Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Bora Kushukuru

๐Ÿ‘ค Obby Alpha โ€ข ๐ŸŽผ Obby Alpha Songs โ€ข โฑ๏ธ 3:58
๐ŸŽต 1729 characters
โฑ๏ธ 3:58 duration
๐Ÿ†” ID: 13369477

๐Ÿ“œ Lyrics

Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa

Tabasamu njoo, Nataka nibadiri
Wangu mtazamo niishi kitajiri
Na wewe maumivu njoo, Nataka nibadiri
Wangu msimamo niishi kijasiri

Ile habari ya kulialia Kila siku nakataa (Nakataaa)
Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aah
Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (Makucha)
Wao walipofanikiwa wakataka kutushusha aah

Nafuta zile why me!! Why me
Sijapata kwanini? Kwanini?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
Nafuta zile why mimi Why mimi
Sijapata kwanini? Kwanini?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi

Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa

Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani
Zamani huko nilishakataliwa na watu wa nyumbani
Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata
Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa

Kumbe ni Bora kuridhika na hiki
Nilichopata ndio yangu ridhiki
Mungu ni Bora yeye hatabiriki
Amekupa hicho mi amenipa hikii

Nafuta zile why me!! Why me
Sijapata kwanini? Kwanini?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
Nafuta zile why mimi Why mimi
Sijapata kwanini? Kwanini?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi

Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.70] Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
[00:14.07] Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
[00:18.93] Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
[00:24.16] Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
[00:29.46] Tabasamu njoo, Nataka nibadiri
[00:34.01] Wangu mtazamo niishi kitajiri
[00:38.79] Na wewe maumivu njoo, Nataka nibadiri
[00:44.13] Wangu msimamo niishi kijasiri
[00:48.72] Ile habari ya kulialia Kila siku nakataa (Nakataaa)
[00:54.97] Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aah
[00:59.52] Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (Makucha)
[01:05.03] Wao walipofanikiwa wakataka kutushusha aah
[01:10.24] Nafuta zile why me!! Why me
[01:12.94] Sijapata kwanini? Kwanini?
[01:15.29] Najawa ujasiri ujasiri
[01:19.99] Nitapata na mimi na mimi
[01:21.39] Nafuta zile why mimi Why mimi
[01:23.16] Sijapata kwanini? Kwanini?
[01:25.36] Najawa ujasiri ujasiri
[01:27.73] Nitapata na mimi na mimi
[01:30.24] Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
[01:34.34] Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
[01:39.62] Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
[01:44.87] Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
[01:49.78] Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
[01:54.50] Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
[01:59.54] Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
[02:04.90] Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
[02:09.77] Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani
[02:25.66] Zamani huko nilishakataliwa na watu wa nyumbani
[02:30.07] Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata
[02:34.68] Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa
[02:40.83] Kumbe ni Bora kuridhika na hiki
[02:45.20] Nilichopata ndio yangu ridhiki
[02:50.43] Mungu ni Bora yeye hatabiriki
[02:55.40] Amekupa hicho mi amenipa hikii
[03:00.62] Nafuta zile why me!! Why me
[03:05.03] Sijapata kwanini? Kwanini?
[03:06.94] Najawa ujasiri ujasiri
[03:08.14] Nitapata na mimi na mimi
[03:11.51] Nafuta zile why mimi Why mimi
[03:14.26] Sijapata kwanini? Kwanini?
[03:16.38] Najawa ujasiri ujasiri
[03:18.96] Nitapata na mimi na mimi
[03:23.19] Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
[03:25.87] Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
[03:30.85] Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
[03:36.08] Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
[03:39.04]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings