Mpita Njia
π΅ 850 characters
β±οΈ 4:06 duration
π ID: 13754284
π Lyrics
Juliana we
Sijui nianzie wapi
Lakini kuna jambo nataka kukueleza
Yule bwana mimi naye tuna hadithi
Naye hucheza ule mchezo wa pata potea,
(do you remember)
Mimi na wewe ni marafiki toka zamani
Siwezi kukudanganya
Nia yangu kukulinda
Tokana na mwizi
(Wachana na mwizi)
Mwizi wa mapenzi
Mpita njia x2
Asante yake mateke
Kwako hatakaa milele
Kesho atapata mwingine
akuage alivyo niaga
Pilipili, usiyoila yakuwashia nini?
Bahati yangu
Sio yako
Hilo jua
Simply because a man couldn't fall in love with you (he couldn't fall in love with you)
It doesn't mean he can't love me (he loves me)
Nakuonya tena mara moja ya mwisho
Tuache na amani
Mpita njia
Si mpita njia
(Ni mpita njia
dada yangu acha kelele
(sio kelele
najua apenda?
Mpita njia
safari yake imeisha
Kwani kwangu amefika
endelea kujidangaya
Mpita njia...
ni mpita nia, atakuumiza
Mpita njia...
Sijui nianzie wapi
Lakini kuna jambo nataka kukueleza
Yule bwana mimi naye tuna hadithi
Naye hucheza ule mchezo wa pata potea,
(do you remember)
Mimi na wewe ni marafiki toka zamani
Siwezi kukudanganya
Nia yangu kukulinda
Tokana na mwizi
(Wachana na mwizi)
Mwizi wa mapenzi
Mpita njia x2
Asante yake mateke
Kwako hatakaa milele
Kesho atapata mwingine
akuage alivyo niaga
Pilipili, usiyoila yakuwashia nini?
Bahati yangu
Sio yako
Hilo jua
Simply because a man couldn't fall in love with you (he couldn't fall in love with you)
It doesn't mean he can't love me (he loves me)
Nakuonya tena mara moja ya mwisho
Tuache na amani
Mpita njia
Si mpita njia
(Ni mpita njia
dada yangu acha kelele
(sio kelele
najua apenda?
Mpita njia
safari yake imeisha
Kwani kwangu amefika
endelea kujidangaya
Mpita njia...
ni mpita nia, atakuumiza
Mpita njia...
β±οΈ Synced Lyrics
[00:20.21] Juliana we
[00:22.14] Sijui nianzie wapi
[00:25.22] Lakini kuna jambo nataka kukueleza
[00:29.91] Yule bwana mimi naye tuna hadithi
[00:35.46] Naye hucheza ule mchezo wa pata potea,
[00:39.96] (do you remember)
[00:41.65] Mimi na wewe ni marafiki toka zamani
[00:46.61] Siwezi kukudanganya
[00:51.07] Nia yangu kukulinda
[00:54.12] Tokana na mwizi
[00:55.39] (Wachana na mwizi)
[00:56.73] Mwizi wa mapenzi
[01:00.02] Mpita njia x2
[01:05.88] Asante yake mateke
[01:07.99] Kwako hatakaa milele
[01:15.90] Kesho atapata mwingine
[01:17.71] akuage alivyo niaga
[01:21.52] Pilipili, usiyoila yakuwashia nini?
[01:31.92] Bahati yangu
[01:35.50] Sio yako
[01:37.99] Hilo jua
[01:41.66] Simply because a man couldn't fall in love with you (he couldn't fall in love with you)
[01:46.76] It doesn't mean he can't love me (he loves me)
[01:51.74] Nakuonya tena mara moja ya mwisho
[01:57.01] Tuache na amani
[02:00.67] Mpita njia
[02:03.51] Si mpita njia
[02:05.02] (Ni mpita njia
[02:06.44] dada yangu acha kelele
[02:08.45] (sio kelele
[02:09.21] najua apenda?
[02:10.85] Mpita njia
[02:16.08] safari yake imeisha
[02:18.53] Kwani kwangu amefika
[02:27.96] endelea kujidangaya
[03:01.05] Mpita njiaβ¦.
[03:42.59] ni mpita nia, atakuumiza
[03:53.12] Mpita njiaβ¦.
[03:57.46]
[00:22.14] Sijui nianzie wapi
[00:25.22] Lakini kuna jambo nataka kukueleza
[00:29.91] Yule bwana mimi naye tuna hadithi
[00:35.46] Naye hucheza ule mchezo wa pata potea,
[00:39.96] (do you remember)
[00:41.65] Mimi na wewe ni marafiki toka zamani
[00:46.61] Siwezi kukudanganya
[00:51.07] Nia yangu kukulinda
[00:54.12] Tokana na mwizi
[00:55.39] (Wachana na mwizi)
[00:56.73] Mwizi wa mapenzi
[01:00.02] Mpita njia x2
[01:05.88] Asante yake mateke
[01:07.99] Kwako hatakaa milele
[01:15.90] Kesho atapata mwingine
[01:17.71] akuage alivyo niaga
[01:21.52] Pilipili, usiyoila yakuwashia nini?
[01:31.92] Bahati yangu
[01:35.50] Sio yako
[01:37.99] Hilo jua
[01:41.66] Simply because a man couldn't fall in love with you (he couldn't fall in love with you)
[01:46.76] It doesn't mean he can't love me (he loves me)
[01:51.74] Nakuonya tena mara moja ya mwisho
[01:57.01] Tuache na amani
[02:00.67] Mpita njia
[02:03.51] Si mpita njia
[02:05.02] (Ni mpita njia
[02:06.44] dada yangu acha kelele
[02:08.45] (sio kelele
[02:09.21] najua apenda?
[02:10.85] Mpita njia
[02:16.08] safari yake imeisha
[02:18.53] Kwani kwangu amefika
[02:27.96] endelea kujidangaya
[03:01.05] Mpita njiaβ¦.
[03:42.59] ni mpita nia, atakuumiza
[03:53.12] Mpita njiaβ¦.
[03:57.46]