Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Marafiki

๐Ÿ‘ค Fathermoh โ€ข ๐ŸŽผ Marafiki โ€ข โฑ๏ธ 3:18
๐ŸŽต 1370 characters
โฑ๏ธ 3:18 duration
๐Ÿ†” ID: 13781267

๐Ÿ“œ Lyrics

Black Market Records
Eeeeh aaaahaa
Tushafika
Shereh ianze saa moja asubuhi
Kaa tuko watano pombe iwe kumi
Akizima anywe tena itaamsha mwili

Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki
(Aaha)
Marafiki nalewa ju ya marafiki
Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki
(Aaha)
Marafiki nalewa ju ya marafiki

Si ufike hapa si ukam hkvi ndio
Kufika hivi naona meza imechrome
Shots shots go patoo
Nikona marafiki dhana (dhana)
Wao hukua na pesa tena sana (sana)
Shida wako kazi mchana (eeee)
Usiku wanalewa na kuchana
Nikskia form mii nakimbia
Shots tunamwagia
Mapema na sana
Ukiona brayo anakupigia akiwa na kevo
Pombe na wasichana

Eeeeh aaaahaa
Tushafika
Shereh ianze saa moja asubuhi
Kaa tuko watano pombe iwe kumi
Akizima anywe tena itaamsha mwili

Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki
(Aaha)
Marafiki nalewa ju ya marafiki
Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki
(Aaha)
Marafiki nalewa ju ya marafiki

Aah ogopa marafiki wa gin (gin)
Utalewa anytime anyday
Ogopa marafiki wa whiskey
Utazima by force anyway
Air force twende fom adi chee
Pre-game tukiwa kwa highway
Unazimia kwa club kesho totoe lock
Tulewe again en again

Eeeeh aaaahaa
Tushafika
Shereh ianze saa moja asubuhi
Kaa tuko watano pombe iwe kumi
Akizima anywe tena itaamsha mwili

Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki
(Aaha)
Marafiki nalewa ju ya marafiki
Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki
(Aaha)
Marafiki nalewa ju ya marafiki

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings