Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Naogopa

๐Ÿ‘ค Rayvanny โ€ข ๐ŸŽผ Rayvanny Songs โ€ข โฑ๏ธ 3:54
๐ŸŽต 1670 characters
โฑ๏ธ 3:54 duration
๐Ÿ†” ID: 13401909

๐Ÿ“œ Lyrics

Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa
Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa

Wapi mkandarasi wa moyo
Wa ukuta wa mapenzi unabomoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka
Wapi mkandarasi wa moyo
Wa ukuta wa mapenzi unabomoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka

Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Tena tochi ya mapenzi isinimulike

Nimeyaona bayana
Ndo maana sitaki kumbuka ya jana
Alivyonidanganya
Moyo wangu ukapiga danadana
Nimeyaona bayana
Ndo maana sitaki kumbuka ya jana
Alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana
Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi
Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi

Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki
Umemteka kwa mali na cheki
Kumbe vyombo anakula muuza magazeti
Unayemwita bebi anaweza bebwa kama begi
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama begi
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji

Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Kwenye safari ya mapenzi mi nisihusike
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Tena tochi ya mapenzi isinimulike

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:12.39] Mapenzi chenga
[00:14.39] Yakikupiga unasurrender
[00:18.22] Na wengi wakipendwa
[00:19.93] Wanasahau kuna kutendwa
[00:23.68] Mapenzi chenga
[00:25.85] Yakikupiga unasurrender
[00:29.54] Na wengi wakipendwa
[00:31.50] Wanasahau kuna kutendwa
[00:35.69] Wapi mkandarasi wa moyo
[00:38.82] Wa ukuta wa mapenzi unabomoka
[00:41.58] Kinacho ponza wengi ni moyo
[00:44.05] Wakikalia kuti kavu wanadondoka
[00:47.02] Wapi mkandarasi wa moyo
[00:50.21] Wa ukuta wa mapenzi unabomoka
[00:53.02] Kinacho ponza wengi ni moyo
[00:55.59] Wakikalia kuti kavu wanadondoka
[00:59.77] Unajisifu umempata
[01:02.35] Kumbe alo mwacha anamfata
[01:05.54] Anachotaka anakipata
[01:07.81] Wanasema hawara hana talaka
[01:11.25] Unajisifu umempata
[01:13.70] Kumbe alo mwacha anamfata
[01:16.88] Anachotaka anakipata
[01:19.27] Wanasema hawara hana talaka
[01:21.88] Naogopa(naogopa)
[01:24.74] Naogopa(naogopa)
[01:27.78] Naogopaaah
[01:29.02] Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
[01:33.05] Naogopa(naogopa)
[01:35.96] Naogopa(naogopa)
[01:38.61] Naogopaaah
[01:40.35] Tena tochi ya mapenzi isinimulike
[01:44.58]
[01:56.65] Nimeyaona bayana
[01:58.73] Ndo maana sitaki kumbuka ya jana
[02:02.38] Alivyonidanganya
[02:04.54] Moyo wangu ukapiga danadana
[02:08.09] Nimeyaona bayana
[02:10.72] Ndo maana sitaki kumbuka ya jana
[02:14.34] Alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana
[02:19.38] Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi
[02:24.75] Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi
[02:30.53] Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki
[02:36.63] Umemteka kwa mali na cheki
[02:38.88] Kumbe vyombo anakula muuza magazeti
[02:41.55] Unayemwita bebi anaweza bebwa kama begi
[02:47.05] Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
[02:52.97] Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama begi
[02:58.42] Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
[03:05.61] Unajisifu umempata
[03:08.01] Kumbe alo mwacha anamfata
[03:11.24] Anachotaka anakipata
[03:13.66] Wanasema hawara hana talaka
[03:17.02] Unajisifu umempata
[03:19.42] Kumbe alo mwacha anamfata
[03:22.43] Anachotaka anakipata
[03:25.01] Wanasema hawara hana talaka
[03:27.47] Naogopa(naogopa)
[03:30.52] Naogopa(naogopa)
[03:33.33] Naogopaaah
[03:35.13] Kwenye safari ya mapenzi mi nisihusike
[03:39.28] Naogopa(naogopa)
[03:42.05] Naogopa(naogopa)
[03:45.39] Naogopaaah
[03:46.64] Tena tochi ya mapenzi isinimulike
[03:48.99]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings