Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mbosso - Amepotea (Official Music Video) (feat. Costa Titch & Alfa Kat)

๐Ÿ‘ค Mbosso โ€ข ๐ŸŽผ Mbosso Songs โ€ข โฑ๏ธ 3:01
๐ŸŽต 1008 characters
โฑ๏ธ 3:01 duration
๐Ÿ†” ID: 13369259

๐Ÿ“œ Lyrics

Vipeperushi vinasambaa
Eti natafutwa
Nimepotea wiki imekataa
Ndugu wamechachamaa
Wananitafuta
Nimepotea mwezi umekata

Kazini sionekani, yupo wapi huyu
Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
Baba kaniulizia, yupo wapi huyu
Mama aishi kulia, yupo wapi huyu mimi

Nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi
Nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi

Sio ya Andit Purre mwana Rajab mlomkuta Tanga
Sijafanywa msukule msipate tabu kumaliza waganga
Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
Penzi la wasasambule lenye protini, vitamin na wanga
Aaaah! ladha yake, si sukari
Ni vichenza na malimao
Mechi zake, huwa hatari
Ni chenga na mabao

Kazini sionekani, yupo wapi huyu
Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
Baba kaniulizia, yupo wapi huyu
Mama aishi kulia, yupo wapi huyu mimi

Nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi
Msinitafute, nimezama (Msihangaike katika kina kirefu)
Nipo salama, (Cha bahari ya mapenzi) salama, salama mimi

Nipo salama mimi, Nipo salama mimi
Msinitafute, Nipo salama mimi

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.64] Vipeperushi vinasambaa
[00:12.30] Eti natafutwa
[00:15.53] Nimepotea wiki imekataa
[00:19.64] Ndugu wamechachamaa
[00:22.54] Wananitafuta
[00:25.35] Nimepotea mwezi umekata
[00:29.11] Kazini sionekani, yupo wapi huyu
[00:34.06] Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
[00:38.68] Baba kaniulizia, yupo wapi huyu
[00:43.57] Mama aishi kulia, yupo wapi huyu mimi
[00:49.39] Nimezama katika kina kirefu
[00:54.07] Cha bahari ya mapenzi
[00:58.55] Nimezama katika kina kirefu
[01:03.78] Cha bahari ya mapenzi
[01:07.66]
[01:15.64] Sio ya Andit Purre mwana Rajab mlomkuta Tanga
[01:20.83] Sijafanywa msukule msipate tabu kumaliza waganga
[01:25.73] Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
[01:30.89] Penzi la wasasambule lenye protini, vitamin na wanga
[01:35.27] Aaaah! ladha yake, si sukari
[01:41.94] Ni vichenza na malimao
[01:46.07] Mechi zake, huwa hatari
[01:51.46] Ni chenga na mabao
[01:55.55] Kazini sionekani, yupo wapi huyu
[02:00.60] Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
[02:05.26] Baba kaniulizia, yupo wapi huyu
[02:09.82] Mama aishi kulia, yupo wapi huyu mimi
[02:15.77] Nimezama katika kina kirefu
[02:20.34] Cha bahari ya mapenzi
[02:24.38] Msinitafute, nimezama (Msihangaike katika kina kirefu)
[02:29.51] Nipo salama, (Cha bahari ya mapenzi) salama, salama mimi
[02:34.76]
[02:43.94] Nipo salama mimi, Nipo salama mimi
[02:48.52] Msinitafute, Nipo salama mimi
[02:52.36]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings