Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nipe Macho

๐Ÿ‘ค Christina Shusho โ€ข ๐ŸŽผ Nipe Macho โ€ข โฑ๏ธ 5:54
๐ŸŽต 2945 characters
โฑ๏ธ 5:54 duration
๐Ÿ†” ID: 13747886

๐Ÿ“œ Lyrics

Eh Bwana
Naitaji macho ya roho
Maana haya ya mwili
Yameni danganya

Iko njia yaonekana kuwa sawa machoni kwa mtu
Lakini mwisho wake
Ni njia za mauti

Neno lako linasema
"Jicho langu likiwa safi, mwili wangu wote utakuwa na nuru"
Nipe macho

Nipe macho nione
Macho eh-eh-eh
Nipe macho nione
Sawa sawa

Nipe macho nione
Macho eh-eh-eh
Nipe macho nione
Sawa sawa

(Nipe macho)
Nipe macho nione (macho)
Macho eh-eh-eh (nipe macho)
Nipe macho nione (macho)
Sawa sawa (Yesu nipe macho)

Nipe macho nione (macho ya roho)
Macho eh-eh-eh (nipe macho)
Nipe macho nione
Sawa sawa

Saidie macho ya ndani
Nione kama uonavyo Wewe
Saidie macho ya ndani
Nione mitego ya muovu

Nimekukimbilia wewe Bwana
Ili nikaye salama
Nipe macho nione
Sawa sawa

Mara nyingi watu hutazama n'nje
Lakini Wewe waona ndani
Kwa n'nje mtu uonekana mwema
Kumbe ndani ni hatari

Mwaka hu Bwana nataka nione
Ili nikae salama
Nipe macho nione
Sawa sawa

Yesu nipe macho
Nipe macho nione (macho)
Macho eh-eh-eh (nipe macho)
Nipe macho nione (macho)
Sawa sawa (Baba nipe macho)

Nipe macho nione (kama Batimayo)
Macho eh-eh-eh (oh nipe macho)
Nipe macho nione (macho)
Sawa sawa

Yesu nipe macho
Nipe macho nione (kama Geyazi)
Macho eh-eh-eh (nipe macho)
Nipe macho nione (macho)
Sawa sawa (nipe macho)

Nipe macho nione (Yesu nipe macho)
Macho eh-eh-eh (nipe macho)
Nipe macho nione (macho macho)
Sawa sawa

Nipe macho nione
Kama alivio-ona Stefani
Kati ka mazingira ma gumu
Aka mu-ona Yesu amesimama mukono waku-ume wa Mungu Baba

Nipe macho
Ni muone muhitaji
Nipe macho nione unavio-ona Yesu

Macho yangu yana-ona ni me vaha
Kumbe waniona mutubu
Mara najiona mtajiri

Kumbe waniona masikini
Mara nyingine macho yananipa haki eh
Kumbe waniona mkosaji

Nipe macho nione
Sawa Sawa

Macho yangu yanaona nina nguvu
Kumbe waniona mnyonge
Tena najiona busara
Kumbe waniona mjinga

Macho yangu yanaona ya usoni
Wewe una mwisho kabla ya mwanzo
Nipe macho nione, nione nione

Baba nipe macho
Nipe macho nione (nipe macho)
Macho eh-eh-eh (nipe macho)
Nipe macho nione (macho)
Sawa sawa (oh Yesu nipe macho)

Nipe macho nione (macho ya roho)
Macho eh-eh-eh (oh nipe macho)
Nipe macho nione
Sawa sawa (nione wema wako)

Nipe macho nione (nione matendo yako)
Macho eh-eh-eh (nipe macho)
Nipe macho nione (macho)
Sawa sawa (Yesu nipe macho)

Nipe macho nione (Baba nipe macho)
Macho eh-eh-eh (nipe macho)
Nipe macho nione (mmh)
Sawa sawa

Nipe macho-ooh

Nipe macho-ooh

Oh Baba nipe macho
Nipe macho nione (oh nipe macho)
Macho eh-eh-eh (nipe macho)
Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
Sawa sawa (Yesu nipe macho)

Nipe macho nione (mimi si oni)
Macho eh-eh-eh (macho ya roho)
Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
Sawa sawa (Yesu nipe macho)

Nipe macho nione (nione wema wako)
Macho eh-eh-eh (oh nipe macho)
Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
Sawa sawa (Baba nipe macho)

Nipe macho nione (niwe salama)
Macho eh-eh-eh (nipe macho)
Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
Sawa sawa (nipe macho)
Nipe macho
Macho ya roho

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:11.72] Eh Bwana
[00:13.71] Naitaji macho ya roho
[00:16.31] Maana haya ya mwili
[00:17.64] Yameni danganya
[00:21.76] Iko njia yaonekana kuwa sawa machoni kwa mtu
[00:26.82] Lakini mwisho wake
[00:28.12] Ni njia za mauti
[00:31.73] Neno lako linasema
[00:33.91] "Jicho langu likiwa safi, mwili wangu wote utakuwa na nuru"
[00:40.07] Nipe macho
[00:42.62] Nipe macho nione
[00:45.33] Macho eh-eh-eh
[00:47.93] Nipe macho nione
[00:50.58] Sawa sawa
[00:53.25] Nipe macho nione
[00:55.89] Macho eh-eh-eh
[00:58.54] Nipe macho nione
[01:00.79] Sawa sawa
[01:02.57] (Nipe macho)
[01:03.88] Nipe macho nione (macho)
[01:06.48] Macho eh-eh-eh (nipe macho)
[01:08.80] Nipe macho nione (macho)
[01:11.53] Sawa sawa (Yesu nipe macho)
[01:14.17] Nipe macho nione (macho ya roho)
[01:16.86] Macho eh-eh-eh (nipe macho)
[01:19.37] Nipe macho nione
[01:22.01] Sawa sawa
[01:23.64]
[01:34.24] Saidie macho ya ndani
[01:37.22] Nione kama uonavyo Wewe
[01:39.47] Saidie macho ya ndani
[01:42.41] Nione mitego ya muovu
[01:44.75] Nimekukimbilia wewe Bwana
[01:47.48] Ili nikaye salama
[01:50.33] Nipe macho nione
[01:53.09] Sawa sawa
[01:55.15] Mara nyingi watu hutazama n'nje
[01:57.96] Lakini Wewe waona ndani
[02:00.61] Kwa n'nje mtu uonekana mwema
[02:03.28] Kumbe ndani ni hatari
[02:05.67] Mwaka hu Bwana nataka nione
[02:08.69] Ili nikae salama
[02:11.31] Nipe macho nione
[02:13.90] Sawa sawa
[02:15.22] Yesu nipe macho
[02:16.89] Nipe macho nione (macho)
[02:19.36] Macho eh-eh-eh (nipe macho)
[02:22.02] Nipe macho nione (macho)
[02:24.63] Sawa sawa (Baba nipe macho)
[02:27.25] Nipe macho nione (kama Batimayo)
[02:29.70] Macho eh-eh-eh (oh nipe macho)
[02:32.31] Nipe macho nione (macho)
[02:34.94] Sawa sawa
[02:35.90] Yesu nipe macho
[02:37.84] Nipe macho nione (kama Geyazi)
[02:40.32] Macho eh-eh-eh (nipe macho)
[02:43.07] Nipe macho nione (macho)
[02:45.61] Sawa sawa (nipe macho)
[02:48.13] Nipe macho nione (Yesu nipe macho)
[02:50.72] Macho eh-eh-eh (nipe macho)
[02:53.23] Nipe macho nione (macho macho)
[02:56.11] Sawa sawa
[02:59.64] Nipe macho nione
[03:01.88] Kama alivio-ona Stefani
[03:04.70] Kati ka mazingira ma gumu
[03:07.08] Aka mu-ona Yesu amesimama mukono waku-ume wa Mungu Baba
[03:11.88] Nipe macho
[03:13.45] Ni muone muhitaji
[03:15.64] Nipe macho nione unavio-ona Yesu
[03:18.79] Macho yangu yana-ona ni me vaha
[03:21.64] Kumbe waniona mutubu
[03:24.41] Mara najiona mtajiri
[03:27.39] Kumbe waniona masikini
[03:29.15] Mara nyingine macho yananipa haki eh
[03:32.32] Kumbe waniona mkosaji
[03:35.22] Nipe macho nione
[03:37.84] Sawa Sawa
[03:39.68] Macho yangu yanaona nina nguvu
[03:42.74] Kumbe waniona mnyonge
[03:45.18] Tena najiona busara
[03:47.94] Kumbe waniona mjinga
[03:50.14] Macho yangu yanaona ya usoni
[03:53.39] Wewe una mwisho kabla ya mwanzo
[03:56.19] Nipe macho nione, nione nione
[03:59.65] Baba nipe macho
[04:01.24] Nipe macho nione (nipe macho)
[04:03.81] Macho eh-eh-eh (nipe macho)
[04:06.23] Nipe macho nione (macho)
[04:09.06] Sawa sawa (oh Yesu nipe macho)
[04:11.65] Nipe macho nione (macho ya roho)
[04:14.15] Macho eh-eh-eh (oh nipe macho)
[04:16.81] Nipe macho nione
[04:19.47] Sawa sawa (nione wema wako)
[04:21.90] Nipe macho nione (nione matendo yako)
[04:24.69] Macho eh-eh-eh (nipe macho)
[04:27.36] Nipe macho nione (macho)
[04:29.98] Sawa sawa (Yesu nipe macho)
[04:32.57] Nipe macho nione (Baba nipe macho)
[04:35.02] Macho eh-eh-eh (nipe macho)
[04:37.72] Nipe macho nione (mmh)
[04:40.28] Sawa sawa
[04:41.67] Nipe macho-ooh
[04:44.78]
[04:52.04] Nipe macho-ooh
[04:57.20]
[05:01.56] Oh Baba nipe macho
[05:03.71] Nipe macho nione (oh nipe macho)
[05:06.36] Macho eh-eh-eh (nipe macho)
[05:09.19] Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
[05:11.56] Sawa sawa (Yesu nipe macho)
[05:14.05] Nipe macho nione (mimi si oni)
[05:16.63] Macho eh-eh-eh (macho ya roho)
[05:19.55] Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
[05:21.90] Sawa sawa (Yesu nipe macho)
[05:24.88] Nipe macho nione (nione wema wako)
[05:27.34] Macho eh-eh-eh (oh nipe macho)
[05:30.19] Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
[05:32.53] Sawa sawa (Baba nipe macho)
[05:35.18] Nipe macho nione (niwe salama)
[05:37.91] Macho eh-eh-eh (nipe macho)
[05:40.46] Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
[05:42.95] Sawa sawa (nipe macho)
[05:46.86] Nipe macho
[05:49.42] Macho ya roho
[05:52.25]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings