Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Zuzu

๐Ÿ‘ค Elani โ€ข ๐ŸŽผ Barua ya Dunia โ€ข โฑ๏ธ 3:46
๐ŸŽต 1225 characters
โฑ๏ธ 3:46 duration
๐Ÿ†” ID: 13699238

๐Ÿ“œ Lyrics

Number one on your Radio
Kwani wapi nilikosea
Kwani wapi nilikosea
Elani baby

Kufumba kufumbua, hasira ni hasara
Pesa ndiyo kitu sina, jukumu ni lazima
Tabibu wangu amenitoroka
Tabibu wangu ameniacha
Ameniacha mi(Aiyoooo)
Hoihoii iii(Iyoo, Iyo, yo, yo)

Kwani wapi nilikosea aah aah
Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu anayenizuzua
Anaye ni zuzu amenitoroka
Hoihoii, hoihoii iii

Ulienda, ulienda wapi
Penzi limenichanganya, sijui niko wapi
Ulisema ni mimi tu,
Ukani chocha chocha chocha its me & you
Umeniacha Mi, Hoooiiiii,
Hoi, Hoiiii

Kwani wapi nilikosea aah aah
Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu anayenizuzua
Anaye ni zuzu amenitoroka
Hoihoii, hoihoii iii

Kwani wapi nilikosea aah aah
Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu anayenizuzua
Anaye ni zuzu amenitoroka
Hoihoii, hoihoii iii

Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.96] Number one on your Radio
[00:05.17] Kwani wapi nilikosea
[00:09.81] Kwani wapi nilikosea
[00:15.78] Elani baby
[00:17.05] Kufumba kufumbua, hasira ni hasara
[00:21.21] Pesa ndiyo kitu sina, jukumu ni lazima
[00:25.23] Tabibu wangu amenitoroka
[00:30.11] Tabibu wangu ameniacha
[00:33.78] Ameniacha mi(Aiyoooo)
[00:37.69] Hoihoii iii(Iyoo, Iyo, yo, yo)
[00:41.99] Kwani wapi nilikosea aah aah
[00:46.79] Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
[00:51.22] Anaye ni zuzu anayenizuzua
[00:55.13] Anaye ni zuzu amenitoroka
[00:59.28] Hoihoii, hoihoii iii
[01:17.15] Ulienda, ulienda wapi
[01:21.44] Penzi limenichanganya, sijui niko wapi
[01:25.30] Ulisema ni mimi tu,
[01:29.09] Ukani chocha chocha chocha its me & you
[01:33.42] Umeniacha Mi, Hoooiiiii,
[01:37.88] Hoi, Hoiiii
[01:43.05] Kwani wapi nilikosea aah aah
[01:47.42] Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
[01:51.11] Anaye ni zuzu anayenizuzua
[01:55.62] Anaye ni zuzu amenitoroka
[01:59.49] Hoihoii, hoihoii iii
[02:09.27] Kwani wapi nilikosea aah aah
[02:13.05] Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
[02:17.14] Anaye ni zuzu anayenizuzua
[02:21.41] Anaye ni zuzu amenitoroka
[02:23.16] Hoihoii, hoihoii iii
[02:25.41] Ulienda, ulienda Wapi,
[02:29.58] Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
[02:34.36] Ulienda, ulienda Wapi,
[02:38.28] Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
[02:43.04] Ulienda, ulienda Wapi,
[02:46.88] Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
[02:50.82] Ulienda, ulienda Wapi,
[02:55.35] Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
[02:59.06] Ninakumissi Yo Yo Yo,
[03:01.71] Ninakumissi Yo Yo Yo,
[03:04.05] Ninakumissi Yo Yo Yo,
[03:06.15] Ninakumissi Yo Yo Yo,
[03:08.33] Ninakumissi Yo Yo Yo,
[03:10.58] Ninakumissi Yo Yo Yo,
[03:12.54] Ninakumissi Yo Yo Yo,
[03:44.29]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings