Turudiane
๐ต 1567 characters
โฑ๏ธ 4:00 duration
๐ ID: 13827823
๐ Lyrics
Nimekuwa bubu nimepigwa na butwaa
Mdomo mzito kinywa kama ndondocha
Macho yana magugu sioni mbele najikwaa
Yani ujanja sina nimezorota
Naona! Joto si joto baridi si baridi
Mwili wa nchoma choma
Naona! Kichwa kinawaka moto
Moyo unakwenda speed
Yani homa si homa eeeeh!
Vipimo nimemaliza kwa manguri daktari
Waganga matabibu eeeh eh!
Kumbe najilimbikiza maumivu makali
Naongeza maswahibu oooh! Ooh!
Nimezunguka kote buza na yombo dovya
Sijaaambulia chochote zaidi ya kuchovya chovya
Rudi tuishi sote ujinga tu uliniponza
Jaribu kusahau yote mtima uje kuupoza
Baby fanya!
Turudiane turudiane tena
Turudiane tuwe kama zamani
Turudiane fanya turudiane turudiane
Turudiane tena unirudie baby
Turudiane tuwe kama zamani
Turudiane
Yalopita yamepita si ndwele
Rudi tugange yajayo we nimekuzoea
Tufanye yamekwisha uje tujenge ya mbele
Yale tuachane nayo mwenzako najidodea
Rudi tufunike kombe mwanaharamu apite
Tusijali tutaonekanaje kwa ndugu jamaa
Nimekubali kwako kibonde acha tu nidhalilike
Sina habari ata wakisemaje nnachotaka furaha
Yale matusi kejeli, vijembe, mafumbo kutupiana
Yote tufanye yaishe eeeeh eeh!
Najua twapendana kweli sasa ya nini tunazozana
Rudi penzi tudumishee ooooh oooh!
Nimezunguka kote buza na yombo dovya (Nimezunguruka kote)
Sijaaambulia chochote zaidi ya kuchovya chovya (Oooh oh, Oooh oh!)
Rudi tuishi sote ujinga tu uliniponza
Jaribu kusahau yote mtima uje kuupoza
Baby fanya!
Turudiane turudiane tena
Turudiane unirudie
Tuwe kama zamani Iyeeeh!
Fanya turudiane turudiane

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:08.77] Nimekuwa bubu nimepigwa na butwaa
[00:14.21] Mdomo mzito kinywa kama ndondocha
[00:18.79] Macho yana magugu sioni mbele najikwaa
[00:24.23] Yani ujanja sina nimezorota
[00:29.22] Naona! Joto si joto baridi si baridi
[00:34.07] Mwili wa nchoma choma
[00:39.02] Naona! Kichwa kinawaka moto
[00:42.43] Moyo unakwenda speed
[00:45.84] Yani homa si homa eeeeh!
[00:50.53] Vipimo nimemaliza kwa manguri daktari
[00:54.89] Waganga matabibu eeeh eh!
[01:00.29] Kumbe najilimbikiza maumivu makali
[01:04.90] Naongeza maswahibu oooh! Ooh!
[01:08.76] Nimezunguka kote buza na yombo dovya
[01:13.27] Sijaaambulia chochote zaidi ya kuchovya chovya
[01:18.23] Rudi tuishi sote ujinga tu uliniponza
[01:22.94] Jaribu kusahau yote mtima uje kuupoza
[01:27.44] Baby fanya!
[01:29.22] Turudiane turudiane tena
[01:33.57] Turudiane tuwe kama zamani
[01:37.78] Turudiane fanya turudiane turudiane
[01:41.10] Turudiane tena unirudie baby
[01:44.04] Turudiane tuwe kama zamani
[01:47.70] Turudiane
[01:51.75]
[01:57.67] Yalopita yamepita si ndwele
[02:01.86] Rudi tugange yajayo we nimekuzoea
[02:07.07] Tufanye yamekwisha uje tujenge ya mbele
[02:11.78] Yale tuachane nayo mwenzako najidodea
[02:17.53] Rudi tufunike kombe mwanaharamu apite
[02:22.11] Tusijali tutaonekanaje kwa ndugu jamaa
[02:27.13] Nimekubali kwako kibonde acha tu nidhalilike
[02:32.10] Sina habari ata wakisemaje nnachotaka furaha
[02:37.62] Yale matusi kejeli, vijembe, mafumbo kutupiana
[02:43.64] Yote tufanye yaishe eeeeh eeh!
[02:48.34] Najua twapendana kweli sasa ya nini tunazozana
[02:53.94] Rudi penzi tudumishee ooooh oooh!
[02:57.91] Nimezunguka kote buza na yombo dovya (Nimezunguruka kote)
[03:02.96] Sijaaambulia chochote zaidi ya kuchovya chovya (Oooh oh, Oooh oh!)
[03:07.78] Rudi tuishi sote ujinga tu uliniponza
[03:12.06] Jaribu kusahau yote mtima uje kuupoza
[03:16.29] Baby fanya!
[03:18.37] Turudiane turudiane tena
[03:22.85] Turudiane unirudie
[03:25.48] Tuwe kama zamani Iyeeeh!
[03:27.24] Fanya turudiane turudiane
[03:30.62] Turudiane tena unirudie baby
[03:33.02] Turudiane tuwe kama zamani
[03:37.18] Turudiane
[03:41.97]