Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mawazo

๐Ÿ‘ค Diamond Platnumz โ€ข ๐ŸŽผ Lala Salama โ€ข โฑ๏ธ 3:40
๐ŸŽต 2037 characters
โฑ๏ธ 3:40 duration
๐Ÿ†” ID: 13264791

๐Ÿ“œ Lyrics

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo

Ah sikujua mapenzi balaa, tena ni maradhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha, yanajenga chuki na choyo kwenye cover

Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Uhuni jaa burudani mtaani, akaamua kutimua
Inaniuma sana

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo (mhh mawazo)

Maana, Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo (mmh kikwazo)
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo (nipunguze mawazo)
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo (nna mawazo)

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Yule jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani naumia, nalia na moyo wangu
Ona jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani... mwenzenu nalia na moyo wangu!

Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia
Kweli wapendanao ndo maadui zikitimia
Lile tinga langu la maraha, leo limekuwa sumu kwangu
Ona tena sina raha, ninacheka nnalia na moyo wangu

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo (uhh mawazo)
Maana, Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo (oh kikwazo)
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo (mawazo)
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.85] Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
[00:12.90] Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
[00:17.34] Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
[00:21.58] Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
[00:25.37] Ah sikujua mapenzi balaa, tena ni maradhi ya moyo kupendaga
[00:29.65] Tena mapenzi karaha, yanajenga chuki na choyo kwenye cover
[00:34.13] Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
[00:38.85] Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
[00:43.24] Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
[00:47.61] Uhuni jaa burudani mtaani, akaamua kutimua
[00:51.36] Inaniuma sana
[00:52.48] Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
[00:54.31] Ili nipunguze mawazo (mhh mawazo)
[00:56.88] Maana, Mchana kutwa hata usiku silali
[00:58.45] Mapenzi kwangu kikwazo (mmh kikwazo)
[01:00.41] Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
[01:02.73] Ili nipunguze mawazo (nipunguze mawazo)
[01:04.42] Mara, Mchana kutwa hata usiku silali
[01:07.27] Mapenzi kwangu kikwazo (nna mawazo)
[01:09.39] Nikikumbukia!
[01:12.70] Ubongo unapata mawazo
[01:13.49] Nikikumbukia!
[01:14.42] Ubongo unapata mawazo
[01:17.63] Nikikumbukia!
[01:19.58] Ubongo unapata mawazo
[01:22.25] Nikikumbukia!
[01:24.35] Ubongo unapata mawazo
[01:26.50] Yule jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
[01:31.50] Ameleta tafarani naumia, nalia na moyo wangu
[01:35.32] Ona jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
[01:39.69] Ameleta tafarani... mwenzenu nalia na moyo wangu!
[01:44.36] Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia
[01:48.42] Kweli wapendanao ndo maadui zikitimia
[01:52.82] Lile tinga langu la maraha, leo limekuwa sumu kwangu
[01:57.03] Ona tena sina raha, ninacheka nnalia na moyo wangu
[02:01.50] Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
[02:03.77] Ili nipunguze mawazo (uhh mawazo)
[02:05.75] Maana, Mchana kutwa hata usiku silali
[02:07.94] Mapenzi kwangu kikwazo (oh kikwazo)
[02:10.21] Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
[02:12.65] Ili nipunguze mawazo (mawazo)
[02:14.80] Mara, Mchana kutwa hata usiku silali
[02:16.78] Mapenzi kwangu kikwazo
[02:18.77] Nikikumbukia!
[02:20.98] Ubongo unapata mawazo
[02:23.54] Nikikumbukia!
[02:25.78] Ubongo unapata mawazo
[02:27.93] Nikikumbukia!
[02:29.96] Ubongo unapata mawazo
[02:32.27] Nikikumbukia!
[02:34.12] Ubongo unapata mawazo
[02:36.95] Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
[02:40.86] Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
[02:45.44] Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
[02:49.79] Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
[02:56.85]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings