Home 🎬 Bollywood 🎡 Pakistani 🎀 English Pop

Kuna Taji Limeandaliwa

πŸ‘€ Pillars of Faith Ministers β€’ 🎼 Kuna Taji Limeandaliwa β€’ ⏱️ 5:41
🎡 1451 characters
⏱️ 5:41 duration
πŸ†” ID: 13609949

πŸ“œ Lyrics

Kuna taji limeandaliwa.
Ni taji la ajabu la dhahabu
Tena nyota nyingi zimepachikwa kwake
Ni taji lako mhubiri Γ—2
Ulihubiri nikaokoka
Na nyota zikaongezwa tajini
Ni taji linalong'aa sana
Wengi wanalitamani
Lakini sasa hebu tazama tabia zako mhubiri
Nikama hupendi mbinguni tena
Taji lako lakosa mwenyewe
Ni nani atalipokea taji lakooo.
Hebu badilikaaaa
Ni nani atalipokea tajiii, twende kwa baba Γ—2

Kila kuwaleta kwa toba
Ni nyota waongeza kwenye tajiii
Kila tendo jema linangarisha taji kuliko ya watu wengine Γ—2

Ulihubiri nikaokoka
Na nyota zikaongezwa tajini
Ni taji linalong'aa sana
Wengi wanalitamani
Lakini sasa hebu tazama tabia zako mhubiri
Nikama hupendi mbinguni tena
Taji lako lakosa mwenyewe
Ni nani atalipokea taji lakooo.
Hebu badilikaaaa
Ni nani atalipokea tajiii, twende kwa baba Γ—2
Ukijishusha kwenye masengenyooo
(Taji walikosa)
Ukijishusha kwenye usheratiii
(Taji walikosa)
Kila ukijishusha katika uongo
(Taji walikosa)
Ukijishusha katika uchawi
(Utabaki hapaa)
Ukijishusha katika fitina
(Taji walikosa)
Vilevile danguroni hata kwa mgemaa
(Taji walikosa)
Kuvunja wanayo kufanya shughuli zako mhubiri
(Utabaki hapaa)
Kweliii
Ulihubiri nikaokoka
Na nyota zikaongezwa tajini
Ni taji linalong'aa sana
Wengi wanalitamani
Lakini sasa hebu tazama tabia zako mhubiri
Nikama hupendi mbinguni tena
Taji lako lakosa mwenyewe
Teeena... Ni nani atalipokea taji lakooo.
Hebu badilikaaaa
Ni nani atalipokea tajiii, twende kwa baba
NaseemaΓ—2.

⭐ Rate These Lyrics

β˜†β˜†β˜†β˜†β˜†
Average: 0.0/5 β€’ 0 ratings