Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Muite Yesu

๐Ÿ‘ค Mercy Masika โ€ข ๐ŸŽผ Muite Yesu โ€ข โฑ๏ธ 3:44
๐ŸŽต 1281 characters
โฑ๏ธ 3:44 duration
๐Ÿ†” ID: 13722897

๐Ÿ“œ Lyrics

Ah ah eh
Oh ow oh ow oh
(StillAlive)

"Hello, hello, habari yako?"
"Niko poa sana mimi, na bado niko"
Tunijibu "Ni poa" tukisalimiwa
Na ndani wengi wetu tunaumia
Picha mtandaoni, maisha bandia
Kwake Mungu hakuna kimejificha

Uko salama, kwake pekee yake
Mikononi mwake, usinyamaze, muite
Uko salama, kwake pekee yake
Mikononi mwake, usinyamaze, muite

Muite Baba leo (muite)
Muite Baba leo (muite)
Muite, usinyamaze (usinyamaze)
Muite Baba leo (muite)
Akupenda wewe (muite)
Akusikia leo (muite)
Usinyamaze, muite
Ah ah ah ah ah

Simama, shika we, shika neno
Ita na, Yesu atasikia
Mpe zote, shida zako, fikira
Aibu yote, yeye atatua

Uko salama, kwake pekee yake
Mikononi mwake, usinyamaze, muite
Uko salama, kwake pekee yake
Mikononi mwake, usinyamaze, muite

Muite (wachana na stress)
Muite (usijinyonge wewe)
Muite, usinyamaze muite (kwa shida zako we)
Muite (aibu zako we)
Muite (muite, we)
Usinyamaze, muite

Uko salama, kwake pekee yake
Mikononi mwake, usinyamaze, muite

Muite (itana we)
Muite (Ita Yesu we)
Muite, usinyamaze, muite
Atatua leo (muite)
Shida zako leo (muite)
Muite, usinyamaze mjite
Hasira zako, we (muite)
Depression, shindwa (muite)
Cancer ondoka! (Muite)
Muite, usinyamaze, muite
Familia yako (muite)
Katika jina la Yesu (muite)
Oh, muite, usinyamaze muite

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:12.67] Ah ah eh
[00:15.96] Oh ow oh ow oh
[00:19.42] (StillAlive)
[00:22.71] "Hello, hello, habari yako?"
[00:26.55] "Niko poa sana mimi, na bado niko"
[00:30.64] Tunijibu "Ni poa" tukisalimiwa
[00:35.68] Na ndani wengi wetu tunaumia
[00:40.85] Picha mtandaoni, maisha bandia
[00:46.49] Kwake Mungu hakuna kimejificha
[00:51.52] Uko salama, kwake pekee yake
[00:54.18] Mikononi mwake, usinyamaze, muite
[01:00.93] Uko salama, kwake pekee yake
[01:04.59] Mikononi mwake, usinyamaze, muite
[01:10.45] Muite Baba leo (muite)
[01:12.84] Muite Baba leo (muite)
[01:19.67] Muite, usinyamaze (usinyamaze)
[01:21.67] Muite Baba leo (muite)
[01:23.05] Akupenda wewe (muite)
[01:25.26] Akusikia leo (muite)
[01:27.66] Usinyamaze, muite
[01:31.15] Ah ah ah ah ah
[01:40.56] Simama, shika we, shika neno
[01:45.82] Ita na, Yesu atasikia
[01:51.39] Mpe zote, shida zako, fikira
[01:55.53] Aibu yote, yeye atatua
[02:00.85] Uko salama, kwake pekee yake
[02:04.14] Mikononi mwake, usinyamaze, muite
[02:10.48] Uko salama, kwake pekee yake
[02:14.53] Mikononi mwake, usinyamaze, muite
[02:23.82] Muite (wachana na stress)
[02:25.04] Muite (usijinyonge wewe)
[02:27.00] Muite, usinyamaze muite (kwa shida zako we)
[02:32.58] Muite (aibu zako we)
[02:34.98] Muite (muite, we)
[02:37.42] Usinyamaze, muite
[02:43.39]
[02:51.43] Uko salama, kwake pekee yake
[02:55.02] Mikononi mwake, usinyamaze, muite
[03:00.21] Muite (itana we)
[03:04.39] Muite (Ita Yesu we)
[03:07.21] Muite, usinyamaze, muite
[03:10.73] Atatua leo (muite)
[03:12.67] Shida zako leo (muite)
[03:15.25] Muite, usinyamaze mjite
[03:20.32] Hasira zako, we (muite)
[03:22.72] Depression, shindwa (muite)
[03:25.28] Cancer ondoka! (Muite)
[03:27.69] Muite, usinyamaze, muite
[03:30.60] Familia yako (muite)
[03:32.53] Katika jina la Yesu (muite)
[03:35.06] Oh, muite, usinyamaze muite
[03:41.66]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings