Mpeni Taarifa
๐ต 1594 characters
โฑ๏ธ 3:54 duration
๐ ID: 13737884
๐ Lyrics
Waasaafi
Eeeeeh eh! Hhhhmm hhm!
Hhm! Mpeni taarifa nnaye share nae
Mwambieni bado nipo nipo saaana
Hadi kibanda nishajenga nae
Na tunaelekea kuzaa na wana
Asa nimuache ntaishije mjini
Nimuache nimuachie nani
Siendi popote
Asa ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa!)
Ampende pekeake ye amekuwa babaake (Siapo sasa!)
Eti ampende pekeake ye amekuwa mamaake(Siapo sasa!)
Ampende pekeake ye amekuwa babaake
Aaah ooh! Siapo sasa!
Ooooh oh!
Aaah ooh! Ooooh! Hhhhmm eeh!
Hhhhmm ooh! Hhhhmm eeh!
Ukila masaki si twala Oysterbay
Coco mishikaki si vacation Dubei
Analipa vikoba analipa kodi
Kaniagizia kindinga ki range vogi
Tatizo lako shoga chumbani haunogi
Kutwa kifo cha mende haujui ata dogi
Kwako akileta mafuta abaya mitandio
Mie pia kwangu super miamala na salio
Tutabanana hapahapa tutabanana aaah!
Kama leo kwako kesho kwangu twapokezana oooh!
Tutabanana hapa hapa tutabanana aaah aah!
Kama subiani mie makata tutajuana
Asa nimuache ntaishije mjini
Nimuache nimuachie nani
Siendi popote
Asa ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa!)
Ampende peke ake ye amekuwa babaake (Siapo sasa!)
Eti ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa)
Ampende pekeake ye amekuwa babaake
Siapo sasa! Aaah ooh!
Tutabanana hapa hapa jino kwa jino aachwi mtu
Kama sijampata wa kwangu kumuacha asahau miaka buku
Haya sasa ukipanda mi nashuka ka daladala
Eeeh! Na ukijitia kususa wenzako twala
Eeeh! Ukipanda mi nashuka ka daladala
Ukijitia kususa wenzako twala
Na ukisusa susa susa wenzako twala
Si unasusa susa susa wenzako twala
Subutu kususa susa susa wenzako twala
Eeeh! Jitie kususa susa susa

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:23.58] Waasaafi
[00:28.63] Eeeeeh eh! Hhhhmm hhm!
[00:33.61] Hhm! Mpeni taarifa nnaye share nae
[00:39.52] Mwambieni bado nipo nipo saaana
[00:44.33] Hadi kibanda nishajenga nae
[00:48.08] Na tunaelekea kuzaa na wana
[00:52.27] Asa nimuache ntaishije mjini
[00:59.55] Nimuache nimuachie nani
[01:04.79] Siendi popote
[01:07.63] Asa ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa!)
[01:12.97] Ampende pekeake ye amekuwa babaake (Siapo sasa!)
[01:16.46] Eti ampende pekeake ye amekuwa mamaake(Siapo sasa!)
[01:21.45] Ampende pekeake ye amekuwa babaake
[01:24.13] Aaah ooh! Siapo sasa!
[01:28.55] Ooooh oh!
[01:32.84] Aaah ooh! Ooooh! Hhhhmm eeh!
[01:39.10] Hhhhmm ooh! Hhhhmm eeh!
[01:42.66] Ukila masaki si twala Oysterbay
[01:46.77] Coco mishikaki si vacation Dubei
[01:50.61] Analipa vikoba analipa kodi
[01:52.28] Kaniagizia kindinga ki range vogi
[01:54.55] Tatizo lako shoga chumbani haunogi
[01:56.41] Kutwa kifo cha mende haujui ata dogi
[01:59.53] Kwako akileta mafuta abaya mitandio
[02:04.31] Mie pia kwangu super miamala na salio
[02:07.87] Tutabanana hapahapa tutabanana aaah!
[02:11.59] Kama leo kwako kesho kwangu twapokezana oooh!
[02:16.09] Tutabanana hapa hapa tutabanana aaah aah!
[02:20.30] Kama subiani mie makata tutajuana
[02:25.62] Asa nimuache ntaishije mjini
[02:33.83] Nimuache nimuachie nani
[02:38.99] Siendi popote
[02:41.85] Asa ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa!)
[02:46.24] Ampende peke ake ye amekuwa babaake (Siapo sasa!)
[02:49.90] Eti ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa)
[02:54.99] Ampende pekeake ye amekuwa babaake
[02:57.72] Siapo sasa! Aaah ooh!
[03:06.18] Tutabanana hapa hapa jino kwa jino aachwi mtu
[03:10.75] Kama sijampata wa kwangu kumuacha asahau miaka buku
[03:14.82] Haya sasa ukipanda mi nashuka ka daladala
[03:19.51] Eeeh! Na ukijitia kususa wenzako twala
[03:23.52] Eeeh! Ukipanda mi nashuka ka daladala
[03:28.29] Ukijitia kususa wenzako twala
[03:32.17] Na ukisusa susa susa wenzako twala
[03:36.35] Si unasusa susa susa wenzako twala
[03:39.94] Subutu kususa susa susa wenzako twala
[03:43.61] Eeeh! Jitie kususa susa susa
[03:52.25]