Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nenda

๐Ÿ‘ค Mac Voice โ€ข ๐ŸŽผ Mac Voice Songs โ€ข โฑ๏ธ 4:33
๐ŸŽต 1933 characters
โฑ๏ธ 4:33 duration
๐Ÿ†” ID: 13384330

๐Ÿ“œ Lyrics

(Ayolizer)
Mmmh siri ya mwezi
Siri ya nyota, siri ya angani
Siri ya njozi usingizi
Siri ya kitandani
Ila siri ya penzi, siri ya moyo
Siri ya nani?
Siri ya chozi ni maumivu ndani kwa ndani

Mapenzi niliyaanzisha yakanifurahisha
Yakanibadilisha jamani
Na sio tu kumridhisha
Nikamdhaminisha, nikamtamulisha nyumbani
Sasa leo yamekwisha yananidhalilisha
Yananiaibisha hadharani
Ila yote ni maisha, japo nahuzunika
Eeh wa kuninyamazisha ni nani?

Sijuti kukufahamu, ila najuta kukuamini
Kasuku ndege wangu leo umekuwa bundi
Pokea zangu salamu, bado sijui nitapona lini?
Umevunja moyo yangu, we ndo ulikuwa gundi

Ile siku unafungasha mabegi
Ulidondosha picha yako dondo
Ndo naypjilazia kwa bedi
Aki ya Mungu umenipiga zongo

Naomba msalimie shemeji
Aki ya nani amepata chombo
Na kama ukiskia nimededi
Jua ni mawazo msongo

Nenda, salama nenda
Nenda, salama nenda
Nenda, salama nenda
Nenda, salama nenda

Nikiwa na marafiki kwenye sura naongopa
Ila moyo unasota
Nikiwa peke yangu siwezi
Chozi linanidondoka

Nahisi kama naota
Hivi kweli umeondoka
Yanautesa moyo mapenzi
Mpaka kupenda naogopa

Umesema hutaki tena kuiona sura yangu
Kwenye simu umefuta namba zangu
Ila jibu lipo kwa Mola wangu
Mi nasubiri

Kila baya unasema ukitaja jina langu
Umesahau yote mazuri yangu
Basi nilindie madhaifu yangu
Unisitiri

Sijuti kukufahamu, ila najuta kukuamini
Kasuku ndege wangu leo umekuwa bundi
Pokea zangu salamu, bado sijui nitapona lini?
Umevunja moyo yangu, we ndo ulikuwa gundi

Ile siku unafungasha mabegi
Ulidondosha picha yako dondo
Ndo naypjilazia kwa bedi
Aki ya Mungu umenipiga zongo

Naomba msalimie shemeji
Aki ya nani amepata chombo
Na kama ukiskia nimededi
Jua ni mawazo msongo

Nenda, salama nenda
Nenda, salama nenda
Nenda, salama nenda
Nenda, salama nenda
(Nenda salama, oooh)

Mwenzako naogopa, ogopa iyeaaaaah

Kila baya unasema ukitaja jina langu
Umesahau yote mazuri yangu
Basi nilindie madhaifu yangu
Unisitiri

(Kamix Lizer)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:11.38] (Ayolizer)
[00:13.44] Mmmh siri ya mwezi
[00:16.08] Siri ya nyota, siri ya angani
[00:20.04] Siri ya njozi usingizi
[00:22.54] Siri ya kitandani
[00:25.29] Ila siri ya penzi, siri ya moyo
[00:28.29] Siri ya nani?
[00:30.85] Siri ya chozi ni maumivu ndani kwa ndani
[00:35.95] Mapenzi niliyaanzisha yakanifurahisha
[00:38.91] Yakanibadilisha jamani
[00:41.43] Na sio tu kumridhisha
[00:42.66] Nikamdhaminisha, nikamtamulisha nyumbani
[00:46.65] Sasa leo yamekwisha yananidhalilisha
[00:49.75] Yananiaibisha hadharani
[00:52.30] Ila yote ni maisha, japo nahuzunika
[00:54.96] Eeh wa kuninyamazisha ni nani?
[00:57.30] Sijuti kukufahamu, ila najuta kukuamini
[01:02.79] Kasuku ndege wangu leo umekuwa bundi
[01:08.46] Pokea zangu salamu, bado sijui nitapona lini?
[01:13.48] Umevunja moyo yangu, we ndo ulikuwa gundi
[01:17.67] Ile siku unafungasha mabegi
[01:20.52] Ulidondosha picha yako dondo
[01:23.02] Ndo naypjilazia kwa bedi
[01:25.57] Aki ya Mungu umenipiga zongo
[01:28.16] Naomba msalimie shemeji
[01:31.04] Aki ya nani amepata chombo
[01:33.66] Na kama ukiskia nimededi
[01:36.61] Jua ni mawazo msongo
[01:39.16] Nenda, salama nenda
[01:44.48] Nenda, salama nenda
[01:49.76] Nenda, salama nenda
[01:55.25] Nenda, salama nenda
[01:59.03] Nikiwa na marafiki kwenye sura naongopa
[02:03.84] Ila moyo unasota
[02:06.20] Nikiwa peke yangu siwezi
[02:09.38] Chozi linanidondoka
[02:11.84] Nahisi kama naota
[02:14.49] Hivi kweli umeondoka
[02:17.33] Yanautesa moyo mapenzi
[02:19.68] Mpaka kupenda naogopa
[02:21.81] Umesema hutaki tena kuiona sura yangu
[02:25.17] Kwenye simu umefuta namba zangu
[02:28.05] Ila jibu lipo kwa Mola wangu
[02:31.06] Mi nasubiri
[02:32.43] Kila baya unasema ukitaja jina langu
[02:36.05] Umesahau yote mazuri yangu
[02:38.63] Basi nilindie madhaifu yangu
[02:41.62] Unisitiri
[02:44.64] Sijuti kukufahamu, ila najuta kukuamini
[02:50.30] Kasuku ndege wangu leo umekuwa bundi
[02:55.80] Pokea zangu salamu, bado sijui nitapona lini?
[03:00.81] Umevunja moyo yangu, we ndo ulikuwa gundi
[03:05.52] Ile siku unafungasha mabegi
[03:08.13] Ulidondosha picha yako dondo
[03:10.89] Ndo naypjilazia kwa bedi
[03:13.88] Aki ya Mungu umenipiga zongo
[03:16.17] Naomba msalimie shemeji
[03:18.95] Aki ya nani amepata chombo
[03:21.80] Na kama ukiskia nimededi
[03:24.93] Jua ni mawazo msongo
[03:26.64] Nenda, salama nenda
[03:32.16] Nenda, salama nenda
[03:37.79] Nenda, salama nenda
[03:43.18] Nenda, salama nenda
[03:47.20] (Nenda salama, oooh)
[03:55.19] Mwenzako naogopa, ogopa iyeaaaaah
[04:14.96] Kila baya unasema ukitaja jina langu
[04:18.64] Umesahau yote mazuri yangu
[04:21.39] Basi nilindie madhaifu yangu
[04:24.29] Unisitiri
[04:26.34] (Kamix Lizer)
[04:29.00]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings