Hayaaa
Nishike kidogo (Haya haya)
Aaah kidogo (Hayaa)
Haya haya (Haya, haya)
Hayaaaa

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings