Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Wasikudanganye

๐Ÿ‘ค Nandy โ€ข ๐ŸŽผ The African Princess โ€ข โฑ๏ธ 3:48
๐ŸŽต 1505 characters
โฑ๏ธ 3:48 duration
๐Ÿ†” ID: 13262539

๐Ÿ“œ Lyrics

Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote
Labda wakuambie sina ujanja juu yako
Wasikudanganye watakupa utakacho chochote
Wataitoa wapi furaha yako
Maana wabaya hawatoki mbali
Jirani yako we ndio anapenda usile
Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea
Hawatokujali kipindi ambacho mawazo
Yanafanya usile watakutupia mbali

Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
Kuninginia si tumetoka mbali
Mazoea na ushakuwa maua

Moyo moyo wangu mimi
Unauendesha moyo moyo
Funga macho na masikio Ziba moyo moyo
Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
Umegota kwako moyo wangu moyo moyo
Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia

Kukosa majaribu moyo usije
Tia donda ukauchubua maumivu yani adhibu
Kisa upendo furaha kuichua
Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu
Siku ntakosea kukuacha
Sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia
Ila usifanye kama fimbo
Ufanane na tindo ukashindwa kujali maumivu yangu

Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
Kuninginia si tumetoka mbali
Mazoea na ushakuwa maua

Moyo moyo wangu mimi
Unauendesha moyo moyo
Funga macho na masikio Ziba moyo moyo
Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
Umegota kwako moyo wangu moyo moyo
Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia

Ouuhh moyo moyoo huu moyo
Moooooyo heyyyy huu moyooo oh moyooo wangu
Mimi ah moyo moyo funga macho moyo moyo uuh baby

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.33] Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote
[00:11.98] Labda wakuambie sina ujanja juu yako
[00:16.73] Wasikudanganye watakupa utakacho chochote
[00:23.60] Wataitoa wapi furaha yako
[00:25.12] Maana wabaya hawatoki mbali
[00:29.53] Jirani yako we ndio anapenda usile
[00:32.98] Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea
[00:37.28] Hawatokujali kipindi ambacho mawazo
[00:40.05] Yanafanya usile watakutupia mbali
[00:42.69] Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
[00:48.43] Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
[00:54.17] Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
[00:57.76] Kuninginia si tumetoka mbali
[01:01.85] Mazoea na ushakuwa maua
[01:04.43] Moyo moyo wangu mimi
[01:07.35] Unauendesha moyo moyo
[01:11.04] Funga macho na masikio Ziba moyo moyo
[01:14.30] Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
[01:20.56] Umegota kwako moyo wangu moyo moyo
[01:23.77] Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia
[01:30.31] Kukosa majaribu moyo usije
[01:39.78] Tia donda ukauchubua maumivu yani adhibu
[01:41.15] Kisa upendo furaha kuichua
[01:42.61] Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu
[01:44.63] Siku ntakosea kukuacha
[01:46.61] Sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia
[01:51.17] Ila usifanye kama fimbo
[01:53.89] Ufanane na tindo ukashindwa kujali maumivu yangu
[01:59.49] Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
[02:01.99] Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
[02:08.72] Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
[02:15.23] Kuninginia si tumetoka mbali
[02:19.18] Mazoea na ushakuwa maua
[02:20.45] Moyo moyo wangu mimi
[02:24.04] Unauendesha moyo moyo
[02:25.10] Funga macho na masikio Ziba moyo moyo
[02:29.69] Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
[02:34.82] Umegota kwako moyo wangu moyo moyo
[02:38.08] Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia
[02:43.45] Ouuhh moyo moyoo huu moyo
[02:46.02] Moooooyo heyyyy huu moyooo oh moyooo wangu
[03:07.91] Mimi ah moyo moyo funga macho moyo moyo uuh baby
[03:17.82]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings