Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mungu Wetu

๐Ÿ‘ค Bethu and Highest Praise โ€ข ๐ŸŽผ Outcry (Deluxe) โ€ข โฑ๏ธ 4:33
๐ŸŽต 478 characters
โฑ๏ธ 4:33 duration
๐Ÿ†” ID: 13268049

๐Ÿ“œ Lyrics

Juu mbinguni, duniani
Jehovah hakuna kama Wewe
Mataifa yakusifu
Jehovah hakuna aliyefana nawe

Tunasongasonga songa songa

Tunasemasema sema sema

Hakuna aliye kama Wewe

Mungu wetu, Mungu wetu
Hakuna aliyefana nawe
Mungu wetu
Mungu wetu

Halleluyah halleluyah
Hakuna aliyefana nawe
Mungu wetu
Mungu wetu

Tumsifu Mungu wetu
Tumsifu Mungu wetu

Mungu wetu, Mungu wetu
Hakuna aliyefana nawe
Mungu wetu
Mungu wetu

Halleluyah halleluyah
Hakuna aliyefana nawe
Mungu wetu
Mungu wetu

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings